Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,222
- 44,208
Inaitwa HMD global ni ya Finland,Nokia inatengenezwa na kampuni gani??? Na kutoka wapi???
Inaitwa HMD global ni ya Finland,Nokia inatengenezwa na kampuni gani??? Na kutoka wapi???
Inaitwa HMD global ni ya Finland,
1. Bill gate ameshajiondoa kwenye uongozi wa microsoftyes ipo Espoo Helsinki, FINLAND
na billgate wa Microsoft nae si mshirika wao?? Maana alisign nao contact ya miaka 10 ndio NOKIA zikawa zinatumia Windows
Huyu jamaa anazungumzia simu. ndo nmemuuliza last year nokia ameuza pcs ngapi za simu???? na pia mwaka juzi je? ili tuone kama kweli anapanda kwa kasi
1. Bill gate ameshajiondoa kwenye uongozi wa microsoft
2. Ni kweli Microsoft walikuwa wakishirikiana na Nokia kutengeneza simu za windows phone lakini hilo deal lilikufa mwaka 2013 pale microsoft waliponunua part ya Nokia inayotengeneza simu.
3. HMD global ni kampuni mpya ilionzishwa na wafanyakazi wa zamani wa Nokia haina mahusiano yoyote na Microsoft.
Ukisoma komenti humu utagundua wabongo wengi ni wachawi ni vile tu wanasubiri kurithishwa kapu la uchawi....na siri ya mchawi tunaijua ni mtu asiyependa maendeleo ya mwenzie
Ni public company ile inamilikiwa na wanahisa. Gate ameuza hisa zake nyingi za microsoft sasa hivi sio mmiliki mkubwa. Nafkiri steve Balmer ndio ana hisa nyingi zaidi.Kwasasa mmiliki wa Microsoft ni Nani??? Ninachoelewa billgate kajitoa kwenye uongozi tuu
Au jamaa ndio maana akashuka kiutajiri akapitwa hadi na dogo wa FacebookNi public company ile inamilikiwa na wanahisa. Gate ameuza hisa zake nyingi za microsoft sasa hivi sio mmiliki mkubwa. Nafkiri steve Balmer ndio ana hisa nyingi zaidi.
Gate bado ni tajiri zaidi kushinda Zuck, ni Jeff ndio namba 1 wa amazon na Gate namba 2, Zuck wa FB ni namba 8Duh Au jamaa ndio maana akashuka kiutajiri akapitwa hadi na dogo wa Facebook
kwa hiyo Bill Gate sasa hivi ni baba wa nyumbani au kuna kitu kingine anakuja nacho?Gate bado ni tajiri zaidi kushinda Zuck, ni Jeff ndio namba 1 wa amazon na Gate namba 2, Zuck wa FB ni namba 8
https://www.forbes.com/billionaires
Gate bado ni tajiri zaidi kushinda Zuck, ni Jeff ndio namba 1 wa amazon na Gate namba 2, Zuck wa FB ni namba 8
https://www.forbes.com/billionaires
Ana kampuni yake inaitwa Bill and Melinda Gate foundation inajihusisha na misaada na kutoa elimu mbalimbali hasa za Afya,kwa hiyo
kwa hiyo Bill Gate sasa hivi ni baba wa nyumbani au kuna kitu kingine anakuja nacho?
Your wrong kuna search engine nying kama duckduckgo ambayo ni more secured kuwa tracked kwa kile unachokifanyaWrite your reply... Hata waje na os yao, smartphone bila youtube,gmail,google,google drive.. sio smartphone
7gp