How your home screen looklike

Naona tecno wereva zakutosha kabisa humu.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tecno n8 simu stable sana. Mf. Yangu mm ni mlevi wa youtube naangal8a kila mda ninapokuwa sina kazi. Na inakaa na chaj siku mbili na kama hakuna utube inakaa siku tatu na zaidi. Tuambie wewe unachaji ya kwako baada ya masaa mangapi
 
Telegrwm ni app nzuri kuliko hata whatsap yaan ina features nyingi whatsap hawana na hawajafikiria kuweka
Na ni best platform kushinda iyo WhatsApp, sema tu watu hawajastukia.
Una download muvi miziki kuna bot vitu kibao bila kusahau privacy

Cjaona MTU mwenye VPN ,mwenye search engine ya Duck Duck Go ,Hahahaha
Angalia vizuri wapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…