Ilibidi nitoe picha yangu kwanza ndo nitume. Inataka ujasiri maana hata kuziba sura nilishindwa [emoji23][emoji23]Nimeona mmoja tu ndo kathubutu kuweka screen ina picha yake[emoji23]
My best favorite smartphoneNaona tecno wereva zakutosha kabisa humu.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwanini watu wengi hamna app ya Facebook!!
Naona majority ni messenger tu π
Ooh mimi nilideactivate ac kitambo, ivo natumia messenger tuMimi ipo ila sijaipiga screenshot(ilikuwa upande mwingine wa home screen)
Penda sana urembo wewe
Labda inakua tu haijaonekana kwenye mpangilio wa apps,yang iiiiileeee
Mi sina naona siielewi tena
Labda inakua tu haijaonekana kwenye mpangilio wa apps,yang iiiiileeee
We utakua Muslim safi kbs[emoji124] [emoji124]
Mimi inaweza kupita hata mwezi mzima sijaifungua FB japo ipo na notifications napata kila sikuOoh mimi nilideactivate ac kitambo, ivo natumia messenger tu
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Penda sana urembo wewe
Mim snapchat ndo siilew kabisa,yaan ilishanishindagaMi sina naona siielewi tena
Vizuri sana swahibaMy best favorite smartphone
Pamoja sana mkuuVizuri sana swahiba
Mzee wa mamuvi nini[emoji2]
Weka tukuone.Nataka kupost yangu ila ina sura yangu halafu nashindwa kuitoa.
Alhaji techno