How will Valentine's day find U?

How will Valentine's day find U?

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
How will Valentine's day find U this year?

1. In a relationship
2. Dumped & ditched
3. Single
4. Sick of love
5. Eating maize
6. Engaged
7. Working
8. Still searching
9. Just admiring others
10. Alone
11. Broke
12. Miracle from gf/bf
13. School
14. * specify other *
 
1- nitakuwa na familia yangu tukitafari na kujiuliza kwa nini hizi sikukuu zimezidi sana duniani?
 
Itakua kama siku zote, maana sina kumbukumbu ni lini haswa nishawahi acha kumpenda mke wa mimi, measkron pamoja na familia yetu.
 
Last edited by a moderator:
Itakua kama siku zote, maana sina kumbukumbu ni lini haswa nishawahi acha kumpenda mke wa mimi, measkron pamoja na familia yetu.

Love you more daddy dearest watu8 mume wangu na baba wa watoto wetu wapenzi
 
Last edited by a moderator:
sick of love,eating banana,9& broke
 
5,8,9 halafu Boflo mambo ya kukumbushana machungu siku kama hizi uwache.
cc;kipipi
 
Naona dalili za Valentine zilichagizwa na mambo mazuriiiiii....
Yaani siamini kama wale Real Madrid tumewakosa kiasi kile pale Bernabeu, lakini ngoja tu si watakuja Ngome Kongwe, walahhh tutawanyoa na kipande cha bati la ALAF.
 
Hehehee hata mi kwa kweli yupo tena watu8 anajua tuko wapi tayari kwa kura good time

Huyo chalii sio wa kuambiwa kule watu wapo...inabidi habari hizo azione baadaeeee kwenye magazeti, tena magazeti ya Kiingereza tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom