How well do you know Kenyan music?

How well do you know Kenyan music?

Naowasikiliza.

-will Paul
-Avril
-wangechi
-Femi one
-khali
-Jua kali
-Nameless
-Victoria kimani
-Wyre
-Abbas
-shiski
-Oxido
-Kristof
- Kaka sungura

Few to mention.
Dope hio ni ka playlist nzima thats dope,wah am shocked you know hadi Wangechi,uko sawa but you know in kenya the dopest artist huwa hawachezwi sana,kuna dem anaitwa Phy huyo ni moto,kuna kagwe mungai,kuna Elani,Leband,Nadia mukami we have very dope artist just to mention a few

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Half of my life is music and half of my music is hip hop-underground.

Nilianza kumfuatilia Baba yao kipindi yupo Coolgang anarap na kina Oxido kabla hajaanza kufanya trap.

Wangechi nao na kina Femi nimewafuatilia kitambo. Muziki wa kenya naujua.
 
Thnx i like you,n btw thats the culture of music si mtu kudharau music ingine tunafaa tu appreciate zote na ku appreciate the music too,juu music ya Tz si same na ya Kenya but hatufai kufanya ikae nikaa mashindano ama chuki,music is music,audience ndo hu differ juu si kila mtu hatapenda hip hop,kuna wenye watapenda lingala,but that doesnt mean wako less important,hii ndo messsage yangu kwa hao muna bash kenyan music,kila mtu ana taste yake so respect that,inaitwa personal space,sijui ka Tz you practice it,hauezi tu kuja kwa personal space na kuongea shit,kuwa tu civilised

Copied.
 
Haha why you lying mbele ya kila mtu,Nairobi we rarely talk about Tz and any tanzanian whose.been here can tell you that,pole kukuvunja roho ya pili you talking sana about SA na.venye mnasikiza mziki wao,nikikwambia SA wanajua alot about kenya than.Tz utaona nakupima actually East africa wanajua kenya tu na sitaki ikae madharau but wewe ndo umeanza moto huwezi zima,ya tatu,Music evolves na chenye unafaa ujue Tz ni wasafi tu so ikikufa hakuna Tz sorry to say where as kenya Khaligraph,nyashinski,sauti sol hao wote ni separate artist ya mwisho kuna kitu imetokea inaitwa #play kenyan music hadi imefika nigeria so sai kenya haitaki ujinga its either tu claim top spot ama number two,aki sikuwa nataka kuongea hii yote,but umeniforce sorry ka nimekuhurt,mzae

Sent using Jamii Forums mobile app
stupid swahili
 
IMG_8595.JPG

We rule kenyan stations..[emoji28][emoji28]
 
Sasa kama kuandika huwezi, je kwenye kuongea si ndio utakuwa unaongea kama bata anayeharisha.
Mtu kama wewe ukiniongelea kipumbavu hivyo ninakuta kelebu nyambafu
 
Back
Top Bottom