How well do you know Kenyan music?

How well do you know Kenyan music?

Nimekuuliza kwanini mlianzisha?? hujajibu swali!.. acha kukwepa maswali!
Juu we love our country so hatuwezi tembea our country tukiskia Tz ama Nigerian music n we in kenya,swali inafaa kuwa mbona hatuna shida na za western,na hio sitakujibu but jua our kenyan mentality wazungu walitumess,we more of white less black na hio si kitu poa,ina tu mess sana,huku hadi kuna chuo hawafunzi swahili,kuna watu hawaongei swahili,toka nikiwa shule monday to thursday tulikuwa tunaongea English then friday pekee swahili,imagine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya 2000 mwanzoni pale kulikuwa na generation moja inafanya muziki poa sana kenya. Wahu, Nameless, Nonin, Juakali, Meja, Anvir, Nyanshisky na kundi lake, Prezzo, Jaguar, na wengine weeengi, tuliwasikiliza sana. Kikatokea cha kutokea, sasa hivi wamebaki shinksy, sauti sol, Karigraph jones, kiben10 cha Vera Sidika labda na wale nusu gospel artist kama willy paul, bahati, size 8 na Dady Owen. Kwa gospel mnajitahidi kidogo wakina Mercy Mwasika wanapenya kidogo. Genge music inahitaji marekebisho makubwa sana ili ivuke mipaka na sio kwa kampeni kama ile au kukumbatia soko. Vinginevyo mtabaki kutaja fundermentals tu na kulia kitaita kama Fresh Wambuli
 
sijaelewa kitu your swahili,joh am not saying its bad but hau expect mkenya haelewe chenye umeandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabado washenzi fulani wanasema ati kenyan music ni ujinga juu hawa wa Tz wenye wanaskia ni wajinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya bongo ni madj,hawana varieties,huku kwetu ni bongofleva,nyimbo za kongo,kwaito,afropop ya naija,rnb na hiphop ya US baas,tena hata hizo genres za abroad wanazoplay bado wako shallow sana,huku kwetu muziki wa nchi zinazoongea kireno kama angola na mozambique haupigwi,dancehall na reggea zinapigwa chache sana na mostly zile za zamani za akina dube,marley na alpha blondy.Jazz haipigwi kabisa,hata nyimbo zetu za asili za makabila hazipewi kipaumbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya 2000 mwanzoni pale kulikuwa na generation moja inafanya muziki poa sana kenya. Wahu, Nameless, Nonin, Juakali, Meja, Anvir, Nyanshisky na kundi lake, Prezzo, Jaguar, na wengine weeengi, tuliwasikiliza sana. Kikatokea cha kutokea, sasa hivi wamebaki shinksy, sauti sol, Karigraph jones, kiben10 cha Vera Sidika labda na wale nusu gospel artist kama willy paul, bahati, size 8 na Dady Owen. Kwa gospel mnajitahidi kidogo wakina Mercy Mwasika wanapenya kidogo. Genge music inahitaji marekebisho makubwa sana ili ivuke mipaka na sio kwa kampeni kama ile au kukumbatia soko. Vinginevyo mtabaki kutaja fundermentals tu na kulia kitaita kama Fresh Wambuli
Thnx kwa kuwa appreciate wale wa kitambo lakini kusema ukweli Tz ni wasafi tu,hao ndo pekee wamevuna huku,mavoko alitoka now we dont listen to it,so in other words wasafi waki break hakuna mziki wenu kenya,na naskia harmonize pia anataka toka,n wasafi di huskiza simba,harminize na rayvanni hao watatu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya bongo ni madj,hawana varieties,huku kwetu ni bongofleva,nyimbo za kongo,kwaito,afropop ya naija,rnb na hiphop ya US baas,tena hata hizo genres za abroad wanazoplay bado wako shallow sana,huku kwetu muziki wa nchi zinazoongea kireno kama angola na mozambique haupigwi,dancehall na reggea zinapigwa chache sana na mostly zile za zamani za akina dube,marley na alpha blondy.Jazz haipigwi kabisa,hata nyimbo zetu za asili za makabila hazipewi kipaumbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thnx kusema hivyo man hio ni kitu Tz hamget siai huku watu huskia music na kuwatch tv stations kulingana na kwenye wametoka na class yao,thats why i told you mi huskia tu Tz songs kwa klab coz wea am from we dont listen to bongo in short mi ni barbie,kenya ni kubwa na kuna varieties kuna wenye wataskizwa sana na mahustler na wenye wataskizwa sana na mapunk,kama King kaka anaskizwa sana eastlands but surburban za eastlands maybe kina phy,wangechi coz hao ndo mi huakiza as in kenya iko ivyo music utaskiza ita define penye umetoka na pia environment school you went to na mambo mob,ndo maana kila saa naambia hao watu watembee kenya,aki we dnt listen tu bongo kwanza nai,maybe kwa klab

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who told you we support Tz music acha bangi,tz imeanza ku hit time ya wasafi tu m btw we dont listen to it ni venye huchezwa kwa klub so lazma ujue but kwa simu most kenyans dont have any Tz song,pole baba

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro nikienda kenya chakwanza huwa naambwa nitafute flashi nibebe nyimbo za bongofleva za kutosha,wanazihusudu kupita maelezo.sio leo wala jana kabla hata ya WCB,bongofleva zinapigwa sana kwenye radio za kenya mpaka KBC.but That doesnt mean kenya hakuna muziki mzuri,ni vile tu wakenya wanapenda varieties,na wabongo wanajua kughani vizuri kwa lugha ya kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua tu musics bangs zenu nikiwa clubs za Nairobi but wasanii kwa Sasa ni sauti soul na nyanshisk (sijui sana spellings zake)

Sent using Jamii Forums mobile app
Thnx you invited to Nairobi,atleast ushaikuwa nairobi ambia hawa watu nairobi ni kubwa na watu ni diffrent sana sana si huskia bongo kwa klab but ukichukua our phones uende playlist hakuna bongo,n pia tu shock you si ati hata tuna playlist most ya kenya most ni majuu coz thats what weve grown.listening too

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr nice naye yupo wasafi,
Au mmesahau mlivyokuwa mnampaparikia mr nice kipindi hicho
I dont know who that is i was not born in his era mzae,check my profile pic n am not from mombasa so sijui huyo ni nani mzae,nimegrow nikiskiza vitu different sana nimejua bongo juu ya klabu na ni juzi juzi tu venye diamond amekam,pole bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro nikienda kenya chakwanza huwa naambwa nitafute flashi nibebe nyimbo za bongofleva za kutosha,wanazihusudu kupita maelezo.sio leo wala jana kabla hata ya WCB,bongofleva zinapigwa sana kwenye radio za kenya mpaka KBC.but That doesnt mean kenya hakuna muziki mzuri,ni vile tu wakenya wanapenda varieties,na wabongo wanajua kughani vizuri kwa lugha ya kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Thnx kwa kusema tuna penda varieties coz hio ndo kitu hawa wasee hawaelewi ,we have whites m indians in kenya n they were here hata before colonisation so vitu mob tumeiga kwao we dont stick to one thing sasa nyi huko mnashinda tu diamond tu like yy pekee ndo mnajua,kenya kuna part ya watu hata hawajui Fena gitu,kuna watu hawajui king kaka lakini amevuma sana,that is kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya bongo ni madj,hawana varieties,huku kwetu ni bongofleva,nyimbo za kongo,kwaito,afropop ya naija,rnb na hiphop ya US baas,tena hata hizo genres za abroad wanazoplay bado wako shallow sana,huku kwetu muziki wa nchi zinazoongea kireno kama angola na mozambique haupigwi,dancehall na reggea zinapigwa chache sana na mostly zile za zamani za akina dube,marley na alpha blondy.Jazz haipigwi kabisa,hata nyimbo zetu za asili za makabila hazipewi kipaumbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
We vipi mkuu, kwahiyo djs watapigaje hiyo muziki wakati wasikilizaji na wachezaji awaitaki.
 
Mkuu unawezaje kutaka kitu usichokijua,kazi ya madjs ni kuwapa wasikilizaji ladha wanazozijua na wasizozijua.muziki mzuri ni muziki mzuri tu hata kama hujawahi kuusikia ukiusikiliza tu kwa mara ya kwanza utaupenda tu.wengi wanategemea nyimbo zipigwe redioni ndio tuzijue.

Kasikilize ethiopian reggea na mziki wa kiethiopia kwa ujumla halafu utanielewa nini namaanisha

I like this guy,ebu funza huyo msee 123 atleast hachanuke juu mtu ka huyo hapa tunamuita mtiaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unawezaje kutaka kitu usichokijua,kazi ya madjs ni kuwapa wasikilizaji ladha wanazozijua na wasizozijua.muziki mzuri ni muziki mzuri tu hata kama hujawahi kuusikia ukiusikiliza tu kwa mara ya kwanza utaupenda tu.wengi wanategemea nyimbo zipigwe redioni ndio tuzijue.

Kasikilize ethiopian reggea na mziki wa kiethiopia kwa ujumla halafu utanielewa nini namaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nakwambia msipo change mentality mtabaki tu washamba coz apart from Tz hamjui kitu ingine,you dont know diffrent cultures n thats tje diffrence with nyinyi na sisi ,sisi tumezoea diff cultures so wat we do we mix them si u borrow small things from pple then we make em our own

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom