How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Asante sana jf sasa tutakuwa pamoja expect news from mkoa mpya wa mjombe
 
Jamani napmba mnipokee kwa mikono miwili kwenye hii forum.

bibi.com
 
kiswahili kipewe kipaumbele katika kureply hoja mbali mbali.
 
Jamii Forum you are creative patriotic and matriotic to give demos the audience to discuss challenging issues in this fast rolling globe
 
Ndugu zangu watanzania naibuka kwa mara ya kwanza kwa kuuliza kuwa "Mauaji yafanyikayo wilayani Tarime mkoani Mara na Mapolisi mnalichukuaje maana serikali kama serikali inruhusu raia wake kuuawa inahitaji kubaki na ardhi yenyewe? cjui ni hekima ama hekimiwa itumiwyo na serikali!
 
HELLO ALL! am just wondering if the kujivua gamba phylosophy will work.....................
 
Kwa kuongelea mambo ya msingi yanatohusu maisha ya mtanzania wa kawaida na yule aliyesoma na bado yuo katika hali ngumu ya kiuchumi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom