How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Ni muda mrefu tangu waziri mkuu aliyejiuzuru azungumze bungeni lakini leo ameniacha hoi pale alipodai kuwa ofisi ya waziri mkuu inamajukumu mengi sana inapaswa ipunguziwe mzigo.Akiainisha wizara kama Tamisemi na kitengo cha kushugulikia majanga nk.Swali,kwa muda aliokuwa amekalia hiyo ofisi kwa nini hakushugulikia hilo?.

Mwisho akasema kuna ugonjwa umejitokeza katika nchi hii wa kutokutoa maamuzi magumu,tunamwomba atufafanulie hayo maamuzi magumu ni yapi.Ni kweli ni mtu wa kuthubuti na anayejiamini kama kiongozi.Tunasubiri majibu kutoka kwake kwa hayo.
 
Helo!i'm a new member in jf i like the way pple discussing different topics! I am down with this anyway.
 
Tumejiunga wengine, people are kind of complaining on how to post some topic on this web, i don't think it is that difficult. And i hope it should not be that way because Tanzanian we have lots to post in. But i have a question to all supporters, does our post reach to intended places and any positive action seen?. I think the main purpose is to raise our voices and see things are changing.
 
Hi! Jamii, why do many people fear to engage themselves in polical isue
 
Aslm alykm, mimi ni mgeni hapa na nimependezwa sana na jf kwa kazi hii yenu,na nawaombea mungu kwa taaluma na mwelekeo muutoao kwa mapenzi ya raia sote. Ni juzi nilipojiunga na jf nimengi yalonivutia japo sijajuwa kufuatilia uzuri mwendo wa kutumia simu yangu hapa jf. Mfano mada nzuri nzuri za ndugu babalao na hata najaribu kuchangia katika mada zake za muelekeo na manufaa lakini sifanikiwi kwa kutofahamu kwangu kuutumia site hii. Natoa tena pongezi zangu kwa waanzilishi pamoja na wanachama wenzangu. Babalao ningependa sana kujuana nawe zaidi. Namalizia kwa kuwapa salamu nyingi toka hapa mombasa. Shukran.
 
Shibuda kweli anaonekana ni mroho wa madaraka na fedha maana alihama CCM kwenda CHADEMA baada ya kuenguliwa kwenye kura ya maoni sasa analilia posho kupitia CHADEMA wahusika naomba mumchukulie hatua kwani anadhalilisha chama na anavunja umoja wetu.Angalieni CCM wanavyoshirikiana kuwaua wapinzani so lazima wapinzani nao wawe kitu kimoja na si kuwa na uroho kama wa shibuda
 
Kwa sababu mattumizi ya kiswahili yanatumika sana ingependeza kama maelekezo yange tafsiriwa kwa kiswahili ili kuruhusu watu wengi kuonyesha busara zao hongereni sana kwa kuanzisha hii forum.
 
Hi jamii forum members. Hope you are doing fine. Thanks for giving valuable contributions to some important matters of state.

Old but new to contributions in this forum
 
Hi JF members, I'm a new member of JF so I ask for your heavy co-operation. I real loveb it.....!. BOKA
 
ndugu ni kweli hali ni ngumu kwa sisi walio wapya kufanyikisha usajili pia naona computer application is much needed,plz help us
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom