how to upload profile photo jf

how to upload profile photo jf

njoo pm...nipe pasword zako tuma na picha unayotaka kuweka nikuwekee....simple
 
njoo pm...nipe pasword zako tuma na picha unayotaka kuweka nikuwekee....simple

wewe unamwambia akupe details za acount zake kwa maana gani?? si umwelekeze ili na yeye ajue namna ya kuweka? au kila siku atakua anakutafuta umwekee picha majangassss
 
wewe unamwambia akupe details za acount zake kwa maana gani?? si umwelekeze ili na yeye ajue namna ya kuweka? au kila siku atakua anakutafuta umwekee picha majangassss

brother unajua internet meaning ya something called TROLLING? Go look for it afu urudi utamwelewa huyu jamaa
 
mwenye anaetaka my password hapati,then asanteni sana wakuu darasa zuri sana mmenipatia Good Guy am doing your homework then i ll come with feedback joh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom