MILCAH28
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 1,140
- 328
Sasa simu ya adui yako utaipata wapi?
Hii sio maalumu kwaajili ya maadui hii ni ya watu wa karibu kama mpenzi, mwanao, rafiki yako, ambo wanauwezo wa kukuachia simu zao, adui yako atakupatia simu yake kweli?
Wewe muwekee mpenzi wako uone unavyoibiwa hahahahahahaha kisha ulete hapa mrejesho wa machozi.
Adui simu inapatikanaa tu...si tunafanyaaa ukomandoooo tu....
Kwa ajili ya mpenzi nomaaa aiseeee...sitako presure labda niweke kwa ajili ya mwanangu