How to track someone's phone?

How to track someone's phone?

Kaka website unayoisemea ni ipi??

uliko download hiyo apps
mkuu hausomi maelekezo mbona yapo wazi sana kwenye websiite na wakati wa kuinstall?
unapomaliza kabisa kufanya installation inakuambia kabisa na link inakuwepo
go back kwenye website ulikodownload iwe kwa browser ya simu au pc kisha bofya login, ingiza email yako na password uliocreate mwanzo then utakuta kila.kitu humo
 
Mkuu mi imekubali hiyo njia ya kwanza..swali naomba kufaham ku root sim ni nini na inafaida gani na hasara gani maana nataka ku truck na watsup
 
Kumekua na maswali mengi sana kuhusu watu kutaka kujua namna ya ku truck simu ya mtu mwingine
Kwanza kabisa naomba itambulike kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria na kuingilia uhuru wa mtu kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuwa na privacy zake

Njia hizi za kutruck simu hutumika zaidi kufuatilia mtoto wako au unayemuangalia ikiwa bado ni mdogo na yupo chini ya usimamizi wako..................zaidi ya hapo do it for your own risk

MAHITAJI YA UJUMLA
>Lazima unayetaka kumtrack awe na smartphone(kwa hapa nitaongelea Android)
>Hakikisha kwenye simu ya mlengwa ume enable unknown sources ili kuinstall apps nje ya google play
>Unapata nafasi ya kuwa na simu yake angala kwa dk 15(kulingana na ushap wako)ili uweze kudownload au kuhamishia hizo apps nakufanya installation bila mlengwa kujua

Njia ya kwanza
[APP][2.1+] Children Tracker Ver 2.9 - XDA Forum
Tembelea hapo kuna full details ikiwemo maelekezo kwa picha

NB
hakikisha simu ya mlengwa ina connection ya internet wakati unafanya installation
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri ku hide apps icon
Hakikisha unadownload XDA version http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2824935&d=1404104298 na sio kutoka Google play wala Amazon

NJIA YA PILI
https://mobile-tracker-free.com/index.php
Tembele hapo soma kisha bofya "Install the application" kwa maelekezo zaidi ni vitu gani hii apps inaweza kutrack na niburee

NB
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri kuificha apps

ili uwe na uelewa mzuri wa nini unafanya nivizuri ukafanya mazoezi kwa kuinstall kwenye simu yako ili uone ni jinsi gani apps hizi zinavyo fanya kazi na pia upate uzoefu wa nini chakufanya bila kukose utakapotaka kuinstall kwenye simu ya mlengwa

Kama hujaelewa kitu uliza tuelekezane

This is very very dengerous kama unamtrack mpenzi wako simply becouse hakuna mkalimilifu
Unless kama humpendi unamtafutia sababu ya kuacha........unless otherwise usijaribu
Inashauriwa zaidi kutruck simu za watoto na wale tunaowaangalia chini ya usimamizi wetu ili wasitumie vibaya
This apps was not designed for trucking mambo ya mapenzi.............you have been warned

CC i think Kimboka JOHNKEKE WaKatende mmekutravella mawazoyangu Livingbuddy Richie @

Hii kitu imetulia.
Hizo njia mbili ulizo ainisha zote zina fanya kazi sawa? Yani zote zinawezesha kupata sms,call log, Location
Je mawasiliano ya whatsapp nayo unaweza uka track

Pamoja
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ahsante sana kwa darasa ila kwenye simu ya mlengwa unaweka email ya nani?pia nimeona kuna sehemu inataka uweke aina ya simu je unaweka aina ya simu ya mlengwa au ya mlengaji??
 
Mkuu ahsante sana kwa darasa ila kwenye simu ya mlengwa unaweka email ya nani?pia nimeona kuna sehemu inataka uweke aina ya simu je unaweka aina ya simu ya mlengwa au ya mlengaji??

Unaweka email yako
aina ya simu unaweka ya simu unayoinstall hiyo app

Kumbuka unapoinstal kwenye simu yako unafanya majaribio tu, ukitaka kweli kweli basi install kwenye simu ya mlengwa hivyo basi utaweka aina ya simu yake na email yako
 
Je ni lazima simu yake iwe online muda wote au
Hapana, app itakuwa inarekodi kimya kimya siku akiwa hewani tu inatuma kwa website mambo yote aliofanya wakati yupo offline
Kuna baadhi ya function kama kupiga picha na kurodi surrounding hayatawezekana maana simu haita pokea command wakati ipo offine
 
Hii kitu imetulia.
Hizo njia mbili ulizo ainisha zote zina fanya kazi sawa? Yani zote zinawezesha kupata sms,call log, Location
Je mawasiliano ya whatsapp nayo unaweza uka track

Pamoja
Zinapisha kidogo, yapili inapiga picha na kurecord audio na nibure, yapili haina hizi functions na ni yamajaribio siku saba then unalipia
Whatsapp, FB, na mitandao mingine hadi simu ya mengwa iwe imekua rooted
 
njia ya pili kuna jamaa aniliekeza, then nika mtrack bebe, kidogo nijifie, hii ni kutafuta magonjwa,...
 
Back
Top Bottom