How to track someone's phone?

How to track someone's phone?

njia ya pili kuna jamaa aniliekeza, then nika mtrack bebe, kidogo nijifie, hii ni kutafuta magonjwa,...
Mkuu watu tunapenda shida kweli, hakuna mtu ambaye nimewahi kumuwekea hii makitu akabaki salama....wote walikua wanachapiwa
Ndio maana nasema kama unamtrack bebi wako uwetayari kumuacha au kuvumilia na utakayempata ni yale yale tu
Bora ukae usijue na ujiaminishe niko peke yangu

Inashauriwa sana kumtrack mwanao baaaasi
 
Kwenye hii app kuna vitu kadhaa vinavyoleta mkanganyiko hivyo nafikiri ni vyema ukatoa ufafanusi mkidogo kwa faida ya yule atakaehitaji kutumia.

(1)Baada ya kudownload children tracker
Kuna vipengele hapa vya kujaza ambavyo ndio naona vinawapa watu shida kidogo.

  • Email
  • Password
  • Login
  • Register
Swali. la msingi hapo ni hivyo vipengele unatakiwa kujaza details za muhusika au kwako?

Baada ya hapo ukislide hiyo app kutoka kushoto-kulia utakutana na vingele vifuatavyo.

  • Email
  • Register

Swali hapa kinacotakiwa kufanyaika ni nini? Unaregister email ya muhusika/kwako

(2)Ukimaliza hapo utakutana na hatua zinazofuata ambayo unachangua ni vitu gani unavyotakaku-track
· Call,massage,location,Browser na Activity.

Kisha kunakipengele kingine kilichoandika “APP SETTING”
Hapa unakutana na option moja iliyoandikwa
=>Enable Device Admin []

Swali ni kitu gani cha kuzingatia kwenye hii hatua?

NB; embu jaribu kutoa maelekezo mazuri kwenye hayo maswali na vipengele hapo juu, pamoja na ile website mtu akatakayoitumia kuangalia vilivyo tracked
Bila kusahau vitu vidogo vidogo ambavyo nimevisahau.

Nimeona kwenye hii hatua ya kwanza kuna watu wanachanganya na kufikiri hii children tracker ni sawa na mobile tracker app zinazofanya kazi kwa kutegemeana hivyo lazima awenazo zote kwenye simu

CC; Mayu
 
ya kwanza ni trial for 7 days
Ya pili free ingawa ipo na ya kulipia yenye functions nyingi zaidi
Tembele website bana utakuta kilakitu

Kaka hii application hasa ya pili iko poa maana hata simu nne una track...ila ishu ndo hiyo haioni watsaap texts..
 
Mimi nimekuelewa sana mtoa mada, na nimekuja na wazo tofauti je hiyo App naweza itumia kama ulinzi wa simu yangu, mathalini ikiibiwa au kupotea? Au ipo ambayo ni nzuri zaidi ya hiyo?
 
Mkuu kinachotakiwa ni wewe kuipata simu A kwa muda mdogo tu ili uweze kuinstall hiyo app na baada ya hapo hutaigusa tena simu A baada ya kuwa tayari umeinstall hiyo app
Bila kuipata simu A na kuinstall huwezi kuitrack

Unapokua unainstall pale unapoingiza password na simu model unachagua pia vitu unavyo taka kuvitrack kama calls register, calls recording, sms na location
vitu kama whatssap na fb, kurecodi surrounding na kupiga picha lazima simu A iwe rooted

umeinstall kwenye simu yako kufanya majaribio tu, ukitaka kuitrack simu A hakikisha unaipata simu yake na kuinstall vinginevyo haiwezekani mkuu

ukifanikiwa kuinstall kwa simu A kazi yako utakua ni kuingia kwenye website ya hiyo tracker kwa kutumia simu au pc popote pale na kuona kila anachofanya

Daah, this is interesting...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumekua na maswali mengi sana kuhusu watu kutaka kujua namna ya ku truck simu ya mtu mwingine
Kwanza kabisa naomba itambulike kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria na kuingilia uhuru wa mtu kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuwa na privacy zake

Njia hizi za kutruck simu hutumika zaidi kufuatilia mtoto wako au unayemuangalia ikiwa bado ni mdogo na yupo chini ya usimamizi wako..................zaidi ya hapo do it for your own risk

MAHITAJI YA UJUMLA
>Lazima unayetaka kumtrack awe na smartphone(kwa hapa nitaongelea Android)
>Hakikisha kwenye simu ya mlengwa ume enable unknown sources ili kuinstall apps nje ya google play
>Unapata nafasi ya kuwa na simu yake angala kwa dk 15(kulingana na ushap wako)ili uweze kudownload au kuhamishia hizo apps nakufanya installation bila mlengwa kujua

Njia ya kwanza
[APP][2.1+] Children Tracker Ver 2.9 - XDA Forum
Tembelea hapo kuna full details ikiwemo maelekezo kwa picha

NB
hakikisha simu ya mlengwa ina connection ya internet wakati unafanya installation
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri ku hide apps icon
Hakikisha unadownload XDA version http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2824935&d=1404104298 na sio kutoka Google play wala Amazon

NJIA YA PILI
https://mobile-tracker-free.com/index.php
Tembele hapo soma kisha bofya "Install the application" kwa maelekezo zaidi ni vitu gani hii apps inaweza kutrack na niburee

NB
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri kuificha apps

ili uwe na uelewa mzuri wa nini unafanya nivizuri ukafanya mazoezi kwa kuinstall kwenye simu yako ili uone ni jinsi gani apps hizi zinavyo fanya kazi na pia upate uzoefu wa nini chakufanya bila kukose utakapotaka kuinstall kwenye simu ya mlengwa

Kama hujaelewa kitu uliza tuelekezane

This is very very dengerous kama unamtrack mpenzi wako simply becouse hakuna mkalimilifu
Unless kama humpendi unamtafutia sababu ya kuacha........unless otherwise usijaribu
Inashauriwa zaidi kutruck simu za watoto na wale tunaowaangalia chini ya usimamizi wetu ili wasitumie vibaya
This apps was not designed for trucking mambo ya mapenzi.............you have been warned

CC i think Kimboka JOHNKEKE WaKatende mmekutravella mawazoyangu Livingbuddy Richie @

Oya kaka Hiyo ya Pili nishainstall ktk simu ilaaa sioni iko wapi na inafanyejee Kazi...
 
Last edited by a moderator:
Email ya mtu utaipataje? kama hana email je?

mkuu hujaelewa bado, naomba rudia kusoma maelezo na tembelea hizo link utaelewa tu
Huitaji email ya mlengwa unatumia email yako ambayo utaitumia kulogin kwenye website husika kuanza kutrack simu baada ya kuwa umeishafanya installation kwenye simu husika
 
mkuu hujaelewa bado, naomba rudia kusoma maelezo na tembelea hizo link utaelewa tu
Huitaji email ya mlengwa unatumia email yako ambayo utaitumia kulogin kwenye website husika kuanza kutrack simu baada ya kuwa umeishafanya installation kwenye simu husika

Kaka mi nashidaaa aiseew nimedownload hiyoo kitu ilaaaa...inazinguaaa nilikoseaa kuandika model ya simu Halafu naitafuta application nibadilishe sioni
 
Back
Top Bottom