How to track someone's phone?

How to track someone's phone?

Mimi nimekuelewa sana mtoa mada, na nimekuja na wazo tofauti je hiyo App naweza itumia kama ulinzi wa simu yangu, mathalini ikiibiwa au kupotea? Au ipo ambayo ni nzuri zaidi ya hiyo?
Inatakiwa uifungue kila wakati! Sasa je utaweza kuifungua kila mda? Jibu ni hapana sababu ishu ya kuibiwa sio sensitive sana kama kumfuatilia mtu
 
Adui simu inapatikanaa tu...si tunafanyaaa ukomandoooo tu....
Kwa ajili ya mpenzi nomaaa aiseeee...sitako presure labda niweke kwa ajili ya mwanangu
Sasa unataka utrack mabwana za mwanao ili iweje? Huo ndio kuingilia uhuru wamtu mfanyie upekuzi mkeo uliemlipia mahari maana ndiye mali yako umfrastruate mtoto wakazi gani?
 
Mleda mada ahsante sana.
Nilikuwa na hii hii shida na hivi majuzi nimeingia kwenye mtandao nikasoma kuhusu hizihabari na nikajifunza mengi bt bahati mbaya mlengwa wangu yupo dar na mm nipo mkoan!
kuispy sim yake ni shida kwa sababu sipo karibu nae ili kufanya hizo installations.
Ninapata shida sana na huyu mlengwa wangu maana kila tukiyofautiana anatishia kuniacha. Nahisi anatafuta sababu tu na huenda anamipango yake anayojihami nayo. Najua kabisa kuwa nitaumia bt nahitaji kumjua huyu mlengwa wangu na nijue ni nini kinaendelea katika ulimwengu wake hasa katika hiki kipindi ambacho tuko mbali.
We mpenzi wako yupo Dar halafu bado unamwazo kuwa una mpenzi hapo! Hebu komaa na shughuli iliyokuweka huko mkoani kama unakaa zaidi ya mwezi hamuonani jua kabisa huna demu mzee. Hata bila tracking nakuhakikishia hamtafika popote kwa aina hio ya mahusiano!
 
Mapenzi ya kibongo yana usanii mwingi nadhani nilikuwa mtu wa kwanza kuintroduce hio mobile tracker free kwa raia wa jf nikawaelekeza freshi cha kufanya.

Binafsi ushenzi niliokutaga kwa mtu wangu ulikuwa ni maumivu tu kwangu nikaanza gombana nae daily hadi kuachana.

Sishauri kama huna mpango wa kumuacha mpenzio hasa mke. Ni heri uendele kuwa boya gizani kuliko kufunuliwa ukweli na hio app kuwa umeolea watu mke. Hutakaa kwa amani na utavuruga ndoa yako. Ione kama ukoma hio app!
Mkuu nisaidie nahitaji nifanye ila Kama Ipo ya bila kushika simu yake
 
Mapenzi ya kibongo yana usanii mwingi nadhani nilikuwa mtu wa kwanza kuintroduce hio mobile tracker free kwa raia wa jf nikawaelekeza freshi cha kufanya.

Binafsi ushenzi niliokutaga kwa mtu wangu ulikuwa ni maumivu tu kwangu nikaanza gombana nae daily hadi kuachana.

Sishauri kama huna mpango wa kumuacha mpenzio hasa mke. Ni heri uendele kuwa boya gizani kuliko kufunuliwa ukweli na hio app kuwa umeolea watu mke. Hutakaa kwa amani na utavuruga ndoa yako. Ione kama ukoma hio app!
Ninachokipendea roho ya kuachana na mtu wangu ninayo sana.kama atashindwa kuacha anayofanya pale ninapomuwashia taa nyekundu basi safari yetu inakua fupi sana.nimefanya hivyo kwa karibu wasichna wanne ambao wote walijifanya wanamapenzi na bla bla nyingi.hakuna alieweza kutoka salama.toka 2016 kama sikosea mbaka juzi juzi hapa
 
Back
Top Bottom