How to track someone's phone?

How to track someone's phone?

Huu Uzi utagombanisha na kuvunja ndoa za watu,,ni heri uhisi unasaidiwa lakini sio kuja kujua


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mi nmefanikiwa lkn cjui jinsi ya kusikiliza hizi calls ambazo naziona,msg nasoma kama kawaida
 
Mi nimefanikiwa kuitumia ila binafsi naona ina disadvantages zake nimeona ina drain battery sana na pia bundles all in all ni great app thanx for sharing
 
Naomba nisaidie katika hili mkuu mm nimeinstall imekubali nikija kulog in inanambia "You do not have a phone number associate with your account. Thank you to install before"
 
Back
Top Bottom