How to track someone's phone?

How to track someone's phone?

Mimi nimekuelewa sana mtoa mada, na nimekuja na wazo tofauti je hiyo App naweza itumia kama ulinzi wa simu yangu, mathalini ikiibiwa au kupotea? Au ipo ambayo ni secure zaidi ya hiyo?
 
Nitajaribu kueleza na kutumia picha pia

1 CHILDREN TRACKER
>Download app hapa http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2824935&d=1404104298

Unapoanza kufanya installation app itasomeka kama SYSTEM........Dont worry hii ni kumfanya mwenye simu akienda Apps Settings akiikuta aamini hii ni app muhimu ya simu so hatakuwa na hofu nayo

10.PNG
Ukimaliza kuinstall click OPEN, itafunguka kama inavyoonekana kwenye picha juu......click ACCEPT&CONTINUE




1.PNG
Ukifika hapa una click REGISTER





2.PNG
Ingiza email yako ambayo ndio utatumiwa password kwenye email utakayo ingiza hapa
You can use temporary email from here 10 Minute Mail
Then click REGISTER





3.PNG
Then utafika hapa ambapo utaambiwa login information zako zimetumwa kwenye email yako ulioingiza hapo juu
Nenda kwenye email yako, Ukimaliza click NEXT





Capture.PNG
Kwenye email yako utakuta umetumiwa taarifa hizo, link ya activate, email yako na password pamoja na link ya website utakaoitumia ku login na kuona tracking zote za simu lengwa
Rudi kwenye simu





4.PNG
Ukifika hapa chagua vitu unavyotaka kutrack kwenye simu lengwa then NEXT





5.PNG
Hapa sasa hiyo ya kwanza ukitick Enable evice Admin maana yake unaifanya app isiweze kutolewa(uninstall) kirahisi, ukienda kwenye Apps settings unakuta option ya ku uninstall haifanyi kazi hadi uende seting>security>phone administrators ili ui Deactivate ndio utaweza kuitoa....so ukitick itakupeleka device admn ili ui activate. uamuzi ni wako kama mtumia simu ni layman wa simu unaweza kuacha




6.PNG
Hapo kwenye HIDE APPLICATION ni muhimu sana kuhakikisha umepa tick ili kuificha apps isionekane, hizo no ziache maana hutaitaji kuishika simu yake so just click OK.....the NEXT





9.PNG
Hapa sasa unaweza kuclick go to application kuangalia kama app imeanza kufanya kazi na ikiwa OK itaoneka kama hivi hapa kwenye picha ya chini
7.PNG

Baada ya hapo exit kwa kubofya Home button or whatever..........you're done na simu ya mlengwa, mrudishie
Hakikisha wakati unafanya hili zoezi simu iwe na access na net

Rudi sasa kwenye email yako uliotumiwa
Kwanza kabisa click kwenye link ya ku ACTIVATE ACC yako
Pili ingia kwenye LOGIN SITE SafeT - Children Tracker kisha ingiza email yako na password uliyotumiwa kwenye email......Viola

Uzuri wa hii App
Ipo very simple
Website ipo vizuri haina complication zozote
Hata akiwa offline apps itakusanya taarifa zote, siku akiingia tu hewani inatuma taarifa zote kwenye website ya nini alifanya wakati akiwa offline

Ubaya wake
Ni siku saba tu baada ya hapo inaacha kufanya kazi hadi ulipie, inabidi sasa kila baada ya siku saba uitoe na uinstall upya kwa kutumia email nyimgine
Whatsapp, FB, tweeter hazifanyi kazi hadi simu lengwa iwe rooted

Kwa wasio watundu wa teknolojia nadhani hii inafaa zaidi kuliko ile ya pili, haina complication nyingi

Will be back kwa njia ya pili
 
Naona picha zinakataa kufunguka ngoja nirekebishe
 
Mimi nimekuelewa sana mtoa mada, na nimekuja na wazo tofauti je hiyo App naweza itumia kama ulinzi wa simu yangu, mathalini ikiibiwa au kupotea? Au ipo ambayo ni secure zaidi ya hiyo?

Mkuu hasa hiyo ya pili ninzuri mimi ninayo muda wote kwenye kimeo changu
Hata hivyo zipo apps nzuri zaidi kwa ulinzi na usalama wa simu yako kama ikiibiwa
 
Kaka mi nashidaaa aiseew nimedownload hiyoo kitu ilaaaa...inazinguaaa nilikoseaa kuandika model ya simu Halafu naitafuta application nibadilishe sioni

Jina la simu sio issue kivile
umedownlod ipi nikuelekeze nmna ya kuiona
 
Unakumbuka ulipofika kuandika jina na model ya simu uli create password?
kama unaikumbuka basi nenda kwenye phone na uipige hiyo no then app itafunguka
ikuzengua itoe anza upya

Imeziguaa najaribu kuitoaaaa inagomaaaa....
 
Teh! mkuu nini imekimbia?

Kama umetumia hiyo ya pili ukimaliza ku-install na ukajaza vigezo vyote inapotea.

Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye hii website na kuangalia jinsi inavyo track mobiletracker.com itafute kupitia google kisha log in.

Hiyo website Yako Mbona bado inaletaaaa chengaa inakujaa vitu vyaa ajabu
 
Natafutaa ya Adui yangu..🙂🙂🙂🙂:banghead::banghead:

Sasa simu ya adui yako utaipata wapi?

Hii sio maalumu kwaajili ya maadui hii ni ya watu wa karibu kama mpenzi, mwanao, rafiki yako, ambo wanauwezo wa kukuachia simu zao, adui yako atakupatia simu yake kweli?

Wewe muwekee mpenzi wako uone unavyoibiwa hahahahahahaha kisha ulete hapa mrejesho wa machozi.
 
Kumekua na maswali mengi sana kuhusu watu kutaka kujua namna ya ku truck simu ya mtu mwingine
Kwanza kabisa naomba itambulike kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria na kuingilia uhuru wa mtu kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuwa na privacy zake

Njia hizi za kutruck simu hutumika zaidi kufuatilia mtoto wako au unayemuangalia ikiwa bado ni mdogo na yupo chini ya usimamizi wako..................zaidi ya hapo do it for your own risk

MAHITAJI YA UJUMLA
>Lazima unayetaka kumtrack awe na smartphone(kwa hapa nitaongelea Android)
>Hakikisha kwenye simu ya mlengwa ume enable unknown sources ili kuinstall apps nje ya google play
>Unapata nafasi ya kuwa na simu yake angala kwa dk 15(kulingana na ushap wako)ili uweze kudownload au kuhamishia hizo apps nakufanya installation bila mlengwa kujua

Njia ya kwanza
[APP][2.1+] Children Tracker Ver 2.9 - XDA Forum
Tembelea hapo kuna full details ikiwemo maelekezo kwa picha

NB
hakikisha simu ya mlengwa ina connection ya internet wakati unafanya installation
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri ku hide apps icon
Hakikisha unadownload XDA version http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2824935&d=1404104298 na sio kutoka Google play wala Amazon

NJIA YA PILI
https://mobile-tracker-free.com/index.php
Tembele hapo soma kisha bofya "Install the application" kwa maelekezo zaidi ni vitu gani hii apps inaweza kutrack na niburee

NB
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri kuificha apps

ili uwe na uelewa mzuri wa nini unafanya nivizuri ukafanya mazoezi kwa kuinstall kwenye simu yako ili uone ni jinsi gani apps hizi zinavyo fanya kazi na pia upate uzoefu wa nini chakufanya bila kukose utakapotaka kuinstall kwenye simu ya mlengwa

Kama hujaelewa kitu uliza tuelekezane

This is very very dengerous kama unamtrack mpenzi wako simply becouse hakuna mkalimilifu
Unless kama humpendi unamtafutia sababu ya kuacha........unless otherwise usijaribu
Inashauriwa zaidi kutruck simu za watoto na wale tunaowaangalia chini ya usimamizi wetu ili wasitumie vibaya
This apps was not designed for trucking mambo ya mapenzi.............you have been warned

CC i think Kimboka JOHNKEKE WaKatende mmekutravella mawazoyangu Livingbuddy Richie @

Nitajaribu baadae kwa wife! Kwa sasa ngoja nipumzike na futari hizi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom