How to track someone's phone?

How to track someone's phone?

Kumekua na maswali mengi sana kuhusu watu kutaka kujua namna ya ku-track simu ya mtu mwingine.
Kwanza kabisa naomba itambulike kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria na kuingilia uhuru wa mtu kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuwa na privacy zake.

Njia hizi za kutruck simu hutumika zaidi kufuatilia mtoto wako au unayemuangalia ikiwa bado ni mdogo na yupo chini ya usimamizi wako..................zaidi ya hapo do it for your own risk.

MAHITAJI YA UJUMLA
>Lazima unayetaka kumtrack awe na smartphone(kwa hapa nitaongelea Android)
>Hakikisha kwenye simu ya mlengwa ume-enable unknown sources ili kuinstall apps nje ya google play.
>Unapata nafasi ya kuwa na simu yake angalau kwa dk 15(kulingana na ushap wako)ili uweze kudownload au kuhamishia hizo apps nakufanya installation bila mlengwa kujua

Njia ya kwanza
[APP][2.1+] Children Tracker Ver 2.9 - XDA Forum
Tembelea hapo kuna full details ikiwemo maelekezo kwa picha

NB
Hakikisha simu ya mlengwa ina connection ya internet wakati unafanya installation
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri ku hide apps icon.
Hakikisha unadownload XDA version xda-developers na sio kutoka Google play wala Amazon.

NJIA YA PILI
Mobile Tracker Free | Cell Phone Tracker App | Monitoring App for Android Smartphone
Tembele hapo soma kisha bofya "Install the application" kwa maelekezo zaidi ni vitu gani hii apps inaweza kutrack na niburee

NB
Hakikisha unafuata maelekezo vizuri kuificha apps

ili uwe na uelewa mzuri wa nini unafanya nivizuri ukafanya mazoezi kwa kuinstall kwenye simu yako ili uone ni jinsi gani apps hizi zinavyo fanya kazi na pia upate uzoefu wa nini chakufanya bila kukose utakapotaka kuinstall kwenye simu ya mlengwa

Kama hujaelewa kitu uliza tuelekezane

This is very very dengerous kama unamtrack mpenzi wako simply becouse hakuna mkalimilifu
Unless kama humpendi unamtafutia sababu ya kuacha........unless otherwise usijaribu
Inashauriwa zaidi kutruck simu za watoto na wale tunaowaangalia chini ya usimamizi wetu ili wasitumie vibaya
This apps was not designed for trucking mambo ya mapenzi.............you have been warned

CC i think Kimboka JOHNKEKE WaKatende mmekutravella mawazoyangu Livingbuddy Richie @
....hapo chacha....
 
Mimi natumia tecno ndogo ya kitochi lakini nahic wamenitrack mawasiliano yangu nifanyeje kujitoa humo
 
Hadithi za abunuwasi hizi
Yaani ujue no ya mtu tu kisha uhack details zake bila kushika simu ya muhusika?
Labda awe anafanya kazi kwenye mitandao husika kama voda au tigo nk
Hii inawezekana mkuu.tena dakika haiish
 
I wonder if it's not against the law to track someone's phone without their consent!
 
I wonder if it's not against the law to track someone's phone without their consent!
Hii ni against sheria zote za kimataifa sio kitaifa tu.sheria za kimataifa ku huck n zambi ukikamatwa lazma ule umeme tu.

Japo inasaidia ila n headache sana, usiombe umfanyie hii kitu bi wife au kidem chako utauwa kama huna roho ya kuume
 
Huko USA ni kosa kisheria kumtrack hata wife wako, akikukamata akakupeleka kwa pilato lazima ule mvua! Nashangaa watu wanafundishana namna ya kuvunja sheria, tena bila woga!
Kwenye mada za fyongo kama hizi ndo tulitegemea wanasheria wazipinge kwa kutoa elimu ya sheria; lakini wapi!
 
Ndo maana jamaa kaanza kwa onyo!! Ni kinyume cha sheria kufanya jambo hili
 
Huko USA ni kosa kisheria kumtrack hata wife wako, akikukamata akakupeleka kwa pilato lazima ule mvua! Nashangaa watu wanafundishana namna ya kuvunja sheria, tena bila woga!
Kwenye mada za fyongo kama hizi ndo tulitegemea wanasheria wazipinge kwa kutoa elimu ya sheria; lakini wapi!
Hata Tanzania ni kosa kudukua simu ya mtu yeyote akiwemo mke/mume wako.
 
@jakalukipele ,wanakuwa wanakutumia email,ambayo ndani mwake kuna link,
utapokea email halafu unafungua,ukiclick kwenye link tu,tayari unakuwa umeruhusu spy app,ambayo inakuwa hidden,huwezi ona?
Hiyo app ndo itatuma cordinate zako za mahali ulipo,
nilipata sehemu nikasoma juu juu,lakini hiyo ni mojawapo ya njia zinatumika kama mtu hawezi kuipata simu yako na kuipandikiza spy app
 
Back
Top Bottom