luche1
Senior Member
- Jan 18, 2017
- 144
- 107
Mapenzi ya kibongo yana usanii mwingi nadhani nilikuwa mtu wa kwanza kuintroduce hio mobile tracker free kwa raia wa jf nikawaelekeza freshi cha kufanya.
Binafsi ushenzi niliokutaga kwa mtu wangu ulikuwa ni maumivu tu kwangu nikaanza gombana nae daily hadi kuachana.
Sishauri kama huna mpango wa kumuacha mpenzio hasa mke. Ni heri uendele kuwa boya gizani kuliko kufunuliwa ukweli na hio app kuwa umeolea watu mke. Hutakaa kwa amani na utavuruga ndoa yako. Ione kama ukoma hio app!
Mimi imenisaidia kudhibit ndoa yanguMapenzi ya kibongo yana usanii mwingi nadhani nilikuwa mtu wa kwanza kuintroduce hio mobile tracker free kwa raia wa jf nikawaelekeza freshi cha kufanya.
Binafsi ushenzi niliokutaga kwa mtu wangu ulikuwa ni maumivu tu kwangu nikaanza gombana nae daily hadi kuachana.
Sishauri kama huna mpango wa kumuacha mpenzio hasa mke. Ni heri uendele kuwa boya gizani kuliko kufunuliwa ukweli na hio app kuwa umeolea watu mke. Hutakaa kwa amani na utavuruga ndoa yako. Ione kama ukoma hio app!
umedhibitije sasa, au mkeo hajajua kama una mtrackMimi imenisaidia kudhibit ndoa yangu
Baba acha hio kitu ni sawa na kupiga bomu dana dana. Ni shida!!!Kwa kweli hata mimi nilijaribu kwa mtu wangu wa karibu kwa madudu niliyoyakuta mpaka sasa tulishaachana. Kwa kweli kama huna mpango wa kuachana naye usijaribu hasa kwa mke naomba msijaribu kabisa.
Hajui na hatakaa ajueumedhibitije sasa, au mkeo hajajua kama una mtrack
Nikifahamu hii kitu itapendeza sana@jakalukipele ,wanakuwa wanakutumia email,ambayo ndani mwake kuna link,
utapokea email halafu unafungua,ukiclick kwenye link tu,tayari unakuwa umeruhusu spy app,ambayo inakuwa hidden,huwezi ona?
Hiyo app ndo itatuma cordinate zako za mahali ulipo,
nilipata sehemu nikasoma juu juu,lakini hiyo ni mojawapo ya njia zinatumika kama mtu hawezi kuipata simu yako na kuipandikiza spy app
Akijua imekula kwako, but so far una mke mtulivu. Bila hivyo ungekuwa ushaanza kulialia sahivi.Hajui na hatakaa ajue
Labda ni mtulivu kama usemavyoAkijua imekula kwako, but so far una mke mtulivu. Bila hivyo ungekuwa ushaanza kulialia sahivi.
ndio hivyo mkuu, wale wenye wake mawenge sahivi ingekuwa unajipigilia balimi na plisnerLabda ni mtulivu kama usemavyo
😂😂Truck.? Yaani roli au?
Hahahah ulifikiri uko pekeyako eeh..Msione tunakuwa wabahili na pesa zetu mambo ni kama hayo! Unapambana umpendezeshe na kumhudumia mtoto wa mtu huku kuna boya anajipigia for free 😅😅😅 ndio maana sitaki mwanamke asiye na shughuli yake rasmi!Hii app noma aiseee hapa nataka nipige mtu chini
Kamwe usimuamin mwanamke zaid ya mama yako
Tunawashukuru sn walioileta hii app mana inakufunulia uozo wote wa mtu
Unaiona kwa dashboard ambayo ni kupitia email ambayo umesajilia wakati unainstall kwenye simu ya mlengwakaka mayu naona kwangu imetrack though ni simu zilizoingia na picha ila sijapata text nione kama itazitrack...now concern yangu ni kuwa ikiwa tayari kwa simu A na mimi ni simu B nawezaje kuiona kwangu bila kugusa simu yake...?
Cha msingi acha mapepe tulia na bwana wako mmoja! Tatizo dada zetu mnadanga sana sikuhizi😅😅😅Hivi na ukitaka kufahamu kuwa mtu amekuwekea hyo unafahamuje mana kuna mtu alinambia ameniona na.ninachofanya itakuwa hii nitafahamuje
Whatsapp texts lazma uwe rooted ila unaweza kuona za upande mmoja kwa baadhi ya simuKaka hii application hasa ya pili iko poa maana hata simu nne una track...ila ishu ndo hiyo haioni watsaap texts..