How To Make Love

purple likes this, nilifikiri huu mtazamo ninao mimi tu..:gossip:
Nikuambie kitu binti mwenzangu@Purple.. wewe kama binadamu una matatizo A b c d ....UNAPOINGIA KWENYE MAHUSIANO NA matatizo yako yakawa a b c d e f g.... kimbia kama ulikuwa na abcd at least yawe abc au ab au a au yafutike kabisa...ndo maana ya kutafuta partner ili msaidiane sio kushow off?
 
kweli nawahaminia ngoja nimtafute Kongosho tuanzishe umoja wa mabibi tanzania...tunaweza tukatengeneza nice couple na nyie mababu sio ..duniani wawili wawili bana...
Well well well........ we utakuwa wangu si eti Smile eh?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh mmh...kila mtu atakucheka eti ukisema kile cha haraka haraka cha porini ni ku'make love'! but kila mtu atakuona ni Mr Loverman ukisema ume'make love' in a five star hotel!
sidhani kama eneo linamata bwana just chukua mfano huu binti katongozwa na kibosile wa epa ampatie kazi kwenye ofisi yake akampeleka serena hapo wamesex au wamemake love?
 
Nikuambie kitu binti mwenzangu@Purple.. wewe kama binadamu una matatizo A b c d ....UNAPOINGIA KWENYE MAHUSIANO NA matatizo yako yakawa a b c d e f g.... kimbia kama ulikuwa na abcd at least yawe abc au ab au a au yafutike kabisa...ndo maana ya kutafuta partner ili msaidiane sio kushow off?

exactly mamie na ndo maana hua najisemea mwanaume nimtakaye bado hajazaliwa na kama ameshazaliwa basi ameshazeeka..hawa wa siku hizi kuharibiana mipango ya maisha tu!
 
sidhani kama eneo linamata bwana just chukua mfano huu binti katongozwa na kibosile wa epa ampatie kazi kwenye ofisi yake akampeleka serena hapo wamesex au wamemake love?

Hiyo ni sex...huwezi 'make love' kama hakuna hiyo 'love'.....lakini unaweza 'have sex' hata kukiwa na hiyo 'love'!

Kitendo cha kibosile wa epa kumpeleka binti serena ni explicit na adventurous...at least kwa kibosile..thats what having sex is all about, is having fun!

Lakini nikimchukua mke/gf/mchumba wangu nikampeleka serena...thats planned, not explicit, nothing adventurous about it for both of us..its romantic, and what referred to as 'making love'!
 
exactly mamie na ndo maana hua najisemea mwanaume nimtakaye bado hajazaliwa na kama ameshazaliwa basi ameshazeeka..hawa wa siku hizi kuharibiana mipango ya maisha tu!
na usikubali mtu akuharibie maisha yako majuto yake ni makubwa mno my dear..usikubali kabisa..ujue huwa najiuliza kwanini wasichana wengi wanapenda vitu vya kujionyesha kwani ni lazima kuwa na mwanaume? tena unakuwa na mtu asiekuheshimu,wala kukuthamini wala kukujali..why? unaenjoy nini? kisa kuolewa hadi mahari yako unampa wewe...kuwa natural my dear ,,maisha ni hayahaya raha jipe mwenyewe who cares?
 
Mmmh mmh...kila mtu atakucheka eti ukisema kile cha haraka haraka cha porini ni ku'make love'! but kila mtu atakuona ni Mr Loverman ukisema ume'make love' in a five star hotel!

Can you explain more braza Riwa ..ya kichakani kuwa sex na ya kwenye five star hotel kuwa love..once more pliiiz??
 
Last edited by a moderator:
Smile ngoja nikachukue miwani yangu ya mbao naona macho yangu hayaoni vizuri hapo juu

6.The cake is done when banana is soft. If banana does not soften, ?????????????????

mhhhh hapo juu hapo

halafu Riwa ........................but having sex/f*cking....its edventurous and unpredictable, never boring!

Duh lao naona weekend inaanza mapema
 
Last edited by a moderator:
Smile maneno yako ya kweli esp hapo "2 Firm milk containers" opps swaum yangu!... .. ila nina swali "how to make love" kwa kiswahili unaaminisha "jinsi ya kufanya mapenzi" ???
 
Smile maneno yako ya kweli esp hapo "2 Firm milk containers" opps swaum yangu!... .. ila nina swali "how to make love" kwa kiswahili unaaminisha "jinsi ya kufanya mapenzi" ???
ahaha sijui bwana...tualikane futari jamani
 
'jinsi ya kutengeneza mapenzi'

Smile maneno yako ya kweli esp hapo "2 Firm milk containers" opps swaum yangu!... .. ila nina swali "how to make love" kwa kiswahili unaaminisha "jinsi ya kufanya mapenzi" ???
 
  • Thanks
Reactions: RR
Smile hebu acha haya mambo mida hii
Mie nna hasira za karibu, nshaanza kuwaangalia wenzangu hapa kama misosi

Afu kama huyu kibosile, mkanda wake wa sarawali hajaufunga vizuri
 
My super sweet Smile, natafuta 'mixing bowl' niipendayo....usisahau na them 'milk containers'....
TGIF but one
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh mdogoangu Smile! This too EROTIC.....................where is EROTICA?.................she/he will spice up more...........oooh Kongosho is here.............but kungwi gfsonwin is on strike.Have you seen Kaunga recently......or may be Boflo kamficha........but watch out Boflo sijakula mbuzi ya kaka,te te te...........hata Fighter na Sikonge hawajasongewa ugali na Nsansa as the in-laws

Thanks for the thread though,made me Smile in the mi.ddle of miserable day,very busy indeed.
 
Back
Top Bottom