How To Make Love

'The cake is done when banana is soft'..lol!
'If banana does not soften, repeat steps 3-5 or change mixing bowls'...mmmh!
Unahitaji maombi Smile

mimi sijasema kubadilisha mabakuli bwana loh! mimi hizo laana nazichukia mbona ..utabadilishaje bakuli?

Sasa wewe Smile unajaribu kusemaje au unakana nini???

Hata na huyu mdau SnowBallnaye kazee kana kupoteza memory kama sie??

Unaonaje ukiamua kutuliza hasira za babu kabla hajaanza kumwaga malaana yake??? Huwezi kumtukana eti anazeeka vibaya halafu ukabaki salama....!!

Babu DC!!
 
Babu DC komaa naye tu naona ka'edit' ..hahahaha
 
Smile na wanaJamvi wengine...labda niulize, kipi kitamu au kina raha zaidi kati ya 'ku-make love' na 'ku-have sex..aka..f*cking'? i think there are too much formalities in making love...and are boring if you have to do 'em over and over again everytime you make love! but having sex/f*cking....its edventurous and unpredictable, never boring!
kumake love ndo nzuri ..kwanza pale inainvolve watu wawili ambao mnapendana kabisa body and soul ni kitu kimoja but sex ni tendo tu u cansex with anybody but huwezi make love na anybody ....ndo maana wale wanaujiuza wanaitwa sex workers na sio love workers..upo mkuu?
 
To have sex imekaa kitoto zaidi...Inawafaa teans, kwani wanaweza kutumia hata maplastiki kujidanganya...!!

Wazee wazima huwa wanapumzika...kwa hiyo watafurahia kutumia muda wao vizuri, tena taratibu... hata ikibidi kujificha kwa masaa 48!!

Ndiyo maana Smile yuko kwenye retreat!!....Lazima atakuwa na mtu mzima mwenye busara zake...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Siku zote Smile ni mjanja sana ila leo kachemsha...halafu umeona kuwa anashauri kubadili mabakuli na wala siyo bakuli moja tu....Ni ushauri wa hatari sana!!!

Ila kwa jinsi alivyojibu vizuri hapa chini....inatosha kumsamehe kwa sababu kanaonesha kwamba kanazo kichwani!!

kumake love ndo nzuri ..kwanza pale inainvolve watu wawili ambao mnapendana kabisa body and soul ni kitu kimoja but sex ni tendo tu u cansex with anybody but huwezi make love na anybody ....ndo maana wale wanaujiuza wanaitwa sex workers na sio love workers..upo mkuu?

Kwa kauli hiyo tu.....Babu yuko powa kukusamehe makosa yako yote uliyomtenda....kwa maneno, kwa vitendo na kutotimiza wajibu wako...!!

Endelea na retreat kwa amani na raha zako!!

Babu DC!!
 
To have sex imekaa kitoto zaidi...Inawafaa teans, kwani wanaweza kutumia hata maplastiki kujidanganya...!!

Wazee wazima huwa wanapumzika...kwa hiyo watafurahia kutumia muda wao vizuri, tena taratibu... hata ikibidi kujificha kwa masaa 48!!

Ndiyo maana Smile yuko kwenye retreat!!....Lazima atakuwa na mtu mzima mwenye busara zake...lol!!

Babu DC!!
kweli babu mimi mambo ya vijana ya kudanganyana danganyana yamenishinda...mara hoo chukua mkopo kazini kwenu unipe milion kumi tununue bati nikuoe....oooh ujue mama yangu kasema hapendi wanawake wanene..sijui mimi sikuamini...siyawezi ...mapenzi ya vijana ni ya kujilazimisha mno mno...watu wazima bwana nimeamini utu uzima dawa...hakunaga maproblemu@Kongosho na Preta waje watoe ushuhuda wao na Kaunga pia
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe Smile unajaribu kusemaje au unakana nini???

Hata na huyu mdau SnowBallnaye kazee kana kupoteza memory kama sie??

Unaonaje ukiamua kutuliza hasira za babu kabla hajaanza kumwaga malaana yake??? Huwezi kumtukana eti anazeeka vibaya halafu ukabaki salama....!!

Babu DC!!
ahahaaa babu potezea bwana si unajua nilipost nikiwa ndotoni ..copy na kupaste kama zomba wa Matola loh!
 
Last edited by a moderator:
kweli babu mimi mambo ya vijana ya kudanganyana danganyana yamenishinda...mara hoo chukua mkopo kazini kwenu unipe milion kumi tununue bati nikuoe....oooh ujue mama yangu kasema hapendi wanawake wanene..sijui mimi sikuamini...siyawezi ...mapenzi ya vijana ni ya kujilazimisha mno mno...watu wazima bwana nimeamini utu uzima dawa...hakunaga maproblemu@Kongosho na Preta waje watoe ushuhuda wao na Kaunga pia

Hahahahahahahahahhah,

Ila umesahau kwamba watu wazima lazima watakuwa wanamilikiwa tena kwa patent?

Uko tayari kuwa mwizi?

Babu DC!!
 
ahahaaa babu potezea bwana si unajua nilipost nikiwa ndotoni ..copy na kupaste kama zomba wa Matola loh!

Mbona mie nilishayamaliza kitambo...soma tena hii post #26!!!

Ila nimesema na narudia....[MENTION]Smile [/MENTION]iko mujanja mujanja sana!!

Babu DC!!!
 
Smile na wanaJamvi wengine...labda niulize, kipi kitamu au kina raha zaidi kati ya 'ku-make love' na 'ku-have sex..aka..f*cking'? i think there are too much formalities in making love...and are boring if you have to do 'em over and over again everytime you make love! but having sex/f*cking....its edventurous and unpredictable, never boring!

kuna ka ukweli hapa, ila yote kheri mie napita tu:flypig:
 
kumake love ndo nzuri ..kwanza pale inainvolve watu wawili ambao mnapendana kabisa body and soul ni kitu kimoja but sex ni tendo tu u cansex with anybody but huwezi make love na anybody ....ndo maana wale wanaujiuza wanaitwa sex workers na sio love workers..upo mkuu?

I know somewhere kuna love workers..na wanakofanyia hizo mambo kunaitwa 'love houses'..
Ni ngumu sana kuchora mstari kati ya 'love' na 'sex'..
 
kumake love ndo nzuri ..kwanza pale inainvolve watu wawili ambao mnapendana kabisa body and soul ni kitu kimoja but sex ni tendo tu u cansex with anybody but huwezi make love na anybody ....ndo maana wale wanaujiuza wanaitwa sex workers na sio love workers..upo mkuu?

To have sex imekaa kitoto zaidi...Inawafaa teans, kwani wanaweza kutumia hata maplastiki kujidanganya...!!

Wazee wazima huwa wanapumzika...kwa hiyo watafurahia kutumia muda wao vizuri, tena taratibu... hata ikibidi kujificha kwa masaa 48!!

Ndiyo maana Smile yuko kwenye retreat!!....Lazima atakuwa na mtu mzima mwenye busara zake...lol!!

Babu DC!!

But still....you can have 'sex' na mpenzio umpendaye, mkeo, mchumba, girl/boy-friend....'making love' is not explicit, not adventuorous...like....can you make love in the car, tall building lift, office desk, kipori? Nooo...but you can definately have sex in all those places explicitly, and its adventurous....and exciting! Angalia picha/mifano ya ku'make love'...utakuta kitanda kimetandikwa shuka safi nadhifu, peeled roses all over, candle light, udi sijui, dressing on sexy pants, bla bla blaaah...thats boring if you have to do..say 4 or 5 times a week!
 
Nisingekukana, tatizo umechezea akili ya babu mwenzangu retired Mej Dark City. Si unajua mababu tuna ushirikiano? Ushawaona wale wenzetu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walivyo na umoja?
kweli nawahaminia ngoja nimtafute Kongosho tuanzishe umoja wa mabibi tanzania...tunaweza tukatengeneza nice couple na nyie mababu sio ..duniani wawili wawili bana...
 
Last edited by a moderator:
But still....you can have 'sex' na mpenzio umpendaye, mkeo, mchumba, girl/boy-friend....'making love' is not explicit, not adventuorous...like....can you make love in the car, tall building lift, office desk, kipori? Nooo...but you can definately have sex in all those places explicitly, and its adventurous....and exciting! Angalia picha/mifano ya ku'make love'...utakuta kitanda kimetandikwa shuka safi nadhifu, peeled roses all over, candle light, udi sijui, dressing on sexy pants, bla bla blaaah...thats boring if you have to do..say 4 or 5 times a week!
wewe dokta wewe usiishi kwa theory kumake love ni automatic haijalishi mko wapi...same to sex external environment haispecify kwamba mnafanya sex or mnamake love...noo u a body and soul na tu zinaweza kusema mnafanya nini...mnaweza kufanya sex kwenye five star hotel na mkamake love kichakani upo mkuu?
 
kweli babu mimi mambo ya vijana ya kudanganyana danganyana yamenishinda...mara hoo chukua mkopo kazini kwenu unipe milion kumi tununue bati nikuoe....oooh ujue mama yangu kasema hapendi wanawake wanene..sijui mimi sikuamini...siyawezi ...mapenzi ya vijana ni ya kujilazimisha mno mno...watu wazima bwana nimeamini utu uzima dawa...hakunaga maproblemu@Kongosho na Preta waje watoe ushuhuda wao na Kaunga pia

purple likes this, nilifikiri huu mtazamo ninao mimi tu..:gossip:
 
Last edited by a moderator:
...mnaweza kufanya sex kwenye five star hotel na mkamake love kichakani upo mkuu?

Mmmh mmh...kila mtu atakucheka eti ukisema kile cha haraka haraka cha porini ni ku'make love'! but kila mtu atakuona ni Mr Loverman ukisema ume'make love' in a five star hotel!
 
Back
Top Bottom