How To Make Love

Smile ndo umefika huku kuwa 'mwalimu'? Nilidhani kuwa mambo ya kumalove na ku have sex kwako hayapandi kabisa! khaaa
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh mdogoangu Smile! This too EROTIC.....................where is EROTICA?.................she/he will spice up more...........oooh Kongosho is here.............but kungwi gfsonwin is on strike.Have you seen Kaunga recently......or may be Boflo kamficha........but watch out Boflo sijakula mbuzi ya kaka,te te te...........hata Fighter na Sikonge hawajasongewa ugali na Nsansa as the in-laws

Thanks for the thread though,made me Smile in the mi.ddle of miserable day,very busy indeed.
ahahaa nimecopy tu na kupaste mkuu...mimi hata hayo mambo sijui mie
 
mpaka hapa nimesoma post hadi ya 40 tu naona niishie hapa manake nimefungiwa kwenye 5 star hotel na mr loverman ngoja kwanza ni fungatike nikimaliza nitakuja kumwaga maujuzi yangu yote ya when do we make sex and when do we make love.

But all in all love making ni joyous kuliko having sex.................. abeeeeeeeeeeeee naja dear wangu. shshshhhhhhhhhhhhhhhh......haya naitwa na ---- wangu baadae.
 
Hapana babu, tunapenda kukutania tu.

Sasa wewe Kongosho, ndo tunataniana hivyo kwa kuvunjiana heshima tena mbele ya wajukuu???

Au umesahau ulivyofundwa kwamba hata ukitokewa na mtu (awe babu/kibabu, chizi au sharo), ni siri yako hadi kaburini ili ukamsimulie aliyekuumba??

Naona kwa kiasi fulani watunza nidhamu wameanza kushindwa kazi...lol!!

Babu DC!!!
 
:faint2::cell::noidea:
 
Yaani babu utani wa aina hii hustua maini ya wazee ili wasipate tabu ya insulin.
Unaona nilivyo na heshima nimevaa dera na ushungi kabisa

Si unamuona babu ODM anavyozidi tafuna mihogo mibichi?? Sababu utani unamwongezea nguvu.

Hii ni zaidi ya therapy kwa mzee mwenye mkongojo.

Uzuri wewe wala hauoni :redface:wajukuu hata uvae concave lens.

(Sikujua kama kuna siri kati yetu, kwani na wewe ulisema kitu? Au ndo kibabu cha Husyn?)

Sasa wewe Kongosho, ndo tunataniana hivyo kwa kuvunjiana heshima tena mbele ya wajukuu???

Au umesahau ulivyofundwa kwamba hata ukitokewa na mtu (awe babu/kibabu, chizi au sharo), ni siri yako hadi kaburini ili ukamsimulie aliyekuumba??

Naona kwa kiasi fulani watunza nidhamu wameanza kushindwa kazi...lol!!

Babu DC!!!
 
Smile dearest umefanya safari yangu kuwa fupi, yaani nimeupenda ubunifu ofcourse kasoro kubadilisha bakuli, labda bakuli liwe sweet mouth.

Bro wangu wa ukwelii KIKUNGU, nilikuwa porini kuchuma uyoga na kurina asali, najua jinsi gani kaka zangu wa kinyamwezi mnavyopenda asali mbichi ikichanganywa na karanga sijui zinasaidia nini katika kumake love? Eti Fighter na Sikonge!
 
Last edited by a moderator:
exactly mamie na ndo maana hua najisemea mwanaume nimtakaye bado hajazaliwa na kama ameshazaliwa basi ameshazeeka..hawa wa siku hizi kuharibiana mipango ya maisha tu!
pole sana Purple inaelekea kuna boy or boys alishawai/walishawai kukumiza! maneno mazito hayo, all in all jipe moyo 1day utapata ambaye sahii kwako, trust
 
Last edited by a moderator:
Erotica hamjamwalika hapa? mimi bado nina Swaumu nitarudi hapa nikisha mfuturisha mtu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi maabala ipo.....manake siku wanafunzi wanafeli sana kwa sababu hawafanyi praktiko
 
Back
Top Bottom