rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,446
- Thread starter
- #81
Nimeelezea hapo juu kwamba kama ukiwa unataka kuhide IP yako kwa mambo ya kawaida kama hutaki mtu yoyote aijue au hata mtu akiita apate ugumu wa kuijua sawa inawezekana, ila kusema kuificha hata kukitokea tatizo kubwa usipatikane inakuwa ngumu sana maana kila kitu kipo kitajionyesha, au labda nikuulize swali, ina maana hao watu wako wanaokupa Internet hawajui unachofanya online hata kama ukihide IP??
nafikiri wananajua,nataka niwape wakati mgumu kujua