SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
wakuu..
mi nadhani kwanza tumejibu swali la ROSE kuwa unaweza ficha IP adress yako hata kama ni Public IP...ila mapungufu yake ni kwamba huwezi funga moja kwa moja kwa kutumia softiware na ujanja unaweza onekana
la pili ni hizi proxy adress nadhani na zenyewe zina risk zake. sababu hujui ni Proxy ya nani ya Hacker au la
kupata proxy utayo i trust ni vizuri kutumia proxy ya Public mfano vyuo vingi marekani wanatoa proxy for freee...so watapata faida gani waki ku hack wewe!!
tatu ni vizuri kutumia softwares kuficha ip yako software kama Tor, utrasulf na nyinginezo japo hazina 100% guarantee.
This was for education. nadhani nimepata maarifa ya kutosha. thanx wakuu wote.
>kwa ambao wanasema proxy inagoma nadhani hiyo ni BUG ambayo inaitaji maelekezo. ngoja niwatumie jamaa wa nobodycanstop.us watupe FIX yake.
(Naamini siku inakuja hasa wakati wa uchaguzi au vingine ambapo serikari itaifungia hii Forum hasa kwa mambo ya kisiasa na usalama.
mtu hataweza kuifungua akiwa TZ ila kwa kutumia njia za ku HIDE IP ataweza kupata access so ni vizuri wana jamii wote tufahamu hili somo.
kama anko ruckus alivyo post kuhusu BBC imegundua kuwa serikali ina Clone Jamii forum website na kupoteza ukweli.
so itafika kipindi itabidi ufiche ip yako ndio upate access ya true page ya JF na bila kuficha utafungua fake page ya JF ya serikari.)
huu ni mtazamo tu kama wenzetu egypt na tunisia walivyo blockiwa social sites wakawa wanatumia proxy na software kurusha maelezo na video kwenye youtube na facebook. au kama wanajamii wa china wanavyofanya.(mtazamo tu jamani sijui lolote kuhusu siasa)
Cheers!!