how to hide my ip address?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wataalamu naomba mnisadie jinsi ninavyoweza kufanya ip addres yangu isionekane online
nimefanya download na nimepata message inasema ninadownload illegal software na wana
uwezo wa kunipata via my ip addres
nimeona baadhi ya software za kuhide ip address lakini ni ngumu kuzitumia
 
Pole sana miss rose.

ok kuficha ip kwa kutumia software ni rahisi sana ila unaweza tumia PROXY ADRESS!!!!

Ni rahisi kuliko unavyofikiria na wala haitakiwi uwe mtaalamu wa macode au nini....ok

cha kufanya tumia proxy hizi hapa chini kufungua hiyo web yenye illegal contect...

hakuna atayeona IP yako na mfano mtu anakutafuta atapewa IP ya nchi nyingine.

Mfano utaonekana IP yako ni ya canada wakati upo Bongo.

hizi hapa ila pia waweza search google for more.....

nobodycanstop.us

Hide My Ass! Free Proxy and Privacy Tools - Surf The Web Anonymously

kama unataka zaidi ni PM...

pia kama Ulipo facebook imefungwa au youtube wewe fungua kwa kutumia hii kitu and have fun.
(hii ndio kitu waliyotumia Misri na Tunisia Kurusha video on youtube na facebook bila serikali kuona)

Nawashauri wanajamii wote wawe wanatumia PROXY kufanya vitu ambavyo hawataki SERIKALI ione. maana Kupitia idara ya mawasiliano serikari na FBI wana ona kila unachokifanya online.

cheers!!
 
Hivi bongo mtu unaficha IP adress yako ya nini? ingali IP adress moja tuna share zaidi ya users 150 na kuendelea, watakukamatia wapi? kwa wenzetu sawa, ila kwa bongo usitie shaka, au labda unataka kuangalia vipindi vya wenzetu online ambayo havipatikani kwa tz n'k
 
Pole mkuu rukus.

hapo juu umeonyesha ufinyu wa maarifa....sikutegeme mkuu kama wewe ungetoa maelezo kama hayo.

sharing ip adress doesnt make u free from other pipo s eyes!!

hata kama ni shared bado mtu anaweza aka kutrace na kujua kila kilicho kwenye PC/Laptop yako.

nikielezea hapa hatuta msaidia mtu, labda uanzishe TOPIC kuuliza kama kuna sababu za ku hide shared ip!!

anyway fungua link hii kuona Jinsi gani computer yako ipo UCHI

What is my IP address

Halafu kisha fungua link hiyo hiyo kwa kutumia proxy adress au gonga hapa

nobodycanstop.us

kama mtu ameweza ona hadi unapo ishi,aina ya computer yako na software unayotumia...si dhani kama hakuna haja ya kuficha.

pole sana mkuu!!!
 
Naomba ni kujulishe tu kuwa siko hapa kuonyesha watu kuwa mimi nina maarifa or sina,najua nacho kiongea siyo wewe unaye karirishwa vitu nakuja kutuwekea hapa kisa tu unajua kusearch kitu unachohitaji, sitaki kuongelea juu yako ila jua ulipo lalia wewe ndipo nilipo amkia miaka mingi iliyopita...

Tatizo lako bw mdogo unapenda sifa sana ndio maana sina time ya kujibizana na wewe or kushindana na wewe kwanza wewe ni sawa na Mwanangu wa kumzaa kabisa.. Au unadhani ujulikani?

Ungekuwa una maarifa usingeweza kujulikana wewe ni nani na unatumia mashine kani unapatikana wapi na vitu kama hivyo! wewe unawashauri wenzio wajinginge IP zao zisionekane ingali wewe mwenyewe ufanyi hivyo?

Mkuu, Computer yako ikiwa imeunganishwa na internet hakuna cha kuficha tena hapo watu wakihamua kujua kilichomo au unachokifanya watajua tu .
 
To answer the question above, search for ToR (https://www.torproject.org/download/download.html.en), download and install. For users here, in Tz, the experience is slow because of fewer tor proxy servers in the region. Whichever the use, it is good to bear in mind that, use of free proxies can be detected by readily available tools and even easier with specialized network monitoring tools, therefore unreliable for accessing services that require a permanent socket connection. But it is also worth knowing that, despite the fact that secure connection is supported by most proxy tools, still, it is not a good idea to pass sensitive information to sites while surfing under the guise of a proxy, as in most cases and under normal circumstances, you do not have control over the proxy.
 
yeah...siwezi bisha kama unaweza kuzaaaa nakupongeza sana kubeba mimba miezi 9 si mchezo mkuu... mimi naweza kuzalisha tu !!

anyway maneno mingi haivunji mufupa. na waweza kufahamu sababu mimi sifichi IP yangu na sinahaja ya kuficha hadi ninapotaka kuficha!!

nothing to hide.... bwana mkubwa

you keep your word sababu si sehemu ya malumbano na maneno yako hayajamsaidia. unaonekana wapenda mipasho!! mie siwezi mkuu

u do wat u have to do...im doing this for fun..lol hatutishani kwa maneno bana fanya vitendo bana ni vizuri ukaeleza wana JF ni vipi wanifahamu

wacha mikwara mbuzi.

cheers!!
 
Mkuu, Computer yako ikiwa imeunganishwa na internet hakuna cha kuficha tena hapo watu wakihamua kujua kilichomo au unachokifanya watajua tu .

hapo bado tu hujaona sababu ya kuficha IP yako!!

proxy zinaficha bana hata kama mnatumia watu 150 IP moja....

usipoteze watu kwa kusema kuwa huwezi ficha wakati waweza ficha.
 
hapo bado tu hujaona sababu ya kuficha IP yako!!

proxy zinaficha bana hata kama mnatumia watu 150 IP moja....

usipoteze watu kwa kusema kuwa huwezi ficha wakati waweza ficha.
Soma hayo maneno uliyo ya nukuu vizuri.... Uwezi niambia eti unaficha IP yako uwe salama, unaficha kwa kutumia kitu gani? je na hiyo proxy unayotumia unajua inamilikiwa na nani? na je akitaka kuchukua taarifa zako na akatumia ananvyo taka utasema umeficha kitu?
 
wats ur problem? elezea kwa nini hazifichiki that will be something usefull ila si kusema kuwa Huwezi ficha IP sababu ni shared.

so inamaana watumiaji wa nchi zingine hawatumii ip kama zetu...lol

Pia kuna program inaitwa TOR http://www.torproject.org/ na utrasurf Ultrasurf - Free Proxy-Based Internet Privacy and Security Tools ,

pia kuna addons za firefox za kuhide it How To Hide Your IP Using SwitchProxy Firefox Add-on

FAFANUA basi ili Tujue kuwa tulikuwa hatufahamu au Admit kuwa wewe ulikuwa hujui hilo!!

Ni vizuri kujua kuliko kutojua
 
Kutumia proxy kunaifanya kazi ya kukutafuta iwe ngumu, but not impossible. Kimsingi, hakuna privacy kwenye Internet,yaani huwezi ukafanya kitu na watu wasiweze kukutrace wakitaka-ndio maana hackers wanakamatwa na wale ambao hawakamatwi, bado ni rahisi kujua walitumia PC gan. Njia inayoaminika ni ya kutumia VPN, lakini bado watu wakiamua kukutrace watakupata.
 
Sharobalo na Uncle Rukus, cease fire jamani. Ukumbi si wa vijembe huu. Kubalianeni kutofautiana na kuendelea na ushiriki wenu ulio chanya kwenye jukwaa la maarifa. Pia nawaombeni "msi-download na ku-upload" kutokuelewana kulikojitokeza kwenye sredi hii kwenye sredi nyingine. Pamoja. Ahsanteni!!

Steve Dii
 
Well spoken Bro!!! thats knowledge umeonyesha maarifa tofauti na mkuu fulani anayetumia elimu ya mwaka 47
Kutumia proxy kunaifanya kazi ya kukutafuta iwe ngumu, but not impossible. Kimsingi, hakuna privacy kwenye Internet,yaani huwezi ukafanya kitu na watu wasiweze kukutrace wakitaka-ndio maana hackers wanakamatwa na wale ambao hawakamatwi, bado ni rahisi kujua walitumia PC gan. Njia inayoaminika ni ya kutumia VPN, lakini bado watu wakiamua kukutrace watakupata.
 
aha!! watu kama hawa wapo ili maisha yawepo.
Maana akiona nimetoa post tu yeye anaaza kuponda.
fatilia post zote haoni kizuri hata kimoja.
sasa sijui ni umri unamsumbua amesema anaweza kunizaaa.
wazee wetu hawa bwana
hata ukienda kijana kuomba kazi ofisini wazee wanachukia kuona vijana wapya wameingia.
Sharobalo na Uncle Rukus, cease fire jamani. Ukumbi si wa vijembe huu. Kubalianeni kutofautiana na kuendelea na ushiriki wenu ulio chanya kwenye jukwaa la maarifa. Pia nawaombeni "msi-download na ku-upload" kutokuelewana kulikojitokeza kwenye sredi hii kwenye sredi nyingine. Pamoja. Ahsanteni!!

Steve Dii
 
lol very intresting kuona kila mtu anafikiriaje juu la hli jambo big up kwa walio patia,jaribu na waliokosea na wakarekebishwa na bado hawajakubali bado!.... hehehehehehhehe! wajameni jokes 2 mcichulikie serious ni vyema tunavyojivuza kila siku big up kwa wote waliochangia apa na mie nimekapata ka knowlege pia! vile vile people kwa wale wanaopenda vya bure au kulipia net ni kaz kama kwa wegine kama mimi ukicheza in deep na hzi software ya kuhide ip address au ku surf anyomously ni na habari nzuri kwenu kwamba kuna mtandao moja apa tz utaweza surf and download BUREEE... FUREE kabisa at 0shs sasa sitasema ni mtandao gan au ni njia ipi cheza na hz software za kuhide ip na labda mnaweza faidika kidogo ni hayo 2 wakuuu... siku njema
 
aha!! watu kama hawa wapo ili maisha yawepo.
Maana akiona nimetoa post tu yeye anaaza kuponda.
fatilia post zote haoni kizuri hata kimoja.
sasa sijui ni umri unamsumbua amesema anaweza kunizaaa.
wazee wetu hawa bwana
hata ukienda kijana kuomba kazi ofisini wazee wanachukia kuona vijana wapya wameingia.

Tatizo lako upendi kukosolewa unaona kila unachoandika hapa kiko sahihi au unauelewa nacho sana kitu ambacho siyo....Kuja jamaa alikuja kama wewe hivi mwisho wasiku ametokomea porini....

usiwe na mawazo mgando ndugu yangu siyo kila anayo kukosoa anania mbaya na wewe kama unavyo dhani, wengine hatupendi kuona upotoshaji... Kila mtu anajua matumiazi ya GOOGLE!
 
Back
Top Bottom