Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Sio kwamba im picking sides, ila I respect kila m2 anaechangia [isipokuwa ukitoa 'DUMB' nitakwambia kama nidumb, sio kwa nia ya kukucheka ila just kukufanya uingie hasirausome]
Hio ya juu irrelevant. Nataka kusema ROSEMARIE umekosea kupick sides na kumponda Ruckus [after all, hez just uncle Ruckus no relation :-D]. Alikuwa anabishana kukusaidia wewe, na wewe ndo unamkandia. He deserves a thank you! kabishana, wakajikamua ikapatikana elimu! kubishana sio kosa. napenda watu wanaobishana kwenye elimu, na miezi tele sijagusa jukwaa jengine kwasababu hii!
Na naombeni msichukulie mabishano yenu personally!
cheers! my ip address is G0E.FYO.URS.ELF :-D!!
RedSilverdog Wewe unaweza kuwa refa mzuri kabisa . But ni rahisi kupick side ukiwa huna knowledge nzuri na kitu so rosmarie amekosea lakini si kosa lake. Ni sababu yeye ni muuliza swali so so naye hana detail zaidi.
Kuhusu mpambano wa wa Rukus na sharobaro kila mtu ana Relevant points ila every one is viewing same thing from different angle.
Hizi ni point chache najumuisha za "mabondia"wote na kuongeza zangu
- Hiding Ip adress dees not make one untracable but it can complicate or make tracing one computer hard
- Hiding Ip adress kutumia free proxies slow network na inaweza kuchangia kutumika kwa bandwidth zaidi
- Hiding IP adess ina faida mfano unaweza kuona vipindi vya BBC online ambavyo wanaona watu wenye IP za uk tu . So if u want to watch BBC online or some program za kimarekani may be kwa rose program kama american top model. eg huwezi kuona hii program kama huna Ip adress ya USA America's Next Top Model Video - Finale | Watch Online Free
- Kuna free proxies za kutumia kuhide ip adreess wataalam wametoa link na firefox inayo Add on kama walivyobainisha
Vile vile Rosmarie kuwa makini na hao walioutumia massage inawezekana ni scammers wa kinigeria or nchi yeyote . If u dont mind ebu iweke hiyo message yao na adress yao waliyokutumia hapa. So knowledege nzuri kwako ya muhimu inaweza isiwe kuhide ip bali kutambua mail za scammers na uwe ana firewall policy nzuri na etc.
NB
Tunazidi kuelimika watu wakitofautiana kwa hoja. constructive criticism sio mbaya lakini inapokuwa personal hapo sasa ndo inakuwa kama tuko kwenye lile jukwaa la wanasiasa. teh teh teh Lets us not make technology subforum kama sisasa .........
Nawasilisha