How the new Cyber Law will land you in Jail...

How the new Cyber Law will land you in Jail...

As per S.7(1), mtu yeyote akipost chochote that is deemed illegal hapa JF basi wana JF wote tutakuwa liable for the punishment!! Aliyeelewa vizuri anisaidie.

Uko sawa Mkuu...! 😁😁😁😁.
 
Hivi ilipitishwa na bunge letu hili hili?
Mbona jela zitakuwa hazitoshi maana mpaka mpokeaji pia ni mtuhumiwa??????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii kali,yangu macho na masikio
 
Wacha ujinga wewe. Hata humu JF kuna uzi wa Infomer upo kama bango hebu usome wote halafu uje unye tena hapa kinyesi chako cha ugali wa mtama na njugu mawe.
 
Ni Muhimu kutambua pia kwamba mswada uliboreshwa tayari na Serikali kupitia amendment ilizofanya, Kamati ya Bunge kupitia mapendekezo yalifyofanyika na kupitia Mbunge mmoja mmoja; akina Mnyika na Lissu... Mainly kila Mahali waliongeza na kusisitiza maneno "intentionally and unlawful";

Na kwamba hata attachment ikiyopo sio latest version atakayopelekewa Mh. Rais ku-assent.

yeyote ambaye hatafanya kama vigezo hapo juu hahusiki na matatizo.

BTW: Mnyika alisemama kwenye vipengele vingi vya mswada kwa Ajili ya kuongeza maneno hayo na si kweli Kwamba walikuwa na a lot of uniques amendments.

Ni Jambo pia la kusikitisha kwamba hatujui kwamba Bunge ndio linatunga sheria... Serikali inapeleka mapendekezo draft/rasimu/mswada Bunge halizuiwi kurekebisha mswaada Kadri watakavyo... Including kutaka uondolewe kabisa... Ni vyema Hao wanaojiita wadau... Kujua where to press the button...
 
Someni hiyo sheria iko kwa kiswahili pia katika nakala hiyo hiyo kuanzia ukurasa wa 29. Acheni porojo. Hii sheria inakulinda wewe na watu wengine wanaoweza kukudhuru kwa kutumia mtandao.

Unadhani hatujasoma Mkuu,acha watu wadigest,usiwalazimishe kuelewa ulivyoelewa wewe japokuwa wewe ni Profesa .After all na wewe ni Human being unaweza kuelewa ndivyo sivyo pia,leave people to discuss and understand it!
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Mkuu kwa kuiweka humu. Leo hii Captain Komba angekuwa hai angefurahi sana maana yeye ni miongoni mwa wahanga wa uhalifu wa mitandaoni
 
I think we need one to take that draconian lawa to the court and challenge it as unconsitution. With that law no one is safe but at the same time it is a law defending all dubious activities done by leaders on pretext of confidential documents. All the scandals which had been revealed to the public through JF, blogers etc are now protected by the law and creating fear to public while continuing doing their ilegal things. Please let someone challenge this Act before the court of law
In ma own opinion, this is one of the ridiculous bill the parliament has ever passed. It is just shameful to our MPs. I think this bill is unconstitutional in a sense that it violets one of the core principle of our country: Democracy. Democracy does not permit government to treats its citizens as children. In a democratic country like ours government should treats its people as mature people who can differentiate what is helpful and unhelpful to them. Enactment of this bill into law will be a step back in our struggles for democracy.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hao wanaolalamika ndo wahalifu wenyewe. Kumbuka hakuna msiba usio na kilio
 
Wacha ujinga wewe. Hata humu jf kuna uzi wa Infomer upo kama bango hebu usome wote halafu uje unye tena hapa kinyesi chako cha ugali wa mtama na njugu mawe.

Haya ndio tusiyoyataka, kama una hoja kwanini usiilete, unalete kejeli na matusi? Unaiaibisha Jamii Forum. Any way mjinga hapa anaonekana ni wazi
 
Lazima tujifunze kuona beyond black board....hapa walengwa wanafahamika.......na hii ni maalumu kwa wale watakao temper na wale jamaa zetu pale Lumumba......Niliambiwa January aliudhiwa sana na vijana wa jamiiforums na isitoshe namna siri za wizi serikalini na madudu kwenye wizara na taasisi yanavyowekwa hadharani yalivyoikosakosa kuiangusha kabisa serikali na kuwapa nguvu kubwa sana upinzani...sasa anaona amewapatia dawa yao....

Sasa nikapata tip mahali nikaiscan hiyo document nikamtumia mtu aliyepo nje ya nchi mwenye makazi permanent huko anisaidie kuipost hapa watamkamata nani??
Huko Facebook kuna watoto hata hawajui kinachoendelea ... sasa atasema aliwalenga wao?
Sheria zinazotungwa kulenga kundi fulani la watu ili kujitafutia Political legitimacy ni hatari sana,na ni Mkakati wa Januari Makamba(Msaka urais) baada ya kuona hawakubaliki tena mitandaoni, kumbe hata mtaani hakuna mwenye time nao
Januari huyo huyo anataka awe raisi wetu.... !
Wakati anashabikia utunzi wa sheria mbovu namna hii unaambiwa ndie mtu wa kwanza Tanzania kuwa na account twitter..what a stump!

Hawezi kua rais huyo, ameshapewa sumu na wakubwa wake, ccm ya sasa n kikundi kidogo tu cha mafisadi na wahuni kwaiyo wanakomaa waweke mtu atakaendeleza uchafu wao tayari na makamba lazima afate kile wanachotaka, kwa hlo urais kachemsha,, tayari yuko kwenye kundi la ccm masrahi
 
Wacha ujinga wewe. Hata humu jf kuna uzi wa Infomer upo kama bango hebu usome wote halafu uje unye tena hapa kinyesi chako cha ugali wa mtama na njugu mawe.

Kwa majibu na matusi haya ndio maana unaipinga hii sheria.
 
Mwaka huu tutaacha tumia hizi simu na internet
 
I think we need one to take that draconian lawa to the court and challenge it as unconsitution. With that law no one is safe but at the same time it is a law defending all dubious activities done by leaders on pretext of confidential documents. All the scandals which had been revealed to the public through JF, blogers etc are now protected by the law and creating fear to public while continuing doing their ilegal things. Please let someone challenge this Act before the court of law

We can do that, we need to work it out.
 
Nilidhani umechambua upotoshaji.
Sikuona sababu ya kurudia post nyingi sana zinazopotosha muswada huu. Nimegundua watu hawajaisoma wanashabikia na kuwa negative bila sababu za msingi.

Nimeisoma yote, la muhimu nililoliona ni kuzuia matumizi ya mitandao kufanya uhalifu, ukatili na udhalilishaji na kutoa nafasi kisheria kwa vyombo husika kuchukua hatua.

Mfano swala la kufuta data au kubadili taarifa katika mtandao linaongelewa kuhusiana na pale uchunguzi inapokuwa umeanza sio kuwa ukibadili taarifa zako humu JF basi umevunja sheria sio kweli.

Iwapo kuna shitaka la kisheria na kuna kesi, basi kubadili taarifa iliyowekwa kama ushahidi kwenye kesi ndio inachukuliwa kuwa kosa. Na mengine mengi tu... sijaona mahali panapoongelea Whats Up au Face book, mitandao iko mingi zaidi ya hiyo na hii inaweza kufa na kuibuka wangekuwa wajinga sana wakiitaja na ni kinyume cha utaratibu. Usome vizuri na angali hoja za wengi humu ikiwemo magazeti.
 
Hakuna CCM wala chama chochote hapa, ungefuatilia mijadala ungeona jinsi Mh Mnyika na Mh Tundu Lisu walivyosaidia kwa kiasi kikubwa kuurekebisha Muswada huu, ingawa si kila kitu kiliafikiwa. Soma acha mambo ya itikadi, sheria hii haitakuacha ukikiuka hata uwe chama gani
 
Hata hapa nimeshindwa kusoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom