How the new Cyber Law will land you in Jail...

Profesa,

..Je, sheria hii itakuwa na udhibiti gani wakati wa uchaguzi mkuu?

..Je, unafikiri ni mambo gani yapo ktk sheria hiyo unafikiri yatakuwa ya msaada kwa vyama vya upinzani na wanaharakati?

..Ningependa kujua sheria hiyo inawalinda kiasi gani wanaharakati na whistle blowers.

cc Kasheshe, Nguruvi3, Pasco, Manyerere Jackton, Mkandara
 
Last edited by a moderator:
As per S.7(1), mtu yeyote akipost chochote that is deemed illegal hapa JF basi wana JF wote tutakuwa liable for the punishment!! Aliyeelewa vizuri anisaidie.

Hapa tunafungwa midomo au kifo cha mitandao ya kijamii dalili ndio kama huu msuada
 
Leo nimenunua simu ya touch,wakipitisha tu sheria yao nakaa zangu pembeni,pia nimeagiza nyumbani kwangu kuanzia siku watakapo pitisha sheria yao,wasiache kupika maharage,nizee kula maharage maana naweza peletwa Segerea kwa kupokea sms kwenye touch yangu,na kufowadi kwa mwingine kumbe hiyo sms haina ukweli
 
Mtusaidie watu kama master plan muwatie adabu kwa lugha zao za mihemuko, bora JF ibaki na members wawili lakini wenye kujua kuongea kwa hoja na lugha ya kuheshimiana mwenye kuona anaonewe ahamie Uganda
 
To the government, the just-passed Cybercrime Bill is very good law aimed at curbing the increase in Internet associated vices, but to section of lawmakers, press freedom stakeholders and bloggers, this is a draconian law that shouldn’t be allowed in a democratic state like Tanzania.

Just few days after it was passed by the Parliament, today, The Citizen brings you an analysis of twelve key factors to watch, because you may soon find yourself going to prison—simply for receiving what the state calls illegal information on your mail.

One, Section 7 (2b) states that the receiver of information deemed illegal shall be sued. For instance, if someone you know or even a number you don’t know sends you ‘illegal’ image on WhatsApp, you will be criminally liable for it and will therefore be punished!

Two, Section 21(1) requires that all Internet service providers give all particulars of their clients to the State whenever the latter demands such private information. In other words, this law allows the State to police on the citizens via the Internet.

Three, Section 8 states that it will be an offence to publish online “confidential” government documents, even if such publication is done for national interest. These days, all over the world, major scandals and abuses by State officials are leaked and published on line by whistle-blowers and activists.

The advantage of the online platform is that it isn’t easy for the State to control. But after the Bill becomes law, there will be no more online whistle-blowing!

Four, Section 14 states that publication of any image deemed indecent can earn the “offender” up to 10 years in jail or a fine of Sh30 million. The problem with this law is that it doesn’t clearly define what pornographic material is. That means what one could take as just a sexy selfie, posted on Instagram can lead one to 10 years behind bars.

Five, Section 23 states that if convicted, the offender will go to jail for not less than one year for causing another person emotional distress and trauma. While those who inflict such sufferings deserve to be behind bars, the problem though, is how to determine what kind of image or story can cause emotional distress to another person and what cannot. Because anything negative is likely to hurt the culprit, the best thing to do be safe especially if the culprit is a powerful figure, is not to publish anything.

Six, you will notice that the minimum sentence and fine in most sections is indicated as “not less than”. This means that people will go to jail for life for most offences or pay tonnes of money in fine because there is no maximum number of years and amount of money indicated under the this Bill.

Seven, we see a lot of Nelson Mandelas, Julius Nyereres, Che Guevaras, Steven Kanumbas, Osama bin Ladens and even Barack Obamas active online. But they are none of these powerful figures! Bad news is that this law has no provision for using pseudonyms or fake names. This means that one can create an account using your name and photo he/she downloaded online, post criminally offensive material and let you face the music.

Eight, it is the government through the minister concerned to determine which information is true or and which is false. But think about it this way: even in the escrow, EPA and countless other scandals, ministers responsible had insisted on the “truth”, but their truth was soon proved to the contrary. If this law was in place before, it means many who “lied” that corruption was involved these matters could have ended in jail.

Nine, according to Section 22, if you post something online and later deletes or improves it by editing it; you will be guilty of tampering with evidence. This means your postings and profiles will be static because someone will be watching and wants them to remain that way.

Ten, police officer commanding a station anywhere in the country can order you to surrender your phone, laptop, your private email and chats without a court order.

Eleven, in Section 31 (3a), the law states that the officers who took your belongings will give you the list of the items taken “as soon as practicable”. That can mean one or two weeks or even a month or a year.

Twelve, according to Sections 31 to 35 and 39 to 45, if you are a blogger or online service provider, and you saw an offensive publication and removed it while preparing to report it as this law requires, the officer can at the same time visit your premises and confiscate your equipment—because this law allows such action.

In this situation, simply because you were in the process to report an offensive publication, but you were caught in the middle, you can be the prime suspect—facing imprisonment if found guilty.

Source: The Citizen

Lets wait and see!
 
Professa Heshima kwako,

Kwanza kuna kitu huelewi au unalazimisha kutokuelewa au na wewe una malengo potofu ya kuhadaa umma dhidi yasheria hii kandamizi yenye kulenga jamii fulani ya watu kwa manufaa mafupi ya kisiasa na muendelezo wa miungu watu Africa.

Bila kuquote kifungu chochote nunieleze tu yafuatayo;
1. Sheria hii inamlinda vipi whistle blower hasa ikiokea kuleakisha document zenye muelekeo wa wizi ama hujuma ama negotiation zinazohujumu/ zenye muelekeo wa kuhujumu uchumi wa taifa.
2. Unazuia Porn bila kusema maana ya porn, embu nieleze wewe kama Professa maana halisi ya neno pon kwa mujibu wa sheria hiyo
3. Nieleze Kwanini sheria inaweka adhabu kwa mtu anaepokea message kwa vyovyote vile.
4. Unaweza kuchora mstari kati ya ujumbe unaoweza kumuudhi mtu na tafsiri yake ikoje?
Embu nieleze hayo kwanza kabla hujaleta upotofu usio na faida yeyote kwa umma.
 
Wacha ujinga wewe. Hata humu jf kuna uzi wa Infomer upo kama bango hebu usome wote halafu uje unye tena hapa kinyesi chako cha ugali wa mtama na njugu mawe.

Bata ana nafuu kuliko mdomo wa hivi
 
Profesa,

..Je, sheria hii itakuwa na udhibiti gani wakati wa uchaguzi mkuu?

..Je, unafikiri ni mambo gani yapo ktk sheria hiyo unafikiri yatakuwa ya msaada kwa vyama vya upinzani na wanaharakati?

..Ningependa kujua sheria hiyo inawalinda kiasi gani wanaharakati na whistle blowers.

cc Kasheshe, Nguruvi3, Pasco, Manyerere Jackton, Mkandara

Soma sheria yenyewe na wewe mwenyewe, acha kupenda kusimuliwa lakini hakikisha unafuatilka marekebisho, achana na comments za watu... Kitakachohold water ni kile kilichopitishwa na Bunge sio kilipelekwa Bungeni.

sheria yenyewe sio kwa ajili ya Msimu it hold water wakati wa uchaguzi na wakati usiokuwa na uchaguzi... Meaning hakuna sheria inasema wakati wa uchaguzi watu waruhusiwe kufanya cyber crime ...
 
To all whistle-blowing in Tanzania email me your material and i will post it for you, Fc CCM na serikali yake
 
Profesa,

..Je, sheria hii itakuwa na udhibiti gani wakati wa uchaguzi mkuu?

..Je, unafikiri ni mambo gani yapo ktk sheria hiyo unafikiri yatakuwa ya msaada kwa vyama vya upinzani na wanaharakati?

..Ningependa kujua sheria hiyo inawalinda kiasi gani wanaharakati na whistle blowers.
Sijui kama kuna kipengele cha kulinda whistle blower au wana harakati.
Kwa mtazamo wangu, sheria imeletwa ili kuwazuia

Sheria ya cyber na ile ya takwimu zimekuja kwa pamoja ili kudhibiti habari na kuturudisha kule ambako wote tunapaswa kkusikiliza RTD

Katika uchaguzi, shaeria itaumiza. Mfano , ikitokea kuna ''ubabaishaji wa kawaida'' akaja mtu na kusema waliopiga kura ni 20,000 na si 50,000, sheria ya elekroniki inambana kama kifungu kinavyosema, ametumia teknolojia ya habari kupotosha, halafu watasema takwimu zake hazikutoka NBS, kosa jingine !!!

Ukiisoma vizuri hata kama si version ya mwisho, utabaini haikuwa na dhamira ile njema ya kulinda jamii.
Imetumia dhamira njema kuchomeka dhamira mbaya.

Tendo la kutokuwa na kipengele cha whsitle blower na wanaharakati linaeleza vema dhamira ya sheria
 
To the government, the just-passed Cybercrime Bill is very good law aimed at curbing the increase in Internet associated vices, but to section of lawmakers, press freedom stakeholders and bloggers, this is a draconian law that shouldn’t be allowed in a democratic state like Tanzania.

Just few days after it was passed by the Parliament, today, The Citizen brings you an analysis of twelve key factors to watch, because you may soon find yourself going to prison—simply for receiving what the state calls illegal information on your mail.

One, Section 7 (2b) states that the receiver of information deemed illegal shall be sued. For instance, if someone you know or even a number you don’t know sends you ‘illegal’ image on WhatsApp, you will be criminally liable for it and will therefore be punished!

Two, Section 21(1) requires that all Internet service providers give all particulars of their clients to the State whenever the latter demands such private information. In other words, this law allows the State to police on the citizens via the Internet.

Three, Section 8 states that it will be an offence to publish online “confidential” government documents, even if such publication is done for national interest. These days, all over the world, major scandals and abuses by State officials are leaked and published on line by whistle-blowers and activists.

The advantage of the online platform is that it isn’t easy for the State to control. But after the Bill becomes law, there will be no more online whistle-blowing!

Four, Section 14 states that publication of any image deemed indecent can earn the “offender” up to 10 years in jail or a fine of Sh30 million. The problem with this law is that it doesn’t clearly define what pornographic material is. That means what one could take as just a sexy selfie, posted on Instagram can lead one to 10 years behind bars.

Five, Section 23 states that if convicted, the offender will go to jail for not less than one year for causing another person emotional distress and trauma. While those who inflict such sufferings deserve to be behind bars, the problem though, is how to determine what kind of image or story can cause emotional distress to another person and what cannot. Because anything negative is likely to hurt the culprit, the best thing to do be safe especially if the culprit is a powerful figure, is not to publish anything.

Six, you will notice that the minimum sentence and fine in most sections is indicated as “not less than”. This means that people will go to jail for life for most offences or pay tonnes of money in fine because there is no maximum number of years and amount of money indicated under the this Bill.

Seven, we see a lot of Nelson Mandelas, Julius Nyereres, Che Guevaras, Steven Kanumbas, Osama bin Ladens and even Barack Obamas active online. But they are none of these powerful figures! Bad news is that this law has no provision for using pseudonyms or fake names. This means that one can create an account using your name and photo he/she downloaded online, post criminally offensive material and let you face the music.

Eight, it is the government through the minister concerned to determine which information is true or and which is false. But think about it this way: even in the escrow, EPA and countless other scandals, ministers responsible had insisted on the “truth”, but their truth was soon proved to the contrary. If this law was in place before, it means many who “lied” that corruption was involved these matters could have ended in jail.

Nine, according to Section 22, if you post something online and later deletes or improves it by editing it; you will be guilty of tampering with evidence. This means your postings and profiles will be static because someone will be watching and wants them to remain that way.

Ten, police officer commanding a station anywhere in the country can order you to surrender your phone, laptop, your private email and chats without a court order.

Eleven, in Section 31 (3a), the law states that the officers who took your belongings will give you the list of the items taken “as soon as practicable”. That can mean one or two weeks or even a month or a year.

Twelve, according to Sections 31 to 35 and 39 to 45, if you are a blogger or online service provider, and you saw an offensive publication and removed it while preparing to report it as this law requires, the officer can at the same time visit your premises and confiscate your equipment—because this law allows such action.

In this situation, simply because you were in the process to report an offensive publication, but you were caught in the middle, you can be the prime suspect—facing imprisonment if found guilty.

Source: The Citizen

Mukulu Akiisaini Tu Asidhani Atakuwa Amewaweza Na Kuwakomoa Akina GENTAMYCINE Bali Nijuavyo Hata Washirika Wake Wa Karibu, Familia, Cabinet Yake, Wabunge Wake Na Wanachama Wake Wa CCM Na Wao Pia Ni Watumuaji Wazuri Tu Na Hodari Kwa Kutoa Maneno Ya Shombo Kuanzia Humu Humu Jamvini Hadi Ktk Simu Zao Na Labda Tu Nitumie Fursa Hii Kumwomba Mheshimiwa Mukulu Asiisaini Hii Sheria Na Aichanechane Na Kuitupia Msalani Na Atuache Watanzania Tujimwaemwae Kwa Raha Zetu.
 
Professa Heshima kwako, Kwanza kuna kitu huelewi au unalazimisha kutokuelewa au na wewe una malengo potofu ya kuhadaa umma dhidi yasheria hii kandamizi yenye kulenga jamii fulani ya watu kwa manufaa mafupi ya kisiasa na muendelezo wa miungu watu Africa..bila kuquote kifungu chochote nunieleze tu yafuatayo;
1. Sheria hii inamlinda vipi whistle blower hasa ikiokea kuleakisha document zenye muelekeo wa wizi ama hujuma ama negotiation zinazohujumu/ zenye muelekeo wa kuhujumu uchumi wa taifa.
2. Unazuia Porn bila kusema maana ya porn, embu nieleze wewe kama Professa maana halisi ya neno pon kwa mujibu wa sheria hiyo
3. Nieleze Kwanini sheria inaweka adhabu kwa mtu anaepokea message kwa vyovyote vile.
4. Unaweza kuchora mstari kati ya ujumbe unaoweza kumuudhi mtu na tafsiri yake ikoje?
Embu nieleze hayo kwanza kabla hujaleta upotofu usio na faida yeyote kwa umma.
Imekuwa vyema umemtaka huyo anayejiita Profesa akufafanulie masuala hayo kadhaa uliyomuuliza.

Hata hivyo ngoja niongezee jambo moja muhimu sana, ambalo inawezekana siyo watu wengi sana watakuwa wameligundua.

Sheria nyingi zinazopitishwa bungeni na hasa katika hati ya dharura, ujue una lengo lililojificha la kuwakomoa wapinzani.

Tujikumbushe sheria iliyopitishwa miaka michache iliyopita, sheria ya ugaidi nchini, ambayo utekelezaji wake tulijionea namna walivyoanza na kesi ya kwanza kabisa kwa kumbambikia kesi ya ugaidi Rwakatare wa Chadema.

Hata hivyo kwa kuwa Mungu siyo Athumani, majaji makini wa mahakama kuu, waliamua kuitupilia mbali kesi hiyo, ambayo lengo lake kuu,lilikuwa ni kutaka kuihusisha CDM na ugaidi.

Hivi na ule ushahidi wa Mwigulu ambao alidai anao wa kuwahusisha Chadema na ugaidi, ambao alitamba kuwa yupo tayari kuutoa hapa duniani na hata mbinguni, hivi ushahidi wake huo 'uliyeyukia' wapi?!
 
Profesa,

..Je, sheria hii itakuwa na udhibiti gani wakati wa uchaguzi mkuu?

..Je, unafikiri ni mambo gani yapo ktk sheria hiyo unafikiri yatakuwa ya msaada kwa vyama vya upinzani na wanaharakati?

..Ningependa kujua sheria hiyo inawalinda kiasi gani wanaharakati na whistle blowers.

cc Kasheshe, Nguruvi3, Pasco, Manyerere Jackton, Mkandara

Inaelekea tunataka hii sheria ibebe roles za sheria zingine... This is wrong thinking.

-Mambo ya Uchaguzi ---> Sheria ya Vyama Vingi Iko Detailed on this
-Msaada kwa vyama vya upinzani na wanaharakati ----> Maudhui ya sheria hii sio kwa ajili hiyo... Hata hivyo "The Media Service 2015, Bill and The Accesss for Information 2015, Bill has these.
-whistle blowers ----> the above media service bill and access to information bill can do this lakini pia nilisikia Kutakuwa na sheria mahususi for this....

Simply acheni kila sheria ifanye sehemu yake, iwe na scope, na scope ya hii sheria ni CYBER CRIME... Makosa almost yaleyale lakini yanayotendwa kwenye mitandao... That is the aim and not otherwise.
 
Tundu Lissu tunakuomba hapa pls. Haya makitu ya CCM yatadidimiza uchumi wa Watanzania. Waziri wa mawasiliano sijui kazi yake ni nini.

swissme
 
1. Sheria hii inamlinda vipi whistle blower hasa ikiokea kuleakisha document zenye muelekeo wa wizi ama hujuma ama negotiation zinazohujumu/ zenye muelekeo wa kuhujumu uchumi wa taifa.
Kutakuwa na sheria mahususi kwa kulinda whistle blower; kuweka hapa tu, kwenye sheria hii tu maana yake ni kulimit walindwe hawa wa mitandao tu...NB check The Media Service Bill, 2015 as wall as The access to information bill 2015,
2. Unazuia Porn bila kusema maana ya porn, embu nieleze wewe kama Professa maana halisi ya neno pon kwa mujibu wa sheria hiyo.
check usual English dictionary, same meaning ...
3. Nieleze Kwanini sheria inaweka adhabu kwa mtu anaepokea message kwa vyovyote vile.
Already clarified kwenye Bunge, look for Hansard, NB... Kanuni zitaonyesha vizuri... Assume umenipa password za servers za BoT and I decide to keep them or give another person/jamabazi inform of word of mouth, nitakuwa nimetenda kosa au hapana.

4. Unaweza kuchora mstari kati ya ujumbe unaoweza kumuudhi mtu na tafsiri yake ikoje?
Embu nieleze hayo kwanza kabla hujaleta upotofu usio na faida yeyote kwa umma.

Sasa hivi inafanyikaje bila mtandao? Itafanyika hivyo hivyo kwa kutumia mtandao,
 
Lazima tujifunze kuona beyond black board....hapa walengwa wanafahamika.......na hii ni maalumu kwa wale watakao temper na wale jamaa zetu pale Lumumba......

Niliambiwa January aliudhiwa sana na vijana wa jamiiforums na isitoshe namna siri za wizi serikalini na madudu kwenye wizara na taasisi yanavyowekwa hadharani yalivyoikosakosa kuiangusha kabisa serikali na kuwapa nguvu kubwa sana upinzani...sasa anaona amewapatia dawa yao....

Sasa nikapata tip mahali nikaiscan hiyo document nikamtumia mtu aliyepo nje ya nchi mwenye makazi permanent huko anisaidie kuipost hapa watamkamata nani??

Huko Facebook kuna watoto hata hawajui kinachoendelea ... sasa atasema aliwalenga wao?

Sheria zinazotungwa kulenga kundi fulani la watu ili kujitafutia Political legitimacy ni hatari sana,na ni Mkakati wa Januari Makamba(Msaka urais) baada ya kuona hawakubaliki tena mitandaoni, kumbe hata mtaani hakuna mwenye time nao
Januari huyo huyo anataka awe raisi wetu.... !

Wakati anashabikia utunzi wa sheria mbovu namna hii unaambiwa ndie mtu wa kwanza Tanzania kuwa na account twitter..what a stump!
Kwanza utakamatwa wewe kwa kutuma. Huyo aliyeko nje hawamuwezi!
 
Professa Heshima kwako, Kwanza kuna kitu huelewi au unalazimisha kutokuelewa au na wewe una malengo potofu ya kuhadaa umma dhidi yasheria hii kandamizi yenye kulenga jamii fulani ya watu kwa manufaa mafupi ya kisiasa na muendelezo wa miungu watu Africa..bila kuquote kifungu chochote nunieleze tu yafuatayo;
1. Sheria hii inamlinda vipi whistle blower hasa ikiokea kuleakisha document zenye muelekeo wa wizi ama hujuma ama negotiation zinazohujumu/ zenye muelekeo wa kuhujumu uchumi wa taifa.
2. Unazuia Porn bila kusema maana ya porn, embu nieleze wewe kama Professa maana halisi ya neno pon kwa mujibu wa sheria hiyo
3. Nieleze Kwanini sheria inaweka adhabu kwa mtu anaepokea message kwa vyovyote vile.
4. Unaweza kuchora mstari kati ya ujumbe unaoweza kumuudhi mtu na tafsiri yake ikoje?
Embu nieleze hayo kwanza kabla hujaleta upotofu usio na faida yeyote kwa umma.

Kwanza nikupongeze kwa kuleta maswali yanayoibua hoja za msingi. Ni kweli sheria hii ina mapungufu yake kama sheria yeyote ile, ila tatizo ni ushabiki wa jumla na upotoshaji ambapo watu hawaoni umuhimu wake tena. Sijapenda ulivyomalizia, hoja ndio msingi.

Cheki pia Post ya Kasheshe hapo juu amejibu vizuri sana, kwa kuongezea tu kuhusu maswali yako,

1. Hapa unaongelea kifungu cha 20 na 21. Sina uhakika kama kuna sheria inayomlinda whistle blower ambaye amekusudia kuleta mgogoro na kuibua chuki hata kama taarifa zenyewe ni za kweli, bali zipo sheria zinazomlinda Mtoa taarifa au shahidi kuhusiana na matukio ya uhalifu. Tazama baadhi ya Bills na Sheria anazotaja Kasheshe hapo juu. Hapa Whistle blower akitoa taarifa kwa serikali au taasisi husika bila kuifanya public bila sababu anaweza asiathirike. Lengo si kulinda uhalifu, bali kuzuia kuingiliwa kwa mifumo ya kitaasisi nyeti na sheria na mahakama, pale itakapobidi. Whistel Blowers wengi huwa na mechanisms za kusecure data zao na identity. Hapa kiukweli Invisible ataathirika na zile nondo alizokuwa anaturushia, nakubalisana na wewe iko shida hapa, itambidi abaki anonimous, ila usisahau serikali inaweza kufanya kwa makusudi ili kupata ushahidi muhimu wa kile wasichokuwa na uhakika nacho au kupata public perseption.

2. Ni kweli hawakutoa tafsiri ya Ponografi (na sina uhakika hiki ni Kiswahili sahihi) wameongelea tafsiri moja tu ya ponografia ya mtoto;

3. Hapa tena unaongelea kifungu cha 20. Sidhani kama sheria inatoa adhabu kwa mpokeaji, bali kwa aliyepokea na akaamua kuzisambaza, hapa inawahusu wasambazaji, ndio kile cha ukipata habari yenye madhara delete futa kabisa. Labda kanuni zitafafanua zaidi.

4. Hili la 4 sina uhakika unamaanisha nini na sijaona popote panapoongelea hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom