How the new Cyber Law will land you in Jail...

How the new Cyber Law will land you in Jail...

kadoda11
Naona umepost po.r.no. Watakureport ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
Hats wasipoifuta, itawacost pesa nyingi sana kuadminister hiyo sheria.

Mkuu Sangarara hilo nalo neno! Mbaya zaidi hiyo cost kuisimamia hiyo sheria haitabebwa na CCM bali kodi yangu, yako na ya yule mwingine! Gharama hizi zingaliweza kutumika vizuri kuboresha huduma mbali mbali za kijamii!
 
Naona wataalamu wa it waangalie namna ya kuufanya umma wa watanzania upate taarifa sahihi na kwa wakati hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu!
 
"Sheria hii imetungwa kwa hasira" kama alivyowahi kusema Mh Werema
 
We're facing the consequences of flooding our legislature with clodhoppers who cant even smell beyond their nonsese!
 
Wakuu sijuhi ni mimi au ndio ilivyo,
Hivi kwa Sheria hii, Magazeti na Blog zote za UDAKU si KWISHA HABARI YAKE ?
Kifupi Shigongo Kwishney akafanya Biashara nyingine, na pia Yale magazeti Investigative au wale wanaoandika makala kwenye Magazate, fb , hata humu JF kwisha habari yao.

Exactly mkuu information sources zote kwa hiyo sheria yao ziko hatarini
 
Nadhani kuna upotoshaji, sidhani kama inahusu mtu mmoja mmoja na mambo binafsi, lengo ni kulinda taarifa za siri au zinazomilikiwa taasisi na pale ambapo kutakuwa na complain au uchunguzi unaoendeshwa na taasisi zenye mamlaka na ushahidi uko kielectroniki au kimtandao na komputa. Vifungu hivyo vinavyotajwa hapo juu na mwandishi vimetafsiriwa visivyo kwa lengo la upotoshwaji wa hali ya juu. Wandugu jisomeeni sheria yenyewe hii hapa. Ukiperuzi chini ya Sheria hii kuna nakala ya KIswahili, jisomee.
 

Attachments



In ma own opinion, this is one of the ridiculous bill the parliament has ever passed. It is just shameful to our MPs. I think this bill is unconstitutional in a sense that it violets one of the core principle of our country: Democracy. Democracy does not permit government to treats its citizens as children. In a democratic country like ours government should treats its people as mature people who can differentiate what is helpful and unhelpful to them. Enactment of this bill into law will be a step back in our struggles for democracy.
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1428419738.662615.jpg


This is called vpn ip address, I have started to use it since yesterday baada yakuona kumbe kuna haja ya kujilinda na sheria za Tanzania zinazotungwa ili kukandamiza uhuru wa kuongea....

Kupitia vpn address hiyo unayoiona kwenye picha naweza nikafanya kufanya chochote na mtu asinijue..kitu cha maana sana, this is called technology bhana...
 
Kesi zinazohusu makosa ya mtandaoni si rahisi kama watunga sheria wetu wanavyodhani.

Hata huko kwa wababe wa kukandamiza haki za watu kama China, Russia na Korea ya Kaskazini hawategemei tu hivi visheria. Wana mechanism zingine ghali sana za kiteknolojia kufanya surveillance na blocking.

Kwa ufupi hii sheria haitekelezeki na hao prosecutors watapata changamoto nyingi sana mahakamani. Haya mambo si rahisi kihivyo maana doubts za ushahidi ni wazi sana.

Kama nchi imeamua kufuata njia za kifashisti kutawala raia wake basi wasiishie kuonja, wacha wapakue jumla na mitambo ya surveillance kwa kila anuani ya kimtandao. Naaam, gharama hizi hatuwezi maana BVR kits tu tunatweta.
 
Wauza Sembe, Majangili, Mafisadi, Wachawi, Wauaji wote wako CCM... Sasa ameanzisha kitengo kingine kinaitwa Association of Criminals in Tanzania ACT ili waendelee kubaki madarakani ...

Kweli ccm ni ya vichaa
 
Raisi kutugwa, ngumu kutekelezeka,
unless budget yote ielekezwe huku,
shughuli ya shule na mahosptal zisimame ku administrate implementation ya hii kwa mwezi hata mmoja tu kwa majaribio
 
Kwanza watu hawasomi kikamilifu wanawasikiliza wengine ambao wanazusha na wana nia zao wenyewe wanazozijua na wao nao wanachangia katika upotoshwaji wa hali ya juu.

Usomaji wa sheria hii unaenda sambamba na kutambua lengo linalotajwa kushoto mwa kila kifungu kwa herufi ndogo zinazobainisha madhumuni ya vifungu husika. Watu wametafsiri visivyo na hili naona ni hatari sana kwa taifa kama letu. Kila mtu anajaribu kuwa mwanasiasa, na ninavilaumu sana vyombo vya habari kwa kusababisha tabia hii mbaya isiyovumilika.

Uhalifu wa kimtandao umekuwa ukiwaathiri watu wengi na umepelekea watu kupoteza maisha, mali na hata kazi na wengine kuchafuliwa na kuharibiwa maisha yao katika hali mbalimbali. Tanzania haikuwahi kuwa na sheria inayoweza kumlinda mtumiaji wa mitandao na komputer dhidi ya uhalifu huu wa hali ya juu. Hizo porojo za kisiasa na uzushi mnadhani waliotunga haziwaathiri? Unadhani wao sio binadamu? Hakuna Whatsup wala Face Book, bali uhalifu na udhalilishaji unaotumia mtandao ndio unaodhibitiwa, na yeyote anaepinga sheria hii hana nia njema na wananchi wa Tanzania.

Kama lengo ingekuwa ni kumdhibiti mtumiaji katika maisha yake binafsi ina maana basi lengo litakuwa hata kudidimiza uchumi na mahusiano katika jamii jambo ambalo si kweli, bali Madhumuni haya yametajwa mwishoni mwa sheria hii ambayo iko katika kiswahili na kiingereza katika nakala hiyohiyo na pamoja na yaliyotajwa inatoa nafasi kwa vyombo vya kisheria kumsaidia muathirika kupata haki yake.

Someni kiundani na muelewe, acheni porojo za magazeti na watu wenye nia mbaya na nchi hii:

Madhumuni ya Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015 (Uk 52-53)

Madhumuni ya Muswada huu ni kutunga sheria ambayo itaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi ya ushahidi
wa kielektroniki.

Muswada unaopendekezwa umegawanyika katika Sehemu Saba.

Sehemu ya Kwanza, inaainisha masharti ya awali, ikiwa ni pamoja na jina la Sheria, tarehe ya kuanza kutumika kwa Sheria na tafsiri ya maneno mbalimbali yaliyotumika katika Muswada huu.

Sehemu ya Pili, inaainisha makosa na adhabu dhidi ya makosa hayo ndani ya sheria hii.

Sehemu ya Tatu, inatoa mamlaka ya mahakama katika kusikiliza na kuamua mashauri yanayohusu makosa ya uhalifu wa mtandao yaliyoainishwa katika sheria inayopendekezwa.

Sehemu ya Nne, inaainisha utaratibu juu ya upekuzi na ukamataji wa vifaa vyenye taarifa zinazohitajika kwa ajili ya upelelezi.

Sehemu ya Tano, inaainisha wajibu wa watoa huduma za mtandao wakati wa kutoa huduma hizo.

Sehemu ya Sita, inaweka masharti ya jumla ikiwa ni pamoja na kinga kwa maafisa utekelezaji wa sheria, utaifishaji wa mali zinazohusiana na makosa ya mtandao, ufifilishaji wa makosa na uwajibikaji kwa makosa yanayofanywa na
kampuni.

Naiambatanisha tena hapa mjisomee KISWAHILI KIKO KUANZIA UKURASA WA 29:
 
Hivi hizi fakes names tutapona kweli wana JF?!
 
Someni hiyo sheria iko kwa Kiswahili pia katika nakala hiyo hiyo kuanzia ukurasa wa 29. Acheni porojo. Hii sheria inakulinda wewe na watu wengine wanaoweza kukudhuru kwa kutumia mtandao.
 
To the government, the just-passed Cybercrime Bill is very good law aimed at curbing the increase in Internet associated vices, but to section of lawmakers, press freedom stakeholders and bloggers, this is a draconian law that shouldn’t be allowed in a democratic state like Tanzania.

Just few days after it was passed by the Parliament, today, The Citizen brings you an analysis of twelve key factors to watch, because you may soon find yourself going to prison—simply for receiving what the state calls illegal information on your mail.

One, Section 7 (2b) states that the receiver of information deemed illegal shall be sued. For instance, if someone you know or even a number you don’t know sends you ‘illegal’ image on WhatsApp, you will be criminally liable for it and will therefore be punished!

Two, Section 21(1) requires that all Internet service providers give all particulars of their clients to the State whenever the latter demands such private information. In other words, this law allows the State to police on the citizens via the Internet.

Three, Section 8 states that it will be an offence to publish online “confidential” government documents, even if such publication is done for national interest. These days, all over the world, major scandals and abuses by State officials are leaked and published on line by whistle-blowers and activists.

The advantage of the online platform is that it isn’t easy for the State to control. But after the Bill becomes law, there will be no more online whistle-blowing!

Four, Section 14 states that publication of any image deemed indecent can earn the “offender” up to 10 years in jail or a fine of Sh30 million. The problem with this law is that it doesn’t clearly define what pornographic material is. That means what one could take as just a sexy selfie, posted on Instagram can lead one to 10 years behind bars.

Five, Section 23 states that if convicted, the offender will go to jail for not less than one year for causing another person emotional distress and trauma. While those who inflict such sufferings deserve to be behind bars, the problem though, is how to determine what kind of image or story can cause emotional distress to another person and what cannot. Because anything negative is likely to hurt the culprit, the best thing to do be safe especially if the culprit is a powerful figure, is not to publish anything.

Six, you will notice that the minimum sentence and fine in most sections is indicated as “not less than”. This means that people will go to jail for life for most offences or pay tonnes of money in fine because there is no maximum number of years and amount of money indicated under the this Bill.

Seven, we see a lot of Nelson Mandelas, Julius Nyereres, Che Guevaras, Steven Kanumbas, Osama bin Ladens and even Barack Obamas active online. But they are none of these powerful figures! Bad news is that this law has no provision for using pseudonyms or fake names. This means that one can create an account using your name and photo he/she downloaded online, post criminally offensive material and let you face the music.

Eight, it is the government through the minister concerned to determine which information is true or and which is false. But think about it this way: even in the escrow, EPA and countless other scandals, ministers responsible had insisted on the “truth”, but their truth was soon proved to the contrary. If this law was in place before, it means many who “lied” that corruption was involved these matters could have ended in jail.

Nine, according to Section 22, if you post something online and later deletes or improves it by editing it; you will be guilty of tampering with evidence. This means your postings and profiles will be static because someone will be watching and wants them to remain that way.

Ten, police officer commanding a station anywhere in the country can order you to surrender your phone, laptop, your private email and chats without a court order.

Eleven, in Section 31 (3a), the law states that the officers who took your belongings will give you the list of the items taken “as soon as practicable”. That can mean one or two weeks or even a month or a year.

Twelve, according to Sections 31 to 35 and 39 to 45, if you are a blogger or online service provider, and you saw an offensive publication and removed it while preparing to report it as this law requires, the officer can at the same time visit your premises and confiscate your equipment—because this law allows such action.

In this situation, simply because you were in the process to report an offensive publication, but you were caught in the middle, you can be the prime suspect—facing imprisonment if found guilty.

Source: The Citizen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom