MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,670
- 41,845
We nae uvivu gani huo? tulia usome.
soma kwa niaba yangu.
chako changu changu changu
unapokojolea wewe na mimi nakojolea hapo hapo
We nae uvivu gani huo? tulia usome.
soma kwa niaba yangu.
chako changu changu changu
unapokojolea wewe na mimi nakojolea hapo hapo
Ikiwa tunaendelea kustawisha kila shule iwe na computer, ilihali lazima kila mwanafunzi afahamu hiyp kitu sasa basi mbona selo na magereza zitajaa watuhumiwa!.
Maana ktk hali ya kila raia kuwa na weredi wa kutumia hiyo kitu na kuona kuna issue inatukia eneo alipo hivo basi ile hofu na akisi ya kutoa habari sidhani kama atakuwa nayo -maana hakupewa elimu ya nini atoe kwenye mtandao na nini asitoe.
Hivyo, ni HATARI.
Lazima tujifunze kuona beyond black board....hapa walengwa wanafahamika.......na hii ni maalumu kwa wale watakao temper na wale jamaa zetu pale Lumumba......
Niliambiwa January aliudhiwa sana na vijana wa jamiiforums na isitoshe namna siri za wizi serikalini na madudu kwenye wizara na taasisi yanavyowekwa hadharani yalivyoikosakosa kuiangusha kabisa serikali na kuwapa nguvu kubwa sana upinzani...sasa anaona amewapatia dawa yao....
Sasa nikapata tip mahali nikaiscan hiyo document nikamtumia mtu aliyepo nje ya nchi mwenye makazi permanent huko anisaidie kuipost hapa watamkamata nani??
Huko Facebook kuna watoto hata hawajui kinachoendelea ... sasa atasema aliwalenga wao?
Sheria zinazotungwa kulenga kundi fulani la watu ili kujitafutia Political legitimacy ni hatari sana,na ni Mkakati wa Januari Makamba(Msaka urais) baada ya kuona hawakubaliki tena mitandaoni, kumbe hata mtaani hakuna mwenye time nao
Januari huyo huyo anataka awe raisi wetu.... !
Wakati anashabikia utunzi wa sheria mbovu namna hii unaambiwa ndie mtu wa kwanza Tanzania kuwa na account twitter..what a stump!
Zitafanyiwa kazi kwa walengwa wao kirahisi we subiri.MSIJALI SANA WATANZANIA WENZANGU... SHERIA HII KAMA ZILIVYO NYINGI HAZITAFANYA KAZI... Be happy and relax!! Hatuna serikali yakufanyia kazi mambo haya wewe!!
kwa wasio na uwezo kifedha kufika mahakama ya rufaa?Kwenye mahakama za chini tutahukumiwa sana, lakini kwenye mahakama ya rufaa tutashinda tu, maana huko hawaangalii sheria kama ilivyoandikwa tu bali pia makandokando mengine.
Kwa mfano nikifichua ufisadi kwa kutumia mtandao kwa sheria hii ni kosa, lakini amini nikifika mahakam ya rufaa nitashinda kwani nitakuwa nimefanya jambo ambalo lipo for public interest, na sheria inapaswa iwepo for public interest.
Na uamnuzi wa mahakama ya rufaa ni sheria - ndio utakuwa mwisho wa sheria yao hiyo
Wanataka kufunga watu midomo ili mchezo mchafu usijulikane kipindi cha uchaguzi. Lakini tukishafanya mabadiliko katika uchaguzi Octoba, serikali mpya natumai itaondoa hii kitu. kuweni wavumilivu , wakati ukifika kapigeni kula
Kwenye mahakama za chini tutahukumiwa sana, lakini kwenye mahakama ya rufaa tutashinda tu, maana huko hawaangalii sheria kama ilivyoandikwa tu bali pia makandokando mengine.
Kwa mfano nikifichua ufisadi kwa kutumia mtandao kwa sheria hii ni kosa, lakini amini nikifika mahakam ya rufaa nitashinda kwani nitakuwa nimefanya jambo ambalo lipo for public interest, na sheria inapaswa iwepo for public interest.
Na uamnuzi wa mahakama ya rufaa ni sheria - ndio utakuwa mwisho wa sheria yao hiyo