Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 793
You did wrong interpretation ...pole!!!Hapa tunafungwa midomo au kifo cha mitandao ya kijamii dalili ndio kama huu msuada
You did wrong interpretation ...pole!!!Hapa tunafungwa midomo au kifo cha mitandao ya kijamii dalili ndio kama huu msuada
Najiuliza kama ingekuwa kuna nafasi ya kuhamisha hawa viongozi wa CCM sijui tungewapeleka nchi gani wakaishi na wapotee kabisa
Kwa majibu na matusi haya ndio maana unaipinga hii sheria.
Hakuna haja ya kuogopa ukishatumiwa.
Ukipata msg Kama hiyo hakikisha unaituma kwa watu mashuhuri wote unaowafahamu ndani ya CCM, serikali, Polisi, wabunge, wanasheria, majaji nk, nk, nk
Kwani hata usipotuma tayari Kama umetumiwa una hatia.
Ila kwa kweli Hawa watu wanaopitisha Hii miswada wanafikiri kwa makalio! Shame on them
Kwanza nikupongeze kwa kuleta maswali yanayoibua hoja za msingi. Ni kweli sheria hii ina mapungufu yake kama sheria yeyote ile, ila tatizo ni ushabiki wa jumla na upotoshaji ambapo watu hawaoni umuhimu wake tena. Sijapenda ulivyomalizia, hoja ndio msingi.
Cheki pia Post ya Kasheshe hapo juu amejibu vizuri sana, kwa kuongezea tu kuhusu maswali yako,
1. Hapa unaongelea kifungu cha 20 na 21. Sina uhakika kama kuna sheria inayomlinda whistle blower ambaye amekusudia kuleta mgogoro na kuibua chuki hata kama taarifa zenyewe ni za kweli, bali zipo sheria zinazomlinda Mtoa taarifa au shahidi kuhusiana na matukio ya uhalifu. Tazama baadhi ya Bills na Sheria anazotaja Kasheshe hapo juu. Hapa Whistle blower akitoa taarifa kwa serikali au taasisi husika bila kuifanya public bila sababu anaweza asiathirike. Lengo si kulinda uhalifu, bali kuzuia kuingiliwa kwa mifumo ya kitaasisi nyeti na sheria na mahakama, pale itakapobidi. Whistel Blowers wengi huwa na mechanisms za kusecure data zao na identity. Hapa kiukweli Invisible ataathirika na zile nondo alizokuwa anaturushia, nakubalisana na wewe iko shida hapa, itambidi abaki anonimous, ila usisahau serikali inaweza kufanya kwa makusudi ili kupata ushahidi muhimu wa kile wasichokuwa na uhakika nacho au kupata public perseption.
2. Ni kweli hawakutoa tafsiri ya Ponografi (na sina uhakika hiki ni Kiswahili sahihi) wameongelea tafsiri moja tu ya ponografia ya mtoto;
3. Hapa tena unaongelea kifungu cha 20. Sidhani kama sheria inatoa adhabu kwa mpokeaji, bali kwa aliyepokea na akaamua kuzisambaza, hapa inawahusu wasambazaji, ndio kile cha ukipata habari yenye madhara delete futa kabisa. Labda kanuni zitafafanua zaidi.
4. Hili la 4 sina uhakika unamaanisha nini na sijaona popote panapoongelea hili.
Kwa taarifa yako Ndagla ni kuwa hiyo sheria haijaanza kazi, kwa kuwa JK bado hajaisaini.Kwa kuwa humu Jf kuna nyuzi kibao tu zinazokiuka hii sheria na ni za muda mrefu.
Swali:Je unaweza kuswekwa lupango kwa uzi 2009?
Maana huwa zinaibuliwa na kujadiliwa upya kila leo,itakuwaje sasa?
Nashauri Moderator ufute nyuzi zote zinazokiuka hii sheria la sivyo wanaJF watajaa mahabusu.
Bata ana nafuhu kuliko mdomo wa hivi
Kwa taarifa yako Ndagla ni kuwa hiyo sheria haijaanza kazi, kwa kuwa JK bado hajaisaini.
Pale atakapouiweka sahihi tu, naamini wanaJF wengi tutarundikwa Segerea!
Kutakuwa na sheria mahususi kwa kulinda whistle blower; kuweka hapa tu, kwenye sheria hii tu maana yake ni kulimit walindwe hawa wa mitandao tu...NB check The Media Service Bill, 2015 as wall as The access to information bill 2015,
check usual English dictionary, same meaning ...
Already clarified kwenye Bunge, look for Hansard, NB... Kanuni zitaonyesha vizuri... Assume umenipa password za servers za BoT and I decide to keep them or give another person/jamabazi inform of word of mouth, nitakuwa nimetenda kosa au hapana.
sasa hivi inafanyika je bila mtandao? Itafanyika hivyo hivyo kwa kutumia mtandao,
Kwa mazingira uliyolelewa na namna ulivyofunzwa hayo si matusi hata kidogo, na hata hayo hapo juu si matusi.Kwa akili zako za maharage unaona kuna tusi hapo? Someni huo muswada muuelewe kenge nyie.
Ahsante kwa majibu mazuri, japo wewe mwenyewe unakiri wazi kuwa inamkandamiza whistle blower na kwa taarifa yako tu, tambua kuwa upo Africa sehemu ambayo walio madarakani wanajifikiria zaidi wao na familia zao kwa kujinufaisha na nafasi walizonazo visivyo halali, sheria kali kama hizi zinaibua maswali mapya juu ya uwajibikaji na utendaji kazi wa serikali..kama unafuatilia siasa za nchi hii anzia EPA,RICHMOND,DEEP GREEN &MEREMETA, na sasa ESCROW, ni baadhi ya scandle tu ambazo whistle blowers walisaidia sana kufumbua public macho kuhusu utendaji wa seriakli,
1. Unasema ukapeleka ushahidi huo kwa serikali..are you serious? unapenda maisha yako wewe?
2. Hilo la nne nailtoa hapa(1) A person shall not initiate or send any electronic communicationusing a computer system to another person with intent to coerce, intimidate, harass or cause emotional distress.(2) A person who contravenes subsection (1) commits an offence and isliable on conviction to a fine of not less than three million shillings or toimprisonment for a term of not less than one year or to both.
Unachora wapi mstari wa vitu vinavyoleta emotional distress kwa mtu na vile ambavyo havileti? unadefine vipi emotional distress?
3.Sheria inatoa hukumu ya not less than... maana yake unaweza fungwa hadi miaka mia au faini ya hata bilioni kutegemea hakimu ameamkaje?
Bado huu unaona ni upotoshaji comrade??
Mkuu heshima kwako, ashukuru kwa majibu yako mazuri lakini kuna haya machache hujaweka sawa au uajaribu kukwepa kwa makusudi, au yenye lengo la kujinufaisha binafsi kwa mrengo wa chama unachokishabikia...
1. Nianzie kwenye red.Kwahiyo ikitokea kwenye Engish dictionary neno hilo limegeuzwa maana mtarudisha tena bungeni kufanya marekebisho? Na Dictionarymnayotumia ni ipi? sheria za wapi hizo zisizotoa maana halisi ya neno kwa neno?
Hakuna jipya sheria zingine ziko hivyo hivyo ...2. Sheria iatoa hukumu ya not less than, hivyo inategemea hakimu ana amkaje au Watawala wanataka uhukumiwe vipi... unaweza fungwa miaka 50 kwa makosa yasiyo na kichwa wala miguu,
I never said so: NB sheria ya "The Access to Information Bill 2015" haitarget Vyombo vya habari na Waandishi tu... Pleased go through it. Unaitaka already iko Bungeni fuatilia ...ili ulete hoja zenye mshiko....s3. Whistle blower si lazima awe mwandishi wa habari au mwenye connection kokote, hizo sheria za kumlinda embu tuwekee hapa.
4.Suala la kukupa Password za BoT ni next to impossible na hakuna police wa kufanya huo uchunguzi narudia tena hakuna, embu niambie Singa singa wa IPTL alipewa password za BOT na nani? hivi hii sheria ilikuwa tayari au bado? wataendelea kuiba au wataacha? vip EPA?
Mkuu tukubaliane kuwa hii ni sheria ya kujiandaa na uchguzi, ni ya kulinda watawala waje na porojo za kuwahadaa wananchi, lakini tambua kuwa hakuna isicho na mwisho!
Hats wasipoifuta, itawacost pesa nyingi sana kuadminister hiyo sheria.