Outlier
JF-Expert Member
- Dec 28, 2008
- 323
- 17
You know here in jf kila mtu anatumia anonymous names..so its hard to know people this is how I imagine people walivyo in really life excluding my cupcake since I know him lol!...
Masanilohahaha shem wangu ni na kuimagine upo kama chris rock kutokana na mambo yako fun indeed lol!
Yo yo Fun guy kama Dave chappele ila inaelekea ni mfupi hivi around 55..una kama afro hivi..alafu mgomvi.
Kuhanithis dude man namfananisha na Jesse Jackson sr ila urefu wake kama jesse jr mtu ambaye hapendi kushindwa very serious hapendi utani ni yeye na news na anaonekana anapenda sana kusoma magazeti miwani ipo chini ya puwa .mnokoooo.
Mwanakijiji---yaani ni kazee Fulani hivi kafupi kama eyebrows nyingi alafu zina mvu,yaani namfananisha mwanakijiji the way alivyo ufupi wake kama Raisi mstaafu Alhaji mwinyi hivyohivyo mpaka anavyoongea
YNIMHuyo hana tofauti na Martin Lawrence,character and image.
PennySijajua kama Penny ni demu au men ila I feel like ni demu huyu mdada anaonekana ni mtaratibu sana she is around 54caramel complexion ,big brown eyes,long hair..na anaongea taratibu sana and a good listener.
Balantata---My friend Balantata namfananisha na Morgan freeman hivyohivyo siyo mtu anayependa kuongea sana..ni mtaratibu.
YE---Huyu ni namfananisha na Yule kocha wa Bears anaonekana ni mfupi around 54 alafu ana nywele kafuga na ndevu ana kitambi kidogo anafu mbishi sana.
To be continued .
Na MaxShimba je?
Mimi nahisi (hapana, niko sure) MaxShimba ni Kichaa. Dalili mojawapo- hypergraphia, strong unshakable beliefs.
Sijui atajishtukia ama kushtuliwa lini kuwa akili yake si sawa! Msaidieni tafadhali kabla hajaleta madhara kwa jamii.
Halafu nahisi anapenda sana hela na mademu. Kama ni mzee wa kanisa basi anawafanyizia kondoo ambao ameachiwa awachunge.