CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,967
- 9,544
Nasikia mwezi leo umeandama. Mlo wangu bia, utelezi wangu bia, dinner yangu bia, usingizi wangu bia, dili langu bia, ndoto yangu bia, mswaki wangu bia, break fast yangu bia na nyumba yangu bar
Mkuu naunga mkono hoja, naomba afute kauli yake.Hii ni jamii photo sio jamii maelezo..