This applies to Lissu and Samia , The sharpest threat to emotion is a logical mind

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,209
Reaction score
48,381
The sharpest threat to emotion is a logical mind.
IMG_8230.jpeg
 
Waliosema ‘’Tumpe kesi Lissu walikosea sana” Tundu Lissu anapenda kesi kwake ni platform tofauti na Mbowe
labda kama ndio ilikua njia ya kummaliza kimya kimya?

Usione jambo likifanyika ukadhani ni bure.

Mistake hizo alizifanya sana Moragan Tsvangirai

Waliomshika Lissu sio kwamba hawana akili walitaka jambo fulan na nina hakika 80% wamefanikiwa .

Lissu amepata umaarufu ila amini utakua ni bure siku matokeo yakianza kuoenekana .... Sio mbali jipe muda.

Gudinight..
 
Hawana ujanja huo, wangekuwa na ujanja huo wasingetegemea wizi wa kura wa kitoto kubaki madarakani. Ujanja pekee walio nao ni kumpiga risasi.

Huyo aliyemfanyizia Morgani Tsivangirai yeye bado yuko hai, Ili tupime usemacho?
 
nakupa hits tu dogo.

huo ujumbe nakupa muda utaukumbuka.

Ukiwa mjanja usikubali kitiwa nguvuni utajikuta huna nywele siku

Too late.

endeleeni kupiga firimbi amuijui hii Nchi vizuri.
 
Hakuna mtu atabaki duniani milele ni Mungu peke yake, Kwa risasi16 Mungu angeruhusu hata Moja tuu,angekufa!
 
Nakubaliana na wewe, Tundu siyo mjanja. Anaridhika na makelele ya kwenye jukwaa na kujiona anashinda mechi. Mashabiki hawakupi ushindi bali refa wa mchezo
 
bonge la mistake ila pimbi na nyumbu wanadai ni mjanja .

Bob wine amekula.myoya
Hakuna mtu atabaki duniani milele ni Mungu peke yake, Kwa risasi16 Mungu angeruhusu hata Moja tuu,angekufa!
Uijui hii nchi.

Tulia dogo.

wenye akili wananisoma.

mlipa bichwa Slow slow leo vp?
 
bonge la mistake ila pimbi na nyumbu wanadai ni mjanja .

Bob wine amekula.myoya

Uijui hii nchi.

Tulia dogo.

wenye akili wananisoma.

mlipa bichwa Slow slow leo vp?
You are lonely when you are dead, you will trend for a week then life goes on and they forget about you.
 
Hawana ujanja huo, wangekuwa na ujanja huo wasingetegemea wizi wa kura wa kitoto kubaki madarakani. Ujanja pekee walio nao ni kumpiga risasi.

Huyo aliyemfanyizia Morgani Tsivangirai yeye bado yuko hai, Ili tupime usemacho?
Hata huyu alieagiza Lissu alimwe marisasi nae out
 
Back
Top Bottom