Mtoto wa Kishua
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 834
- 156
Huko nyumbani vinafanyika vituko vingi sana na wazazi hawajui. Binafsi nathubutu kutamka yaliyowahi kunipata maana nina uhakika hakuna anayenijua hapa, lakini kweli mengine ni ya aibu sana na nashukuru Mungu yaliishia huko huko utotoni.
1. Ngono ya kwanza kushiriki katika maisha yangu ni sodomy aliyonifanya kaka yangu (tumbo moja, you can't believe) nikiwa na umri wa miaka 7 tu. Yeye alikuwa na umri wa miaka 10, na wazazi walikuwa wanaona ni sawa kabisa tulale kitanda kimoja chumba chetu wenyewe. Sikuwahi kumuuliza alikojifunzia huo mchezo. Bahati nzuri alipofika umri wa balehe, hiyo tabia ilikufa yenyewe tu tukaacha. Na kamwe wazazi hawakujua.
2. Ngono ya kwanza kushiriki na mwanamke nilifundishwa na mama yangu mdogo alikuwa anaishi kwetu akiwa anasoma shule ya sekondari. Nilikuwa na umri wa miaka 10 tu, yeye alikuwa kama 17 hivi au zaidi, lakini nakumbuka alikuwa form five na tuliendelea hata alipokuwa amemaliza university na kupata kazi alikuwa anakuja kunichukua nyumbani nikalale kwake na wazazi waliruhusu bila wasiwasi. Alikuwa ananipenda sana na hata wazazi hawakuwahi kuhisi chochote. Kusema kweli hata mimi nampenda sana hata leo, hadi sijielewi sababu. Lakini nahisi alinisaidia sana kunikomboa from the possible effects of the series of sodomies, nahisi ningebalehe katika hali hiyo kulikuwa na hatari ya kugeuka bwabwa! So nampenda sana huyu mama mdogo hadi leo, seriously! Lakini tumeshaacha hizo mambo, she is married and has kids.
Kuna ngono tata nyingi sana zinaendelea huko manyumbani, watu hawasemi tu. Hayo ambayo hamjayajua ni kwa kuwa wahusika hawajakamatwa.
Mtu B
Nimehairisha kummezea mate HG wangu maana kuna kabinti mtaa wa nane kananimezea mate. Wacha niridhishe nafsi yake ingawa anajua nimeoa anasema anahamu tu ya kuonja kilichopo ndani ya zipu.
Infwakti huwa natumia KONDOM za vidonge.
Njia mbadala ipo. Ni kununua nanny cam. Hizi nikamera kama zile za usalama (security camera) lakini ni rahisi kuweka nyumbani na usiposema hamna mtu atajua ni camera.
Hii habari imenishtua!! Mimi mwenyewe mmoja wa watoto wangu ana umri huo!! Na ananiambia 'Huyu dada arudi kwao halafu usitafute mwingine tukae wenyewe!!'
Ipo shekheHapo kwenye bold hii kitu ipo au ndo mimi na ushamba wangu wa kuacha kudumisha mila?:nono::nono:
ARGHHHHH...AM ON THE SIDE OF HG...hivi nyie wanajamii wenzangu ni mara ngapi mmewaruhusu hg wenu kutoka na na vibwana/viboyfriends vyao hata vikawapunguzie muhemko wa mwili?....
Hg naye ni binadamu kama wewe na ana-hamu ya kufanya mapenzi kama wewe...tena kuliko wewe maana anakula vizuri anashiba na hayupo bize ki-saikolojia kama nyie mnaofokewa na maboss wenu maofisini mkirudi mpaka muweke movie za ngono ndio stimu za mapenzi ziwajie...
sasa basi kwa misingi hii niliyoieleza awali...ni vizuri HG wakapewa uhuru wa kuwa na boyfriends na wafanye mapenzi kupunguza mihemko yao mikali...la sivyo ndio wataishia kuwabaka watoto wetu na kuwasagilia mbali vibinti vyetu...au hata kututega sie baba zao...NI MAONI YANGU TUU JAMANI
jamani, nimepigiwa simu na waifu sasa hivi toka home, kuwa mtego tulioweka umenasa, hg wetu anakafundisha "matusi" ketu. Kameshamueleza mamaake kila kitu, mtoto mwenyewe ana umri wa miaka sita tu, si ataniulia mwanangu huyu jamani, akina mama na baba wenzangu, kuweni makini makini na mahg wenu.
Ntawapa feedback baada ya kupokea ushauri toka kwenu kuwa nimfanyeje sasa.
Nanny cam zipo bongo?
Wapi zinapatikana?
Jamani, nimepigiwa simu na waifu sasa hivi toka home, kuwa mtego tulioweka umenasa, HG wetu anakafundisha "matusi" ketu. Kameshamueleza mamaake kila kitu, mtoto mwenyewe ana umri wa miaka sita tu, si ataniulia mwanangu huyu jamani, akina mama na baba wenzangu, kuweni makini makini na maHG wenu.
Ntawapa feedback baada ya kupokea ushauri toka kwenu kuwa nimfanyeje sasa.
Kama kawaida yetu , kwa UNAFIKI lazima tuonyeshe KUKERWA NA KUMLAUMU huyo HG
Wengi tutaonesha kukerwa na kushauri bila kutafakari kwa kina ROOT CAUSE ya hilo tukio, au tatizo lako wewe na familia yako viz a viz HG
Wengi tunakosea kuishi na HG kama ni aina fulani ya CHOMBO au MASHINE kwenye nyumba zetu.Wengi tunasahau kuwa na wao WANAUHITAJI kama binadamu wengine wenye afya njema.Tunawabana mno , HG anakuwa kama anatumikia kifungo,akichelewa dukani au gengeni inakuwa tatizo, hatuwaruhusu hata kwenda kusalimia NDUGU ZAO hapa mjini.Katika mazingira hayo, kama HG hatatembea na baba mwenye nyumba basi, aidha ndugu wa kiume wa tajiri yake au mtu yeyote mwenye kiungo cha kiume AVAILABLE.
Tendo la kutembea na mtoto wa miaka 6 , ni kielelezo kuwa huyo HG alishafikia HATUA MBAYA, kwamba haoni jinsi nyingine ila ni kuchukua hako katoto kadogo.
TUNAHITAJI KUBADILIKA NA HASA KUBADILISHA MAHUSIANO YETU NA HAWA WATUMISHI WA NDANI KWA KUWAPA UHURU KIDOGO
Nawashauri mfanye maamuzi kwa kuzingatia HAKI, msiongozwe na JAZBA , nina uhakika kuna MAHALA MMEKOSEA NINYI KAMA BABA NA MAMA katika ku-manage mahusiano na huyo HG wenu.
Mpeleke kituo cha police kilichokaribu na mfungulie jarada : molestation of the minor
Haraka sana : That house-girl belongs to Segerea and not anywhere near the children
Ni haohao ma HG waliotulea mpaka leo na sisi tunamiji yetu. Ni hao hao ambao wengine wemekuwa siyo ma HG tena bali ndugu zetu, wanarudi kwao tunawanunulia Cherahani za kuanzia maisha na wengine tunawasomesha sekondari au Ufundi ili wapate ujuzi wa kuwasaidia maishani mwao baada ya kuishi nao kwa muda mrefu.
Ma HG siyo WABAYA kiasi hicho , kama tunavyojaribu kuwa-potray hapa.
SHAME ON US.
Wengi wetu hapa hatujui kuishi na HGs.
kutembea na mtoto wa miaka sita,is UNACEPTABLE...no matter kuna uhitaji ama la as you put it...
kama uhitaji ulimzidia angefanya mastabesheni huko,sio kwenda kutafuta kitoto cha miaka sita ndio kimuondolee haja zake!!!,huu ni ufirauni na mnaotetea tunawashangaa sana!!:shock::shock:
huyo mmoja ni nut case!,and yes she belongs to segerea period!
tungekuwa tunaongea bila hii kesi ndio ungesema tunawa potray vibaya,
upo hapa na vivid example,bado unakuja na bla bla zako kuwa hatujui kuishi na HG!???! weye vipi bana?
Hakuna anayetetea tukio hilo, ila some of us we are trying 2 look at it from a different angle,
moja ya sifa ya mtu mwenye familia yake ni uwezo wa kushughulika na matatizo pasipo kuongozwa na JAZBA
Masturbation tunaijua wewe na mimi ambao angalau tuna huo uelewa wa kujua kuwa kuna njia mbadala za kujiridhisha.
HG hajui kupiga nyeto , hana huo uelewa hata wale the so-called wasomi wengine wanaamini inamadhara
Mimi naamini KATIKA KUISHI NA HG KAMA BINADAMU , APEWE UHURU , TUSIWA-IMPRISON KWENYE VIJUMBA VYETU
By the way , tujifunze kuchambua mambo bila kuongozwa na JAZBA
Karibu JF binti
Jenga hoja , siyo kumshambulia mtu.
Wengine sisi tunabadili "dini" mara kwa mara , IDs zetu hapa zinabadilika kila baada ya muda fulani hivyo, tumekuwepo hapa muda mrefu kuliko unavyofikiria, hivyo nakushauri TWENDE TARATIBU
Rosey unajua leo jumangapi? Hebu twende PM tupange ratiba, acha kuumiza kichwa na haya mambo bana!hahaha sasa unanitisha au???
unajua na mie nipo muda gani hapa???