House Maid-Msichana anatakiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House Maid-Msichana anatakiwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by newmzalendo, Oct 19, 2010.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano.
  SIFA
  Maid anatafutwa,nyumba wanaishi mume na mke.hamna watoto,wanafanya kazi wote
  sifa zifuatazo mshahara mzuri.anapewa chumba chake pekee cha kulalal full furnished.Kazi za msingi ni KIFUA,Kupiga Pasi,Kupika,sometime kuosha gari.

  1. Awe muaminifu
  2. Mwenye nidhamu, Upendo
  3. Msafi wa mwili na mavazi
  4. Anayejua kupika na kukarimu wageni
  5. Mchapa kazi, anayezingatia sana usafi wa mazingira
  6. Asiwe muhuni
  7. Mwenye kuheshimu na kufuata maadili ya dini na ya jamii kwa ujumla.
  8. Awe na mtu wa kumdhamini
  9. Asiwe na magonjwa sugu au ya kuambukiza (mf Kifua kikuu, kifafa)
   
Loading...