House girls na akina baba

House girls na akina baba

aisseeee! nawachukia sana hg hasa wasojitambua!!!!
kumekva na thread nying sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma hg. hiv nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijar co kjcmamisha na kudunbukiza kwenye kila shimo mwisho wa skku mtapanda had ndugu zenu na wanenu.

mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahg coz hata kufua chup hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hiv wanawake hukko nje wameisha had umchukue hg?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx typ !!

mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko co dili baki njia kuu!!!

Acha kudharau wanawake wenzio kwanza niwasafi ndo mana unakula wanachopika,pili anavigezo ndo mana mme akampenda,tatu sio lazima utafute msaidizi.BE REALISTIC IN REAL LIFE haki sawa kwa wote
 
kuijaji K ya hg utuachie sisi walaji, sio unaanza kutema hapa eti 'hawajui Kuosha'!......we unalako ww si bure.....ma hg wa siku hizi wanajua kunogesha, mpaka kitu Tingho namegewa!
 
aisseeee! nawachukia sana hg hasa wasojitambua!!!!
kumekva na thread nying sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma hg. hiv nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijar co kjcmamisha na kudunbukiza kwenye kila shimo mwisho wa skku mtapanda had ndugu zenu na wanenu.

mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahg coz hata kufua chup hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hiv wanawake hukko nje wameisha had umchukue hg?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx typ !!

mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko co dili baki njia kuu!!!

Nampenda sana Mdada wa nyumbani kwangu, katu siwenzi kumtendea kitu kibaya
 
Mwanaume anayetembea na hg ni dhaifu. Amezoea kunyanyasa walio chini yake, hana ubavu wa kuwaface his equal. Hakawii kutembea na hata binti yake, si kazoea vilivyoko nyumbani.

Umenena kweli, binafsi nakapenda sana ka Hgirl ka nyumbani kwangu siwezi kukafanyia upuuzi huo, alafu mtu unawezaje kukaa uchi mbele ya msichana wakazi????
 
kwa hiyo tatizo hapo ni uchafu tu!kutojua kuiosha...na kama anajua kuiosha na ni safi!hivi ma hg wote wana hizo sifa ulizozitoa!!anyway bora ungekuja na issue tofauti na uchafu kwanza umewadhalilisha ma hg...
 
[/B]
Nisichojua ni kwa nini hamuwaoi hao!

Swali lako linanikumbusha katuni moja ilitoka gazetini miaka ya nyuma, mwana mama anaomba ushauri kwa shoga yake wa kuajiri hg huku akionyesha wasiwasi wa kupigwa bao na huyo hg atakayekuja ndani.....muombwa ushauri alipotaka kujua wasiwasi wa mwenzake unaletwa na nini.......Mama muomba ushauri akasema, hata mimi nilikuwa hg, ndio nikaolewa na mama mwenye nyumba akaachwa.
 
Nimeshaona sana!
Ujinga wa wanaume wapenda mteremko sasa,akishampandisha cheo housegirl atataka ampandishe hadhi amfungulie hata biashara ya kum keep busy then nyumbani wanaweka msichana mwingine kuwasaidia na baba ataanza kumkula tena!!!!
Ni kama kula nyama ya mtu tu!!!!

sio ujinga.... Halafu unasema wanaume wanapenda mteremko inamaana hata ww alivyokuoa ulikuwa mteremko?? Mambo mengne mnajitakia wenyew kwavile ww ni mwenye nyumba basi kilakitu unamwachia hg. Kufua nguo za mmeo,kupika, kutandika kitanda, baadae hadi awanawishe wakat ukikaa ukijua yule ni mbichi kuliko ww na anajoto kuliko ww sasa kwanini nimgegede na kumpa hadhi? Kwan mnachotofautiana na ww ni nn? Labda ndoa tu ambayo inaweza kuvunjwa mda wowote??
 
Msisherekee kuwaharibia watoto wa watu maisha waokuja kutafuta rizk majumbani mwenu.Fikiria huyo unayesema hivyo angekuwa mwanao maisha magumu kwako,kaenda kufanya kazi halafu baba mwenye nyumba anamfanya mke.Nyie wanaume kuweni na huruma na watoto wa wenzenu .Na mpaka baba unatembea na hg ujue wewe ndiye chanzo maana yule ni kama mwanao.Mnawasingizia kuwa wanavaa vibaya mnunulie nguo za heshima uone si nyumbani kwako na kila nyumba si ina taratibu zake.Mnawaharibia maisha sana watoto wa watu na wala hauwaoi ni kuwachezea tu.
Nirudi kwa kina mama JAMANIee kuwa na hg haimaanishi nyumba ni yake.Jipange na kazi zako ili uwe unamhudumia mumeo pia na kuwe na mipaka ili kuweka mzaingira sawia .
 
[/B]
Nisichojua ni kwa nini hamuwaoi hao!

So kuolewa kwa huyo hg kamwe sio kumalizwa kwa tatizo, muolewa naye yatamkuta huko mbele ya safari.

.....MEN ARE DOGS.....
 
Hii hasira na elimu mnayotoa hata mahouse girls haiwafikii so mnafanya kazi bure tu.
 
mama abiria chunga mzigo wako ukimwachia house girl amuhudumie mumeo huku ukiwa unaimba wimbo nimechoka ukifika kitandani unasema unausingizi, mara nimechoka , mara nimeshiba sana aisee..... mumeo atakula housegirl tu hata kama hutaki
 
mama abiria chunga mzigo wako ukimwachia house girl amuhudumie mumeo huku ukiwa unaimba wimbo nimechoka ukifika kitandani unasema unausingizi, mara nimechoka , mara nimeshiba sana aisee..... mumeo atakula housegirl tu hata kama hutaki

safi sana waambie hao wao wanajua wakifika kwenye ndoa ndio mwisho wa kujituma hapo lazma mapinduz yafanyike
 
kila kitu afanye hg unategemea ni??
we unaogopa kucha zilizobandikwa zitatika...wacha dada afanye vyote
 
Aisseeee! nawachukia sana house girls hasa wasojitambua!
kumekua na thread nyingi sana humu wanaume wengi wanazungumzia kuwamega ma house girls. Hivi nyie ni wanaume mliokamilika kweli!!! ulijari sio kusimamisha na kudunbukiza kwenye kila shimo mwisho wa siku mtapanda hadi ndugu zenu na wanenu.

Mi huwa nawadharau sana wanaotembea na mahousegirl coz hata kufua chupi hawajui sembuse kusafisha u^chi???? hivi wanawake huko nje wameisha hadi umchukue house girl?! mara ooh kanivalia kanga moja... ooh kaniambia nipange zamu!! shenx type !!

Mkome mkomae na ujinga wenu! btw michepuko sio dili baki njia kuu!!!

Toa hasira zako hapa,kama miti tutawapiga tu nyie Si mnatubania kila saa jitu limenuna kwanini nisiende kwa katoto mudawoote meno nje,na kwajinsi mlivyo wengi unadhani nani atawaridhisha kama tusipo wagawana na kuwapa ma raha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom