House girl kanikomesha

House girl kanikomesha

Heri ameondoka na nguo tu. Ungekuta kafanya maafa makubwa zaidi. Shule wanapewa na akina maza haus wanaoshinda wakisugua miguu.
 
Jirani yangu mmoja alikutana na msichana barabarani eti anatafuta kazi, akamchukua bila hata kujua kwao wapi. Siku ya siku alipokwenda kazini, msichana kafungasha nguo za mama, za mtoto hadi pesa zilizokuwa ndani! Wewe si una nafuu?

Hawa wasichana tunakaa nao kwa vile wana umuhimu wao, lakini kumuachia mtu nyumba yako wakati pengine unasafiri kwa muda inataka makini sana. Pole kwa masahibu yaliyokufika!
 
Una uhakika gani ni yeye kaiba? Hapa kuna scenario 3 ambavyo si lazima viwe pamoja. Cha kwanza ni kuwa house girl wako katoweka nyumbani na hajulikani aliko, inatakiwa ulipoti polisi haraka ili kwa chochote kitakacho mtokea mtoto wa watu usijaukaonekana wewe ndoo unahusika. Cha pili mlango wako umevunjwa na vitu vimeibiwa inatakiwa ulipoti polisi ili uchunguzi uanze mara moja, huenda jirani zako walivyoona house girl kafungasha anaondoka wakaona watake advantage. Tatu inawezekana ni kweli house girl kaamua kujilipa mshahara pamoja na marupurupu ya maudhi yako sijui yenu na mwenzio na kuondoka zake. Swali Tujifunze nini kutokana na kisa chako hiki?
 
We una imani gani mpk kuandika bra na underwea... Ungesema tu umibiwa vitu na house girl... Kutokana na topic yako unahisi unaenda kulongwa... Kuwa na imani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom