Sina hamu mimi jamani! House girl kaniibia, kavunja mlango wa bedroom kaniibia mpaka bra na anda wea. Kwao hajafika tangu jumamosi hata wazazi wake wanamtafuta. Nina machungu hapa siwezi eleza.
Mkuu kwa mara ya mwisho kumlipa mshahara wake ilikuwa mwezi/mwaka gani?
wapo wadada/wamama wengine hawawalipi watumishi wao kwa kisingizio kwamba wanawawekea pesa zao watawalipa baadaye.
wenye roho nyepesi wanaamua kujilipa liwalo na liwe maana wanachoka kama mheshimiwa P.
Hata hivyo pole sana huenda wewe si mmojawapo wa niliowataja hapo juu.
Pole sana mkuu,maadam una mawasiliana na wazazi wake kitaeleweka.Mshahara nilimlipa mpaka mwezi wa saba, nyumbani kwao shida tupu mshahara haulali
pole sana bi shost. lakini kama hajakuibia mapene sio INSHU sana---utanunua bra na g-string nyingine. hg ni shidaaaa!
sasa hivi yupo kwa 'fundi' anakufanyia dawa, jiandae kuibiwa na yule sharo wako
my dia hujalala?mmhmambo madogo haya yaasikupe mawazo
Pole mummy. ...kamtangaze itv koz asipopatikana seriously wazazi wake watakuletea shidaaa. .anza na kwa mjumbe then police umalizie na itv ili kuonyesha wazaz wake uko seriously.
my dia hujalala?mmh
miss ubhadoo mie hulala kwa kuchelewa sana na huwah kuamka pia
bhadoo mie hulala kwa kuchelewa sana na huwah kuamka pia
mamito hujambo mpenzi?
miss u
Sina hamu mimi jamani! House girl kaniibia, kavunja mlango wa bedroom kaniibia mpaka bra na anda wea. Kwao hajafika tangu jumamosi hata wazazi wake wanamtafuta. Nina machungu hapa siwezi eleza.
nakupendanjemi pia nilikukosa kama ndege ya malesia
mie mzima kama bunduki ya alshabaab
babu una wivu?Duh..... una maneno kana type writer.