House girl kanikomesha

House girl kanikomesha

We ulikuwa unamlipa mshahara wake??? Maana na nyinyi mnawafanyia vibaya hao watu
 
Pole unataka tukupe pole ama tukusaidie kumtafuta? Weka picha maana kuna mama jirani kaletewa binti amevaa skin tight na sketi juu na blouse nyeupe, maji ya kunde si mrefu si mfupi hivi............ ngoja nikamchungulie tena niendelee kutiririka
 
Mkuu kwa mara ya mwisho kumlipa mshahara wake ilikuwa mwezi/mwaka gani?
wapo wadada/wamama wengine hawawalipi watumishi wao kwa kisingizio kwamba wanawawekea pesa zao watawalipa baadaye.
wenye roho nyepesi wanaamua kujilipa liwalo na liwe maana wanachoka kama mheshimiwa P.
Hata hivyo pole sana huenda wewe si mmojawapo wa niliowataja hapo juu.
 
Pole usilie sana inawezekana na wewe hujamlipa mshahara kwa miezi mi 3 etc lakini usihofu polisi wa intelligensia ya MMU watamu apprehend

kabisa umeongea point inawezekana hajamlipa huyu hata hivo huyo hawezi iba vitu vya maana acahana naye hata akipatikana we endelea na maisha yako tu
 
Pole sana Mkuu kama una mume chunguza vizuri usikute amepangishiwa

Angepangishiwa na mumewe asingeiba. Mimi nahisi atakuwa na kivulana fulani (sio mwanaume) ndicho kinamuhifadhi na pengine ndicho kimemshawishi aibe. Au kadanganywa na marafiki zake wasio na kwao wanaojiuza. Lolote lawezekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom