vasilisa mzuri
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 113
- 55
- Thread starter
- #101
Poa tu,si na wewe ulimuokota tu,yaani humu kuna watu wameenda shule za kijinga sana,watu wanasoma wapate kazi tu,yaani namuheshimu sana huyo mfanyakazi na mshahara ulikuwa unamlipa elfu 20,pinga hapa,na yeye binadamu,nataka upinge niliyosema hapa,
umesoma sredi wewe au unadandia gari kwa mbele, kama ninafahamu mpaka wazazi wake itakuwaje nimemuokota. na hakuna house girl analipwa buku 20 siku hizi na wengine wanadai mshahara wao uende kwao