Hotuba za Rais kila mwezi

Hotuba za Rais kila mwezi

Je unaridhika na hotuba za Rais Kikwete?

  • Ndio

    Votes: 13 15.5%
  • Hapana

    Votes: 71 84.5%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%
  • Sina jinsi

    Votes: 1 1.2%

  • Total voters
    84
  • Poll closed .
Date::11/1/2008
“Rais amefanya kosa lile lile alilolifanya alipohutubia Bunge kwa sababu tunataka kufahamu ni akina nani hawa waliorudisha fedha hiyo ni moja lakini pili hizi Bilioni 69 zilizorudishwa ni fedha taslimu au zinajumuisha mali wanazodai wamezitaifisha,”alihoji Dk.Slaa.



Mnataka muambiwe mara ngapi??? pesa zilitumika kumweka kikwete madarakani, mnataka ajitaje mwenyewe
 
Katika ripoti ya kamati ya Richmond kulikuwa na mapendekezo kwamba Edward Hosea wa TAKUKURU na Mwanasheria Mkuu Mwanyika waondolewe katika nafasi hizo, lakini hadi hii leo Kikwete hajafanya lolote kuhusiana na ushauri huo. Sasa tusitegemee kipya kwa watu ambao wameshaonyesha kuwa na uwezo finyu wa kusimamia majukumu yao. Pamoja na malalamiko mengi toka kwa Watanzania wataendeleza usanii maana mkuu aliyewapa kazi ama anaogopa kuwaondoa madarakani au hana uwezo wa kufanya hivyo kwa sababu anazozijua yeye.

Nchi inafuata utaratibu na utawala wa sheria. Hao watumishi wa Umma hawawezi kuwajibishwa hivihivi bila kufuata taratibu za utumishi wa Umma. Hivyo, kwa mujibu wa taratibu hizo watumishi hao wameshaambiwa waaandike barua za kujieleza kwa mkuu wao wa kazi, yaani Katibu Mkuu Kiongozi na si Rais. Mchakato wa kupitia barua hizo na kuchukua hatua za kinidhamu pale inapobidi unaendelea. Rejea maelezo ya Waziri Mkuu Bungeni katika ripoti yake ya utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati Teule ya Bunge ya kuchunguza Richmond. Hatupaswi kumlundikia kazi, nguvu na madaraka yote Rais la sivyo ataajiri na kufukuza bila kufuata kanuni, uhuru na uhakika wa ajira wa watumishi na utumishi wa Umma. Tunahitaji mgawanyo mkubwa wa madaraka ili hata Rais tuweze kumwajibisha mara anapokiuka maadili na kanuni za utawala wa sheria!
 
Sheria ya msamaha maalum wa Rais a.k.a Amnesty...

Why? why give these people amnesty? Its totally bizarre, when someone steals a cellphone its OK to burn them and the Gov even turns a blind eye. But these A.holes who have done unimaginable damage to the country get begged by the president to return the money. Yeah this makes sense!!!
 
kwa hali hii hivi itakuja kutokea watanzania siku hata moja tukaishi na kula vizuri kama watu
maana naona kama wezi wakuu watakuwa hawafungwi ndani ya magereza hata kale kapesa kadogo katachukuliwa tena na tena na hao wezi wa epa maana wameonja asali lazima wachonge mzinga na kuishi na kula kama mtu kutakuwa ni ndoto,
 
Nimesoma speech ya Raisi wenu, honest this guy is a JOCK! Kwanza alichoelezea kuhusu Financial Crisis ni full of balloon. Kuhusu EPA gosh, i couldn't handle kusoma mpaka mwisho. I knew kuanzia mwanzo the speech will be disappointment.

Hebu niulize ni lini huyu Rais aliongea something which make sense to majority of Tanzania? Hata common sense hana?
Sadly enough, anajifanya anaongea kama anajua anachoongea......

Where is January Makamba? He used to come kwenye forums hizi na kudefend His president. ....

People cant afford two meal a day, wewe unaleta argument the OIC, what a non sense? When will he get it?

He will get a sense when you and me wont vote for him

MUDA NDIO HUU WA KUHAMASISHA ASICHAGULIWE TENA......
 
-Alipowahutibia kwenye kampeni mkasema ni chaguo la Mungu!
-Alipohutubia Bunge Disemba 2005 mkasema kweli Rais tunaye!
-Alipowahutubia Ngurdoto mkasema hakika ni Tumaini Lililorejea!

roho inaniuma sana kwa maneno haya.............
 
Si Pro Costa Mahalu pekee, na ndugu zetu walioko jela nao tupewe nafasi ya kurudisha pesa walizoiba ili waachiwe.
 
Si Pro Costa Mahalu pekee, na ndugu zetu walioko jela nao tupewe nafasi ya kurudisha pesa walizoiba ili waachiwe.

Opration Sangara mko wapi?
Jamani, fanyeni taratibu tufanye maandamano makubwa nchi nzima kupinga ukiukwaji wa katiba anao ufanya ndugu JK. Tuitangazie dunia na kutaka mara moja ndugu zetu walioko gerezani kwa ajili ya wizi wa kuku waachiwe na wapewe muda wa kurudisha walicho iba kama walivo fanyiwa wezi wa EPA.

Chonde chonde, tuunagnisheni, Mafisadi wanaimaiza nchi!, tuwapinge na tuwakatae kwa nguvu zote.
 
Mahalu ni Bangusilo na itaishia hivyo.Ma EPA hata IGP alisema watawasha moto maana Nchi iko kama ina elea kwenye mafuta ya petroli .Sasa wanangoja kuwashan kiberiti.

Madhara ya mtu kuchukua madaraka kwa pesa chafu ndiyo haya Taifa linakufa
 
Asante Mzee Wakijiji endele kufuatilia.Naomba ufuatilie Habari ya Mgodi wa BUHEMBA wiki iliyopita Mh:Nimron Elirehema ilisema `Kampuni iliyopo kwenye mgodi huo (Mouritious)
imeiba pesa zaid ya EPA embu tupatie za ndani zaid.
 
JK katumia sheria mnayo dai na yeye na Chama chake wanadai alichaguliwa kwa asilimia 80.Sasa kaitumia kuwamalizam waliompa kura zao .Mnasemaje ?
 
Kwako JJ Mnyika, K. Zitto, Dr W.Slaa.

Napendekeza muunganishe nguvu, pamoja na kituo cha haki za binaadamu, asasi nyingine za kiraia na vyuo vya elimu ya juu. Then muorganize maandamano makubwa kwa kumobilize wananchi woote wenye ndugu, jamaa au marafiki wanaoozea jela kwa wizi wa aina mbalimbali through thousands of fliers, na matangazo ya kwenye magari kushinikiza na wao wapewe fair treatment ya kurudisha walivyoiba kama mafisadi.

Im quite sure you will mobilise a sizeable mass na kusend the message AGAIN!... JK ni
wa kumkomalia mpaka aelewe kwa kuona matendo. Kumsusia nchi na kuyaacha mambo kama yalivyo tutakua hatuwatendei haki watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo.

Ikifanyika Dar, i guarantee to be there....Just give me the date.

Ni wazo tu.
 
Kwako JJ Mnyika, K. Zitto, Dr W.Slaa.

Napendekeza muunganishe nguvu, pamoja na kituo cha haki za binaadamu, asasi nyingine za kiraia na vyuo vya elimu ya juu. Then muorganize maandamano makubwa kwa kumobilize wananchi woote wenye ndugu, jamaa au marafiki wanaoozea jela kwa wizi wa aina mbalimbali through thousands of fliers, na matangazo ya kwenye magari kushinikiza na wao wapewe fair treatment ya kurudisha walivyoiba kama mafisadi.

Im quite sure you will mobilise a sizeable mass na kusend the message AGAIN!... JK ni
wa kumkomalia mpaka aelewe kwa kuona matendo. Kumsusia nchi na kuyaacha mambo kama yalivyo tutakua hatuwatendei haki watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo.

Ikifanyika Dar, i guarantee to be there....Just give me the date.

Ni wazo tu.


Sober hii ni vita unatangaza na badala ya kusema Mnyika , Slaa , Zitto etc tafadhali ingia front uwe kati ya wale watakao kuwa wana mobileze itasaidia zaidi kwa matendo yako badala ya maneno huku ukiwa nyuma ya pazia la JF.Njoo uone real life ya wana siasa wetu wanavyo nyanyaswa na watawala wetu hapa Tanzania na naamini ukisha rudi JF utajua ugumu wa kuwa mpinzani .Hata hao watanzania wenyewe wenye ndugu zao sina hakika kama watajitoa kimaso maso kirahisi.
 
Companero,
It boggles the mind. Wizi umefanyika Tanzania yet data tunasubiri watupatie wenzetu
walioko ughaibuni. It boggles the mind.

Nadhani ilikuwa inasumbua akili zamani, lakini tangu liibuke sakata lavijisenti, ssa mambo hadharani, tunajua kinachofanyika hivyo si ajabu kuona kuwa mafweza yalishavuka mipaka
 
Mganga hajigangi na ndivyo hivyo hivyo Rais hawezi kujihukumu.Rais ametuonyesha ni jinsi gani kama ile methali ambayo naendelea kuwakumbusha watanzania wenzangu Inayosema " YOU CAN BE A FOOL EVEN YOU GO TO SCHOOL"

Kwahiyo mimi hapa sisiti hata kidogo kumuona Rais wetu ni FOOL namba One wewe uliona wapi Rais anawasamehe washitakiwa kabla mahakama hawajawatia hatiani pengine hawana makosa yoyote na Rais wetu amekuwa ndio Jaji,Hakimu na yeye yeye ndio Mahakama.

1.Sasa mbona ajasema amewasamehe wakina nani? Majini?

2.Mbona ajatuambia watanzania watafaidika na nini na msamaha wa Mafisadi hao?

3. Je amewafundisha nini watanzania wanaojitolea maisha yao kufichua mafisadi?

4.Je wananchi watakuwa na Imani na Rais wao waliomchagua kwa 80%?

5.Je nini hatima ya wafungwa waliofungwa kwa kuiba Fedha ambazo na wao wangeweza kuzirudisha?

6.Vipi kuhusu wafungwa waliofungwa kwa kuiba simu za mikononi na simu hizo kupatikana na kurudishiwa wenyewe pamoja na watuhumiwa hao kupata vipigo kwa wananchi na bado leo hii wanaozea magerezani?


Kwa muona wangu kama kweli Rais anaogopa kuwafunga hao Wahindi wake pamoja na hao marafiki zake na kuamua kuwasamehe kwa makosa ambayo wananchi wa Tanzania hawayajui kwa nini wanasamehewa basi awasamehe wafungwa wote waliopo magerezani isipokuwa wabakaji na wauaji na hapo tutaelewa kweli Rais wetu JK anabusara na ni kweli anatakia maisha mema kila Mtanzania.

 
Jamani nani kama Sokoine? Nani aliipenda nchi kama Sokoine? Wanasiasa wetu wa sasa wako radhi hata justage kitu ili wapate kura( read: Kula). Kazi kweli kweli. Sijaona kama Sokoine nchi hii...Kama Mwinyi aliitwa ' mzee ruksa', Huyu Mheshimiwa tumwiteje? naomba jibu....Kumbuka naye anatumia Ikulu kama ........
 
Tangu lini mmeona mabwana wa CCM nikimaanisha wahindi wanafungwa kwenye Nchi yetu ya Tanzania.

Fool JK na serikali yake nzima ya CCM
 
NI huyuhuyu Rais wetu alikuwa anasisitizia wananchi wa Tanzania kuvumilia shida leo hii anawafanyia nini wananchi wa Tanzania?

Vumilieni mafisadi watalisadia Taifa ndio anawaambia wananchi leo
 
only in tanzania one could find that a leader in the govt steling tax payers money but instead of being prosecuted or sent to jail for his action, the reparcussion is to pay back the money. even in US there are several senators and congressmen who are being prosecuted ritenow but altho they could pay back the $$ they stole or were bribed with.
 
Back
Top Bottom