Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,700
Halmashauri Kuu inaona kuwa sahihi za Maalim Seif na Mzee Makamba au za viongozi tu pekee hazitoshi. Ridhaa ya wananchi ni muhimu na hili ni jambo la msingi na la kawaida katika mifumo yote ya kidemokrasia..
JK msanii at his best,
mi ningepata muda ningemuuliza tu kwamba (kutokana na niliyoyaquote hapo juu) kama sahihi za Makamba na Maalim Seif hazikutosha/zisingetosha inakuwaje basi sahihi za Nyerere na Karume Sr. zilitosha kuua utaifa wa Tanganyika na Zanzibar back in time?Nilifikiri kuwa Makamba na Maalim walikuwa wanawasilisha matakwa ya wanachama wao (ambao ni raia wa Visiwani),pili kuhusu ushirikishwaji wa wananchi Kikwete ningemuuliza wakati Tanganyika na Zanzibar zilipokuwa zinapokonywa utaifa wazo Nyerere na Karume Sr. waliwashirikisha kivipi wananchi wa nchi hizi mbili?Na wakati ule Aboud Jumbe "akishikishwa" adabu kule Dodoma je wananchi wa Zanzibar walishirikishwa kinamna gani?
No wonder Mkapa alikataa kwenda Butiama kupoteza busara zake bure.Isipokuwa tu kwa ufisadi alioshiriki kuufanya kipndi chake,Mkapa remains the best ever kwa Kikwete come a million years.