Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Pia tusishangae akiamua kuingia mitini tena mwa mwezi wa tatu mfululizo.
Mungu ibariki Tanzania
Nina uhakika kabisa JK hatatoa hotuba na akitoa nitashangaa sana, maana anayotakiwa kuongelea ni mengi mno na hana majibu yake, na akiyaibua tu atashindwa kuyahimili. Huyu mkuu nchi tayari imeshamshinda na sijui kwanini CCM hawaanzi kuandaa mtu mwingine wa kuchukua 2010.