Pundit,
Naona unafikiri hotuba za wanasiasa ni sawa na academic papers, they are not. You are spending too much time looking for trivial mistakes instead of looking for the intended messages.
Ukiangalia hotuba nzuri duniani ni zile ambazo wahusika walikuwa hawasomi, maneno yalikuwa yanatoka moyoni with passion. Huenda mpangilio ulikuwa unakuwa sio mzuri sana lakini messages zilizokuwa zinatolewa zilikuwa zina make sense. Angalia baadhi ya speeches za Mwalimu au hata watu kama Churchill na Hitler
Siku hizi shauri ya kuogopa kukosolewa na kukosea, kila kitu kinaandikwa na kuchambuliwa na wajuzi, matokeo yake watu wanaongea vitu ambavyo hawaviamini, passion inapotea na speeches kuwa boring. Mimi nikiona mwanasiasa anasoma speech, huwa nalala baada ya dakika tano.
Kikwete ame set a new low in Tanzanian politricks.Nilifikiri no one could go lower than Mwinyi but his ability to break records amazes even people who had a very low opinion of him to begin with like me.I knew he was going to be a bad president, I just didn't know he was gonna be so dumb to the point of not being able to put together a speech.
Nilisema zamani(some of my posts in here) JK ni raisi kilaza. Mwinyi pia alikuwa raisi kilaza. Tofauti ya hao wawili ni kwamba mzee wetu Mwinyi ni mwadilifu. JK ni mtoto wa mjini, akitumia mbinu za ulaghai, ujanja ujanja wa mjini, kutufunga kanyaboya bora liende. Na huyu tunae tu kama raisi wetu mpaka 2015.
Mkuu Invicible,
Watu wanachoangalia ni delivery, pamoja na ukilaza wa JK, anaweza kudeliver kuliko marais waliomtangulia.
Mimi naona tunasahau jambo moja muhimu kuwa mtegemea cha nduguye hufa maskini.
Hapa naona JK anazidi kupandikiza fikra za utegemezi miongoni mwa wananchi. Ni kitu cha hatari sana kwa mustakabali wa maendelea yetu. Believe or not, hatuwezi kufika mbali kwa kumtegemea huyo Bush.
Hii mkuu nilikuwa siijui, kumbe jamaa ame-deliver kuliko marais waliomtangulia, tunamshukuru kwa hilo kwa kweli, duh!
Hii mkuu nilikuwa siijui, kumbe jamaa ame-deliver kuliko marais waliomtangulia, tunamshukuru kwa hilo kwa kweli, duh!
Nafikiri hamjamuelewa Mtanzania kwenye hili la Delivery.
Katika vitu ambavo JK atavifanya kitaifa na Kimataifa ni kutamba kumleta Bush (sitting US president) na Muafaka wa Kenya. Those are deliveries ambazo yeye atazitambia na zitampa jina kubwa sana kuliko eti Ruksa (trade liberalization) au kulipwa kwa madeni na Mkapa. Zaidi atasema ameweza kuvifanya hivi katika miaka miwili ya kwanza ya uongozi kama Rais!
Kwa sisi wa ndani, hizo delivery za Bush na Muafaka Kenya, hazina nguvu ikiwa umasikini wetu haoundoki, serikali haina adabu na uhujumu unazidi.
Hivyo basi ni kujiuliza ni delivery ya namna gani na kwa vipimo gani!
Hii mkuu nilikuwa siijui, kumbe jamaa ame-deliver kuliko marais waliomtangulia, tunamshukuru kwa hilo kwa kweli, duh!
1. Huenda mpaka sasa haya mambo hayatusaidii kama taifa maana hayaongezi pato wala shibe ya Mtanzania lakini pia yanaweza kuwa nguzo kubwa ya kuiletea baraka TZ siku za mbele through employment na investments zingine.
2. Message kubwa hapo ni kwamba Tanzania ni democratic and stable, vitu viwili ambavyo ni muhimu mno kwa investors wa maana.
3. Sikuwa na maana JK amedeliver maana mambo mengi aliyosema atafanya, hajafanikiwa kuyafanya mpaka sasa.
Muafaka wa Kenya JK did nothing labda la kukaa na Bush na kuchekacheka naye
Mkuu Mtanzania,
Katika Suala la kwanza labda la Bush, lakini pia sitegemei sana kama unakumbuka wakati wa ujio wa Bush baadhi ya watu waliandamana na message ilikuwa Tanzania siyo masikini wa kutegemea watu kama bush, wakiwa na maana mtegemea cha nduguye ufa masikini. Walikuwa wanataka resources mobilazation radha than kutegemea neema usiyokuwa na uhakika nayo.
Katika Suala la Demokrasia Tanzania inajulikana kuwa stable labda tuombe tu tuendelee kuwa hivyo. Katika suala la kukomboa Nchi nafikiri unakumbuka jinsi Tanzania ilivyopigania uhuru wa nchi lukuki, hata zikiwemo South Africa. Lakini kwa sababu hatukuwa na strategy nchi hizo usishangae baadhi hata zikathubutu kututawala hapo baadaye/kushikilia uchumi wa nchi yetu.
La tatu Kwa maono yangu naona kama JK ndo anaanza kuwa rais baada ya kuachana na genge aliloingia nalo madarakani, kwa hiyo kudeliver bado ni ndoto bado hajawa na comparison.
Kakindomaster,
Nani alikuwa anajua Tanzania ni stable? What matters here is the perception of the world and NOT our perception (Tanzanians perception). Ukizunguka
huku duniani, wanaojua Tanzania ni stable ni wachache mno. Ilikuwa ukisema Kenya, watu wanaitikia. Nina uhakika ukiwauliza watu wa Europe au North America, nani ali contribute kuleta uhuru wa SA na nchi zingine, Tanzania haitatajwa hata mara moja.
Tatizo la watu wengi, kila ikitajwa USA mnafikiria misaada. Hivi USA na nchi za West wanavyoanza kujikomba kwa CHINA, je wanataka misaada ya China? Hii dunia ya utandawazi, muhimu ni uhusiano wa kibiashara. Safari moja ya Bush ikitumiwa vizuri inaweza kuiletea Tanzania biashara kuliko lile tangazo kwenye CNN.
Mfano mzuri kwasasa kama chombo chochote cha dunia kinataka kufungua ofisi East Africa, huenda Dar Es Salaam ni candidate namba moja, huko nyuma ilikuwa Nairobi.
Na hcho ndicho mimi nakijua. Watanzania tunafikiri kila mtu anaifahamu nchi yetu. Ukweli wa mambo, pamoja na vivutio vya utalii badi nchi yetu haijatangazwa sana.
Na vitu vingine vya kutangaza nchi ni vidogo tu. Ukiwa Ulaya wakati wa Summer kuna mashindano mbalimbali ya riadha na watu wengi wanafuatia mashindano hayo kupitia TV. Hivyo wakimbiaji wa Kenya na Ethiopia wanatangaza nchi yao vizuri kuliko siasa zetu za Ukombozi ambazo zilikuwa na manufaa.