Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

Sawa mkuu ngoja mama atunufaishe wote
naona kila mtu ana fikra tofauti ,tumuache mama afanye kazi tumpe muda tumuone jamani, haya ya kutuuza yatoka wapi tena? tumpe vigelegele tu kwa mwanzo mzuri then akiharibu tusemeee maana katupa uhuru huooo!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji ukusanyaji wa kodi nafikiri watajitathmini nakuacha makadirio yasiyo rafiki kwetu napo fikiri yote ayo najawa natabasamu nafuraha lakini napo jiuliza vizuri naona kiza kikubwa kimetanda kwatanzania ijayo
Mama kazungumzia mazingira mazuri ya wawekezaji naona kabisa kua tunarudi turiko toka mana wawekezaji awa awa ndo walio kua wanafanya tafiti miaka mitano na kujinufaisha wa badala ya hapo hawalipi stahiki kwa nnchi yetu wanabadilisha majina ya kampuni nakuanza tafiti upya mfano mzuri ni AIRTEL walianza na celltel miaka mitano kupita wakabadili jina na kuwa zain mbaka kufikia kujiita AIRTEL iyo yote ilikua ni kukwepa kulipa stahiki za nnchi leo tunataka turudi uko uko tena

Mama kawazungumzi barrick ni kweli ni wawekezaji wa muda sana apa kwetu leo hii mama anataka awafutie baadhi ya kodi akati ni wanyonyaji wa muda mrefu sana toka kutulipa asilimia tatu ya kile wanacho kizalisha tena wao ndo wanasema wamezalisha dhahabu kiasi gani adi kufikia umiliki wa hamsini kwa hamsini leo hii wanafutiwa kodi inauma sana naakati haya ndo mambo waliyo kuwa wanayapigia kelele wakina zito kabwe na tundu lisu leo ii mama anaongea kiujasiri na kuturudisha kulekule watanzania tunafurai

Mama kwenye wawekezaji kasema kua kama muwekezaji anataka kuja na watu wake aje nao tu adi naumia wasomi wetu wataenda wapi ukiangalia population ya china si wataanzisha makampuni apa ajira ziwe zao tu watanzania tutabaki kufagia ofisi tu

Naona nnchi inarudi nyuma tena mama anaongea kwa ujasiri tutayumba kwa miezi michache ila tutakua sawa napata shaka miradi yote ya kimkakati itatimia kwa muda kweli watanzania hapa tunaona wenye mapenzi mema na nnchi na wasio na mapenzi mema na nnchi kunamengi ya kujifunza kupitia kifo cha dr magufuri
Naona lile genge la wauza madawa ya kulevya likiongozwa na mtoto wa raisi wa awamu ya nne linarudi tena
Naona uuzwaji wa pembe za ndovu unarudi tena ukiongozwa na kinana na makamba
Naona kutokulipwa kwa kodi kunarudi tena awa ni kina rostam azizi naona ukungu kwenye ajira mbaka uwe na ndugu kwenye mfumo ndo unapata kazi naiona Tanzania isiyo na mbele bali inarudi nyuma naona mabeberu na vibaraka wao wanaigawana nnchi tena

Tuiombee tanzania yetu #Rip magufuli
Mtakuja kutoa sababu za wizi wa bashiru kama nikweli kwanini asipigwe chini na kushtakiwa
Jiwe aliwadanganya sana kwenye sekta ya madini
Ofcourse alijua umbumbumbu wenu kwenye sekta husika
 
Kuna mda mama alikua anaongea mawazo yake ila ananajua fika kuna mambo hayawezekani...

Sheria ya local content inawabana wawejezaji kuhusu matumizi ya wafanyakazi unless aibadili lakini pia hata hivyo hii ni sheria mfu na ni mara chache sana umetekelezwa....


Mtoa mada hakuna sehem serikali inaapata 50/50 kwenye uwekezaji wa madini hata alipokuepo JPM (nirekebishwe kama nimekosea)
Nachokiona mpaka sasa CCM itatumia nguvu kubwa kumdidimiza SSH HAsa lile kundi ya kuabudu mitandaoni

Tukubali tupo kwenye wakati mpya na tusonge mbele MAGUFULI asingeishi mpaka milele muda wake umepita na tushukuru kwa hatua aliyotupigia acha na wengine wafanye nao watapita watakuja wapya na mitazamo yao.

SSH haongozi danguro anaongoza nchi yenye watu, washauri na kubwa zaidi ni mamlaka zinazounda serikali na kuisimamia.
 
Back
Top Bottom