Hotuba ya Rais Samia yasubiriwa kwa hamu na Wakenya

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,327
9,748
Ndugu zangu Watanzania,

Habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi ya moto wa petroli juu ya nyasi kavu ni kuhusu kutua kwa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hasssan katika Ardhi ya kenya. Imekuwa ni Gumzo kubwa mitandaoni huko kenya.yatarajiwa kazi zote kwenda kusimama huko kenya pale Rais samia atakapokuwa anatoa hotuba yake,watu wasubiri kwa hamu sana hotuba yake utafikiri ujio wa Rais mstaafu Barack Hussein Obama mwaka 2015.

Hii ni kutokana na sifa kubwa sana ya kiuongozi na uchapa kazi wake aliouonyesha Tangia aingie madarakani mwaka 2021, wakenya na Waafrika wengi sana wanatamani na kuvutiwa sana na maono ya Rais samia,wengine mpaka wamefikia hatua kutamani angezaliwa katika nchi zao. Wanamuona kwa sasa kama Mama Afrika,Mtetezi wa Afrika,Nuru ya wanyonge na mlinzi wa Rasilimali za Afrika.

Rais samia anaonekana kwa sasa ndio Tumaini na nguzo ya utulivu katika nchi za ukanda huu wa maziwa makuu,anaonekana ndio mtu na kiongozi anayeweza kusuluhisha migogoro na akasikilizwa na viongozi wote katika ukanda wetu kutokana na utulivu wake, uadilifu wake,maono yake,uzoefu wake ,ukomavu wake kidiplomasia na weledi wake wa hali ya juu katika utatuzi wa migogoro ya aina yoyote ile. Wanajuwa kuwa ni Rais aliyeiva na kukomaa kiuongozi kutokana na kushika nafasi mbalimbali na kuiwakilisha nchi yetu katika mikutano, makongamano,semina ,Hafla mbalimbali huko Duniani.

Ni bahati ya kipekee sana ambayo wakenya wameipata kupata fursa ya kumuona na kumsikiliza Rais samia na kumsikia akitoa hotuba mbele yao.kwa hakika itawabidi wachukue kalamu na notebook ili kuchukua dondoo za kile atakachokuwa akizungumza maana ni bahati ambayo hawawezi kuipoteza. Hata wao wanatamani kuishi kama sisi watanzania kwa amani , utulivu, mshikamano, upendo na umoja .wanatamani wawe kama sisi tulivyo Shikamana kama Taifa.ndio maana watamtizama Rais samia kwa jicho la kipekee sana katika kupata Busara na hekima zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi ya moto wa petroli juu ya nyasi kavu ni kuhusu kutua kwa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hasssan katika Ardhi ya kenya. Imekuwa ni Gumzo kubwa mitandaoni huko Kenya yatarajiwa kazi zote kwenda kusimama huko kenya pale Rais samia atakapokuwa anatoa hotuba yake, watu wasubiri kwa hamu sana hotuba yake utafikiri ujio wa Rais mstaafu Barack Hussein Obama mwaka 2015.

Hii ni kutokana na sifa kubwa sana ya kiuongozi na uchapa kazi wake aliouonyesha Tangia aingie madarakani mwaka 2021, wakenya na Waafrika wengi sana wanatamani na kuvutiwa sana na maono ya Rais samia, wengine mpaka wamefikia hatua kutamani angezaliwa katika nchi zao. Wanamuona kwa sasa kama Mama Afrika, Mtetezi wa Afrika, Nuru ya wanyonge na mlinzi wa Rasilimali za Afrika.

Rais samia anaonekana kwa sasa ndio Tumaini na nguzo ya utulivu katika nchi za ukanda huu wa maziwa makuu,anaonekana ndio mtu na kiongozi anayeweza kusuluhisha migogoro na akasikilizwa na viongozi wote katika ukanda wetu kutokana na utulivu wake, uadilifu wake,maono yake,uzoefu wake, ukomavu wake kidiplomasia na weledi wake wa hali ya juu katika utatuzi wa migogoro ya aina yoyote ile. Wanajuwa kuwa ni Rais aliyeiva na kukomaa kiuongozi kutokana na kushika nafasi mbalimbali na kuiwakilisha nchi yetu katika mikutano, makongamano,semina , Hafla mbalimbali huko Duniani.

Ni bahati ya kipekee sana ambayo wakenya wameipata kupata fursa ya kumuona Rais samia na kumsikia akitoa hotuba mbele yao.kwa hakika itawabidi wachukue kalamu na notebook ili kuchukua dondoo za kile atakachokuwa anakizungumza, maana ni bahati ambayo hawawezi kuipoteza. Hata wao wanatamani kuishi kama sisi watanzania kwa amani, utulivu, mshikamano, upendo na umoja. Wanatamani wawe kama sisi tulivyo Shikamana kama Taifa, ndio maana watamtizama Rais samia kwa jicho la kipekee sana katika kupata Busara na hekima zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Hali ni ngumu sana mtaani saivi tu umeme umekatika na kuunguza friji langu sijui ntaishije na ndio lilikuwa tegemeo langu. 😭😭 Nimejibana miaka 10 mpaka kununua hili friji sijuwi itakuaje sasa 😭
 
Hali ni ngumu sana mtaani saivi tu umeme katika na kuunguza friji langu sijui ntaishije na ndio lilikuwa tegemeo langu. 😭😭
Pole mi nilikuwa na mayai 150 kwenye Mashine, kila siku umeme kukatika jana nimetupa viza mayai 60 ya bata Bukini, Mallard, Cayuga, Khakhi Campbell. Sasa wamekata tena huku Iringa mkuu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi ya moto wa petroli juu ya nyasi kavu ni kuhusu kutua kwa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hasssan katika Ardhi ya kenya. Imekuwa ni Gumzo kubwa mitandaoni huko kenya.yatarajiwa kazi zote kwenda kusimama huko kenya pale Rais samia atakapokuwa anatoa hotuba yake,watu wasubiri kwa hamu sana hotuba yake utafikiri ujio wa Rais mstaafu Barack Hussein Obama mwaka 2015.

Hii ni kutokana na sifa kubwa sana ya kiuongozi na uchapa kazi wake aliouonyesha Tangia aingie madarakani mwaka 2021, wakenya na Waafrika wengi sana wanatamani na kuvutiwa sana na maono ya Rais samia,wengine mpaka wamefikia hatua kutamani angezaliwa katika nchi zao. Wanamuona kwa sasa kama Mama Afrika,Mtetezi wa Afrika,Nuru ya wanyonge na mlinzi wa Rasilimali za Afrika.

Rais samia anaonekana kwa sasa ndio Tumaini na nguzo ya utulivu katika nchi za ukanda huu wa maziwa makuu,anaonekana ndio mtu na kiongozi anayeweza kusuluhisha migogoro na akasikilizwa na viongozi wote katika ukanda wetu kutokana na utulivu wake, uadilifu wake,maono yake,uzoefu wake ,ukomavu wake kidiplomasia na weledi wake wa hali ya juu katika utatuzi wa migogoro ya aina yoyote ile. Wanajuwa kuwa ni Rais aliyeiva na kukomaa kiuongozi kutokana na kushika nafasi mbalimbali na kuiwakilisha nchi yetu katika mikutano, makongamano,semina ,gafla mbalimbali huko Duniani.

Ni bahati ya kipekee sana ambayo wakenya wameipata kupata fursa ya kumuona Rais samia na kumsikia akitoa hotuba mbele yao.kwa hakika itawabidi wachukue kalamu na notebook ili kuchukua dondoo za kile atakachokuwa analizungumzia maana ni bahati ambayo hawawezi kuipoteza. Hata wao wanatamani kuishi kama sisi watanzania kwa amani , utulivu, mshikamano, upendo na umoja .wanatamani wawe kama sisi tulivyo Shikanda kama Taifa.ndio maana watamtizama Rais samia kwa jicho la kipekee sana katika kupata Busara na hekima zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mwende naye ili ukiwa kule uwaambie waKenya Samia amewatetemesha waTanzania kwa spichi alioitoa hapa
 
We jamaa mi sidhani kama kweli huwa unamsifia mama, nahisi upo na kazi maalum ya kumharibia tu
 
Hii ni dharau kubwa Sana Kwa mheshimiwa Rais

And nashangaa why uchukuliwi Hatua Kwa hizi kejeli zako kwa taasisi ya Rais

Mods huyu jamaa anamkejeli Rais wa inchi kwa njia ya kuzunguka Sana

Mwangalieni vizuri
 
Yeye ni mfano bora kwa bara la Afrika kwamba kamwe wanawake hawawezi kuwa marais wazuri!!.
 
Acha ujinga wako hapa wewe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi ya moto wa petroli juu ya nyasi kavu ni kuhusu kutua kwa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hasssan katika Ardhi ya kenya. Imekuwa ni Gumzo kubwa mitandaoni huko kenya.yatarajiwa kazi zote kwenda kusimama huko kenya pale Rais samia atakapokuwa anatoa hotuba yake,watu wasubiri kwa hamu sana hotuba yake utafikiri ujio wa Rais mstaafu Barack Hussein Obama mwaka 2015.

Hii ni kutokana na sifa kubwa sana ya kiuongozi na uchapa kazi wake aliouonyesha Tangia aingie madarakani mwaka 2021, wakenya na Waafrika wengi sana wanatamani na kuvutiwa sana na maono ya Rais samia,wengine mpaka wamefikia hatua kutamani angezaliwa katika nchi zao. Wanamuona kwa sasa kama Mama Afrika,Mtetezi wa Afrika,Nuru ya wanyonge na mlinzi wa Rasilimali za Afrika.

Rais samia anaonekana kwa sasa ndio Tumaini na nguzo ya utulivu katika nchi za ukanda huu wa maziwa makuu,anaonekana ndio mtu na kiongozi anayeweza kusuluhisha migogoro na akasikilizwa na viongozi wote katika ukanda wetu kutokana na utulivu wake, uadilifu wake,maono yake,uzoefu wake ,ukomavu wake kidiplomasia na weledi wake wa hali ya juu katika utatuzi wa migogoro ya aina yoyote ile. Wanajuwa kuwa ni Rais aliyeiva na kukomaa kiuongozi kutokana na kushika nafasi mbalimbali na kuiwakilisha nchi yetu katika mikutano, makongamano,semina ,gafla mbalimbali huko Duniani.

Ni bahati ya kipekee sana ambayo wakenya wameipata kupata fursa ya kumuona Rais samia na kumsikia akitoa hotuba mbele yao.kwa hakika itawabidi wachukue kalamu na notebook ili kuchukua dondoo za kile atakachokuwa analizungumzia maana ni bahati ambayo hawawezi kuipoteza. Hata wao wanatamani kuishi kama sisi watanzania kwa amani , utulivu, mshikamano, upendo na umoja .wanatamani wawe kama sisi tulivyo Shikanda kama Taifa.ndio maana watamtizama Rais samia kwa jicho la kipekee sana katika kupata Busara na hekima zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Hongera kwa kazi chawa njaa
 
Yeye ni mfano bora kwa bara la Afrika kwamba kamwe wanawake hawawezi kuwa marais wazuri!!.
Rais samia Amewasafishia njia wanawake katika kuweza kuaminika kushika nafasi za juu za uongozi.kutokana na kufanya kazi kubwa sana iliyogusa maisha ya wengi na kuleta matumaini katika maisha ya watu.
 
Wakenya huwambii chochote kuhusu Magufuli..Japo hayupo ila hadi sasa ndiyo Rais pekee anayeishi mioyoni mwao..

Endelea kupumzika kwa amani JPM...
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi ya moto wa petroli juu ya nyasi kavu ni kuhusu kutua kwa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hasssan katika Ardhi ya kenya. Imekuwa ni Gumzo kubwa mitandaoni huko kenya.yatarajiwa kazi zote kwenda kusimama huko kenya pale Rais samia atakapokuwa anatoa hotuba yake,watu wasubiri kwa hamu sana hotuba yake utafikiri ujio wa Rais mstaafu Barack Hussein Obama mwaka 2015.

Hii ni kutokana na sifa kubwa sana ya kiuongozi na uchapa kazi wake aliouonyesha Tangia aingie madarakani mwaka 2021, wakenya na Waafrika wengi sana wanatamani na kuvutiwa sana na maono ya Rais samia,wengine mpaka wamefikia hatua kutamani angezaliwa katika nchi zao. Wanamuona kwa sasa kama Mama Afrika,Mtetezi wa Afrika,Nuru ya wanyonge na mlinzi wa Rasilimali za Afrika.

Rais samia anaonekana kwa sasa ndio Tumaini na nguzo ya utulivu katika nchi za ukanda huu wa maziwa makuu,anaonekana ndio mtu na kiongozi anayeweza kusuluhisha migogoro na akasikilizwa na viongozi wote katika ukanda wetu kutokana na utulivu wake, uadilifu wake,maono yake,uzoefu wake ,ukomavu wake kidiplomasia na weledi wake wa hali ya juu katika utatuzi wa migogoro ya aina yoyote ile. Wanajuwa kuwa ni Rais aliyeiva na kukomaa kiuongozi kutokana na kushika nafasi mbalimbali na kuiwakilisha nchi yetu katika mikutano, makongamano,semina ,gafla mbalimbali huko Duniani.

Ni bahati ya kipekee sana ambayo wakenya wameipata kupata fursa ya kumuona Rais samia na kumsikia akitoa hotuba mbele yao.kwa hakika itawabidi wachukue kalamu na notebook ili kuchukua dondoo za kile atakachokuwa analizungumzia maana ni bahati ambayo hawawezi kuipoteza. Hata wao wanatamani kuishi kama sisi watanzania kwa amani , utulivu, mshikamano, upendo na umoja .wanatamani wawe kama sisi tulivyo Shikanda kama Taifa.ndio maana watamtizama Rais samia kwa jicho la kipekee sana katika kupata Busara na hekima zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Umekuwa MJINGA sana wewe CHOKO,hao Wakenya waliokwambia wanasubiri kwa hamu hotuba umewahoji wapi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom