Umemsoma Pascal Mayalla kuhusu wananchi wa Mombasa kumlilia Magufuli?Chato ndio duniani kote?
China walipima mbwa na paka!Harufu wakati magenius wengine huko duniani wanafanya Mambo makubwa huku kwetu wanapima COVID -19 mapapai na Mbuzi tena kwa testing kit ya msaada😆😆😆😆😆😆
Wametengeneza then wafanya trials.hiyo ni normal scientific procedures,sisi either tumenunua na tumepewa msaada then after some days na pesa tumeshalipa ndo tunafanya trials- kweli serikali haipati hassaraChina walipima mbwa na paka!
Pachal yuko mombasa? Umewasikia wananchi wa Kongo wanavyotucheka watz namna tulivyomuacha rais anavyochezea akili za watz kwnye janga la Corona alafu tumekaa kimya km tumemwagiwa maji?Umemsoma Pascal Mayalla kuhusu wananchi wa Mombasa kumlilia Magufuli?
Tanzania tunazidi kuonekana kichwa cha mwendawazimu, kufanyia test mapapai yakakutwa positive kuna athari kubwa mbele ya safari.
Wengi wataugulia majumbani wakiamini Corona ni ugonjwa wa kawaida, wataambukiza wengi zaidi, na watakufa wengi pia.
Nchi zote duniani zinakabiliana na hili janga scientifically, nchi zote zimepoteza watu wake, but sisi bado hatujawa tayari kukubaliana na huu ukweli, kila siku tunadanganyana kwa kutafuta sababu nyepesi kulazimisha Corona ionekane sio tatizo, ulimwengu wote lazima utushangae.
Sent using Jamii Forums mobile app