field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,006
- 4,615
Watanzania wengine kama wewe mna shida kubwa ya kuelewa kama alivyo yule jamaa anayeongea uongo siku zote.Sasa unashindwa kutumia japo maji kwenye hicho kichwa chako kufikiri, ya Rais ilikuwa live TBC , Star TV na kwingine sasa hiyo ya Mbowe ilikuwa live wapi.
Nishaeleza kila kitu hapo juu kama hujaelewa basi mzeeIkiwa live ndo kila mtu anakuwa ameiona? Halafu hata kama watu watakuwa wameiona na imewavutia si ndo habari zingesambaa zaidi na kuwavuta wale ambao hawakuona live waende sasa kuangalia kwenye mitandao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma wanapigana kweli kumtetea jamaa yao. Ukiona sehemu ya kuweka R" inawekwa L" basi ujue ni hao hao. Utaona neno "Kufikilia" KOLONA" Tiyali" badala ya Tayari au wakijitahidi sana utaona Tiyari" Wanalipwa ile waandike wanachopenda wakubwa wao.mkuu mtu aangalie live tbc afu tena aende na YouTube kweli jaribu ku fikilia vizuri sampling yako
SawaaaTuwe wa kweli,hotuba ya Chato,Ina maswali na mkanganyiko,Nina uhakika Mh Rais Jana atakuwa amepoteza wafuasi kwa kiasi fulani!
Ila ya Mbowe Kama Kuna wasililizaji walioingia YouTube kumsikiliza na haeakuwa wanamkubali Jana watakuwa wamekubali kuwa Jamaa Ni Level kubwa!
Nimezitazama na kusikiliza hotuba zote za viongozi hawa wawili kupitia YouTube.
Ya Mbowe nimeisikiliza na kuitazama kupitia MwanaHalisi Youtube Channel na takwimu zinaonesha kuwa imesikilizwa na kutazamwa na watu 1,300,000+ hadi kufikia leo tarehe 17/5/2020 saa 5:50 usiku.
Ya Rais Magufuli, nimeitazama na kuisikiliza kupitia East Africa Radio YouTube Channel na mpaka kufikia saa 5:50 usiku leo tarehe 17/5/2020 hotuba yake ilikuwa imesikilizwa na kutazamwa (views) na watu 230,000+
Yet, bado kuna watu wanasema CHADEMA chini ya Mbowe imekufa. Je, mtu akisema wasioitakia mema Chadema wanajilisha upepo nitakuwa ninakosea kweli?
Hii ni dhahiri shayiri kuwa, takwimu hizi zinatoa taswira ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2020 iwapo uchaguzi utakuwa FREE and FAIR kama ilivyo kwa watazamaji wa YouTube channels hizi ambazo hakuna wizi wala uchakachuaji wa matokeo.
Reference: Kila mwenye computer ama simu yake aingie Youtube channels hizo ku-verify hiki nilichokiposti hapa.
Mimi ni MsauziWatanzania wengine kama wewe mna shida kubwa ya kuelewa kama alivyo yule jamaa anayeongea uongo siku zote.
Good for you, Umkhoto we Sizwe!Mimi ni Msauzi
Sifahamu hiyo lugha!!!Good for you, Umkhoto we Sizwe!
Kwa hiyo unaikana takwimu iliyowekwa humu ya viewers milioni 1. Anyway ila Mbowe ana roho ngumu viewers wenyewe walikuwa wanamkandia lakini ameng'ang'ana kuongea tu sijui alikuwa haoni[emoji2]
Naomba urudie nilichokiandika tafadhali hujaelewa nlichokisemaTanzania ina idadi ya watu wangapi. Hao milioni unalinganisha na idadi ya watazamaji wa TV zilizokuwa live Nchi nzima? Achilia mbali marudio yake!!!
Mkuu umepitia you tube channels zote uone Ni wangapi waliangalia!?Huyu muanzisha uzi akili zake zitakuwa na shida mahala, CDM mnaforce kila kitu Dah, tukumbuke hatushindani kwenye ukweli, acheni kupotosha sana vitu, yaani kila kitu mnapika bila kutumia akili,View attachment 1453095
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nilitaka nimjibu hivi,Sasa unashindwa kutumia japo maji kwenye hicho kichwa chako kufikiri, ya Rais ilikuwa live TBC , Star TV na kwingine sasa hiyo ya Mbowe ilikuwa live wapi.
Ata kwa akili ya kawaida tu jana alie trend sana ni Mhe! Rais Magufuli huyo Mbowe mimi tu sijui kaongea niniHuyu muanzisha uzi akili zake zitakuwa na shida mahala, CDM mnaforce kila kitu Dah, tukumbuke hatushindani kwenye ukweli, acheni kupotosha sana vitu, yaani kila kitu mnapika bila kutumia akili,View attachment 1453095
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa sahihi.Na mimi nilitaka nimjibu hivi,
Ya raisi imeonyeshwa sehemu nyingi haina haja mtu kupoteza mb zake, ya mbowe ilikua lazima ununue gazeti au uingie mitandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini takwimu zako hujachukulia chanzo kimoja? Mwanahalisi hajaweka hotuba ya raisi?Wewe nenda tu kwa sasa "viewers" wanakaribia 1,600,000+. Ingia Mwanahalisi & EastAfrica Radio YouTube channels ndiko nilikochukulia takwimu hizi
Duh!! Noma hawa watu.Huyu muanzisha uzi akili zake zitakuwa na shida mahala, CDM mnaforce kila kitu Dah, tukumbuke hatushindani kwenye ukweli, acheni kupotosha sana vitu, yaani kila kitu mnapika bila kutumia akili,View attachment 1453095
Sent using Jamii Forums mobile app
Very objective analysis...hapo hakuna cha Lubuva wala mataga.Nimezitazama na kusikiliza hotuba zote za viongozi hawa wawili kupitia YouTube.