Alikuwa anawafundisha vijana wa Afrika ya kusini historia ya ukombozi wa nchi yao kwa kumtaja mwalimu Nyerere na mchango wake yeye mwenyewe binafsi na pia jinsi wote walivyochangia kumtoa Madiba gerezani!!! Vijana wa Afrika ya kusini hawajui historia yao ya ukombozi na ndio maana wanawafukuza waafrika wenzao walioko huko!!!
Sijaielewa hotuba ya MZEE KAUNDA naomba wenzangu nifafanulieni.
Kwa ile speech yake, sidhani kama Mzee Kaunda anaweza kuwasamehe makaburu!!!!!!
Alikuwa anawafundisha vijana wa Afrika ya kusini historia ya ukombozi wa nchi yao kwa kumtaja mwalimu Nyerere na mchango wake yeye mwenyewe binafsi na pia jinsi wote walivyochangia kumtoa Madiba gerezani!!! Vijana wa Afrika ya kusini hawajui historia yao ya ukombozi na ndio maana wanawafukuza waafrika wenzao walioko huko!!!
Kaunda alikuwa anaiambia dunia kuwa mtu anayestahili hizo sifa ni MWALIMU NYERERE aliyekomboa nchi zote za kusini mwa Afrika. Nyerere ndiye aliyesababisha nchi hizo zikapata uhuru na kelele nying za MWALIMU ndizo zilisababisha Mandela atoke jela.....simple.
Long Live Mwalimu Nyerere, Amandla! Long live Madiba
Vijana hawajui historia kwa sababu they are not told. Mtoto asipojua historia yake wa kulaumiwa ni baba.
Kila kitu utasubiri uambiwe? hauwi inquisitive ukasoma vitabu? hata Novels??
Ipo THE MOSSAD lakini siku hizi watu hawasomi novels, facebook wataifesi saa ngapi?
nikweli mkuu ndo maana alianza kwa kutambua uwepo wa mama maria nyerere na akamaliza kwa kutoa shukrani kwa harakati za mwalimu zilizochangia ukombozi wa nchi za kusini.Kaunda alikuwa anaiambia dunia kuwa mtu anayestahili hizo sifa ni MWALIMU NYERERE aliyekomboa nchi zote za kusini mwa Afrika. Nyerere ndiye aliyesababisha nchi hizo zikapata uhuru na kelele nying za MWALIMU ndizo zilisababisha Mandela atoke jela.....simple.
Long Live Mwalimu Nyerere, Amandla! Long live Madiba
There is a point you are missing. Dunia ina plethora of information. Kazi ya mzazi ni kufanya filtering ya information ili mtoto apate ile information iliyokusudiwa. Ukiacha watoto wenyewe wawe inquisitive wanaweza kuwa very well informed about the world wars, about geology etc but not about history of liberation struggle and that doesnt mean kwamba hawakuwa inquisitive, they were but not on the matter you want them to be.
nikweli mkuu ndo maana alianza kwa kutambua uwepo wa mama maria nyerere na akamaliza kwa kutoa shukrani kwa harakati za mwalimu zilizochangia ukombozi wa nchi za kusini.
Kaunda ndiye pekee alokuwa na ubavu wa kutofata itifaki. Alimtambua Winnie Mandela na Maria Nyerere kabla ya Graca Machel