Hotuba ya kaunda ililenga nini hasa?

Kaunda alikuwa anaiambia dunia kuwa mtu anayestahili hizo sifa ni MWALIMU NYERERE aliyekomboa nchi zote za kusini mwa Afrika. Nyerere ndiye aliyesababisha nchi hizo zikapata uhuru na kelele nying za MWALIMU ndizo zilisababisha Mandela atoke jela.....simple.

Long Live Mwalimu Nyerere, Amandla! Long live Madiba
 
Pia hata yeye mzee Kaunda alisema kwamba yeye binafsi, alijaribu mara tatu kuzungumza na makaburu kuhusu kumwachilia Mandela.

Ni mpaka kwa mara ya tatu alipozungumza na W F Clerk ambae ndie kaburu pekee aliemsikiliza mzee Kaunda na kuanza mazungumzo ya makubaliano kwamba nini kifanyike pindi atakapoachiliwa na ndicho kinachoitwa makubaliano.

Lakini cha msingi alikuwa akisisiza kwa wananchi kutokomeza ubaguzi na kuvumiliana kwa kuwa wote tumeumbwa na Mungu mmoja.

Ila nafikiri pia alikuwa akikumbusha umati kwamba yeye pia asisahauliwe kwamba ni mmoja wa wanaharakati.
 
Alikuwa anawafundisha vijana wa Afrika ya kusini historia ya ukombozi wa nchi yao kwa kumtaja mwalimu Nyerere na mchango wake yeye mwenyewe binafsi na pia jinsi wote walivyochangia kumtoa Madiba gerezani!!! Vijana wa Afrika ya kusini hawajui historia yao ya ukombozi na ndio maana wanawafukuza waafrika wenzao walioko huko!!!
 
Like Like
 
Kwa ile speech yake, sidhani kama Mzee Kaunda anaweza kuwasamehe makaburu!!!!!!

Mimi sidhani kama ile speech ina element za chuki ndani yake rather ilikua inakumbusha the reality of the struggles against the Apartheid Regime na kuwaweka "Boers" at their place considering the fact that some of the people who identified themselves as "Boers" attended the burial (De Clerk na serikali yake)
 
Alikuwa anawafundisha vijana wa Afrika ya kusini historia ya ukombozi wa nchi yao kwa kumtaja mwalimu Nyerere na mchango wake yeye mwenyewe binafsi na pia jinsi wote walivyochangia kumtoa Madiba gerezani!!! Vijana wa Afrika ya kusini hawajui historia yao ya ukombozi na ndio maana wanawafukuza waafrika wenzao walioko huko!!!

Vijana hawajui historia kwa sababu they are not told. Mtoto asipojua historia yake wa kulaumiwa ni baba.
 
Kaunda alikuwa anaiambia dunia kuwa mtu anayestahili hizo sifa ni MWALIMU NYERERE aliyekomboa nchi zote za kusini mwa Afrika. Nyerere ndiye aliyesababisha nchi hizo zikapata uhuru na kelele nying za MWALIMU ndizo zilisababisha Mandela atoke jela.....simple.

Long Live Mwalimu Nyerere, Amandla! Long live Madiba

Hongera KK
 
Kila kitu utasubiri uambiwe? hauwi inquisitive ukasoma vitabu? hata Novels??
Ipo THE MOSSAD lakini siku hizi watu hawasomi novels, facebook wataifesi saa ngapi?
 
Amesema mambo ya msingi sana. Kwa jinsi nchi za magharibu inavyomuenzi mandela sasa, ni kama vile walikuwa wanamuunga mkono toka enzi, wakati ukweli waligeuka tu alipotoka jela.
Kiujumla kaunda amezungumza kuwa mchango wa nchi zilizokuwa mstari wa mbele zimechangia sana kuikomboa afrika kusini.a
Kaunda na Nyerere walitoa mchango mkubwa sana kwa ukombozi wa africa kusini
 
Kila kitu utasubiri uambiwe? hauwi inquisitive ukasoma vitabu? hata Novels??
Ipo THE MOSSAD lakini siku hizi watu hawasomi novels, facebook wataifesi saa ngapi?

There is a point you are missing. Dunia ina plethora of information. Kazi ya mzazi ni kufanya filtering ya information ili mtoto apate ile information iliyokusudiwa. Ukiacha watoto wenyewe wawe inquisitive wanaweza kuwa very well informed about the world wars, about geology etc but not about history of liberation struggle and that doesnt mean kwamba hawakuwa inquisitive, they were but not on the matter you want them to be.
 
Kaunda alikuwa anaiambia dunia kuwa mtu anayestahili hizo sifa ni MWALIMU NYERERE aliyekomboa nchi zote za kusini mwa Afrika. Nyerere ndiye aliyesababisha nchi hizo zikapata uhuru na kelele nying za MWALIMU ndizo zilisababisha Mandela atoke jela.....simple.

Long Live Mwalimu Nyerere, Amandla! Long live Madiba
nikweli mkuu ndo maana alianza kwa kutambua uwepo wa mama maria nyerere na akamaliza kwa kutoa shukrani kwa harakati za mwalimu zilizochangia ukombozi wa nchi za kusini.
 
There is a point you are missing. Dunia ina plethora of information. Kazi ya mzazi ni kufanya filtering ya information ili mtoto apate ile information iliyokusudiwa. Ukiacha watoto wenyewe wawe inquisitive wanaweza kuwa very well informed about the world wars, about geology etc but not about history of liberation struggle and that doesnt mean kwamba hawakuwa inquisitive, they were but not on the matter you want them to be.

True Marco, lakini na foleni hizi za Dar inawezekana kweli? watu wanondoka home saa 10-11 asb na kuingia home saa 3-6.
Idadi ya mimba tu imepungua, itakuwa uwezo wa kuwa na mijadara na familia.
 
nikweli mkuu ndo maana alianza kwa kutambua uwepo wa mama maria nyerere na akamaliza kwa kutoa shukrani kwa harakati za mwalimu zilizochangia ukombozi wa nchi za kusini.

Kaunda ndiye pekee alokuwa na ubavu wa kutofata itifaki. Alimtambua Winnie Mandela na Maria Nyerere kabla ya Graca Machel
 
Yule mzee ni kauzu kinoma. Ila kanifurahisha sana!! He really made my day. Amenifurahisha anvyomrefer Kikwete that young man from Tanzania... Na anavyowaita makaburu Boers jina ambalo hawalipendi.
 
Back
Top Bottom