Hotuba ya kaunda ililenga nini hasa?

Hotuba ya kaunda ililenga nini hasa?

Alikuwa anawafundisha vijana wa Afrika ya kusini historia ya ukombozi wa nchi yao kwa kumtaja mwalimu Nyerere na mchango wake yeye mwenyewe binafsi na pia jinsi wote walivyochangia kumtoa Madiba gerezani!!! Vijana wa Afrika ya kusini hawajui historia yao ya ukombozi na ndio maana wanawafukuza waafrika wenzao walioko huko!!Ni kweli kabisa. Vijana wa SA wanajisahau sawa na methali ya kiswahili inaysema. Maskini akipaa ........................ Malizia. Anadhaau hata waliomsaidia na anajifanya kuwa hajali.
 
Back
Top Bottom